Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Kwa Africa ni vigumu kumuelewesha mtu motive ya mauwaji inaweza kuwa chochote
Watu wamezoea kuweka mikeka au viti na kuanza kulia tu baada ya hapo mwili unazikwa na ndio mwisho
Kweli wanasema mtu akiisha kufa kafa tu ya nini kufuatilia
Na hili ni kwa nchi masikini ambapo au ni mila au ni serikali zinashindwa kugharamia uchunguzi wa mtu aliekufa.
Kwanza kabisa nchi zilizoendelea mtu akifa tu cha kwanza ni kupiga emergency na Ambulance ikija ndio watamchukua na kama ni mauwaji au moto hapo emergency’s zote 3 zitakuwepo
Watu wengi hawajui kuwa huku mtu anapokufa ni lazima uchunguzi ufanyike nakazia lazima
Na hapo majibu yakitoka ndio uruhusiwe kwenda kuzika kama ni kifo cha kawaida
Yaani maiti zingine hukaa mortuary hata miezi miwili kabla ya kipewa ndugu
Kwa hiyo ni procedures za kawaida hizo
Nchi moja nakumbuka kuna jamaa walifungwa baada ya kuita ambulance mtu akiwa ameishafariki
Wote waliwekwa ndani kwanza mpaka uchunguzi ulipokamilika
Sent from my iPhone using Tapatalk