Tetesi: Who killed Kobe Bryant?

Tetesi: Who killed Kobe Bryant?

Kwa Africa ni vigumu kumuelewesha mtu motive ya mauwaji inaweza kuwa chochote
Watu wamezoea kuweka mikeka au viti na kuanza kulia tu baada ya hapo mwili unazikwa na ndio mwisho
Kweli wanasema mtu akiisha kufa kafa tu ya nini kufuatilia
Na hili ni kwa nchi masikini ambapo au ni mila au ni serikali zinashindwa kugharamia uchunguzi wa mtu aliekufa.
Kwanza kabisa nchi zilizoendelea mtu akifa tu cha kwanza ni kupiga emergency na Ambulance ikija ndio watamchukua na kama ni mauwaji au moto hapo emergency’s zote 3 zitakuwepo

Watu wengi hawajui kuwa huku mtu anapokufa ni lazima uchunguzi ufanyike nakazia lazima
Na hapo majibu yakitoka ndio uruhusiwe kwenda kuzika kama ni kifo cha kawaida
Yaani maiti zingine hukaa mortuary hata miezi miwili kabla ya kipewa ndugu

Kwa hiyo ni procedures za kawaida hizo
Nchi moja nakumbuka kuna jamaa walifungwa baada ya kuita ambulance mtu akiwa ameishafariki
Wote waliwekwa ndani kwanza mpaka uchunguzi ulipokamilika

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Exàctly
What is your litmus test for validity?

Kobe is the hen that lays the golden eggs for his family, a loving father in the beginning of his second act, why would his wife want him dead?
[/Q
Exactly...why would I want the hen dead?...
 
Mke kumuua mume, or vice versa, ni jambo la kawaida. Kumuua mtoto sio jambo la kawaida but it is possible still.
Huwezi kujua labda mtota hakuwa katika safari ile, akaenda last minutes wakati mama hakuwa katika position ya kumzuia asiende.
Ila siungi mkono speculations hizi, ila tu nimetoa scenario ambayo inawezekana
Ukianza habari za "huwezi kujua" tunaweza kusema wewe umemuua Kobe halafu unamsingizia mke wake.

As long as we are speculating, hiyo nayo ni speculation.

Let's deal with facts jamani, tukianza hizi speculations, yeyote anaweza kusema lolote.
 
You left me at "do you really thinks..."
Do u think things must make sense with you before they happen?

I mean do you think in order for anything to happen, it must first make sense with you before it happens?
 
Do u think things must make sense with you before they happen?

I mean do you think in order for anything to happen, it must first make sense with you before it happens?
Where do you even get that idea? What justifies that question from you? Did I write anything to that effect? If so, where?
 
Why do you think a wife killing her doting, money making, famous husband that she just had a fourth baby with is common sense?

As if that is not enough, that same wife kills her own daughter too.

Is that common sense?
A wife that is his High School Sweetheart..
 
A wife that is his High School Sweetheart..

A wife that stands to gain more if Kobe lives than if he dies.

Yani hapa tunaona utamaduni wa unyanyapaa tu kutoka kwa hao wanaosema mke kaua.

Huyo mke atakuwa mjinga sana kumuua mume wake celebrity ambaye wamepita naye mambo mengi magumu, sasa wanataka kutulia walee watoto.

Tena atakuwa na kichaa cha ajabu kumuua mpaka binti yake mwenyewe.
 
Where do you even get that idea? What justifies that question from you? Did I write anything to that effect? If so, where?

Refer to ur previous comments. Unasema Vanessa asingeweza kupanga kumuua Kobe coz they were a family they beautiful kids and about to be billionaires so it won't be possibly for her to kill her husband with her daughter..

Ur was actually insinuating that my opinion does not make sense with you.

Bro. If things want to happen they just happen . It doesnt matter whether they make sense with you or they do not make sense with you.
 
A wife that stands to gain more if Kobe lives than if he dies.

Yani hapa tunaona utamaduni wa unyanyapaa tu kutoka kwa hao wanaosema mke kaua.

Huyo mke atakuwa mjinga sana kumuua mume wake celebrity ambaye wamepita naye mambo mengi magumu, sasa wanataka kutulia walee watoto.

Tena atakuwa na kichaa cha ajabu kumuua mpaka binti yake mwenyewe.
Ndio maana nakwambia when things need to happen they just happen. It doesn't matter whether they make sense with you or they do not make sense with you.

Hupaswi kuwa surprised by anything. Cause anything can happen. Any how, any where, for any person.
 
Yani mke yuko na mumewe, wanapanga mikakati ya kwenda kwenye ubilionea wa USD, mume anamfundisha binti jinsi ya kucheza basketball na binti aje kuwa star, halafu mke amuue mumewe na binti?

Haiyumkiniki.
U pretend as if u don't know any thing about " betrayal"
 
A wife that stands to gain more if Kobe lives than if he dies.

Yani hapa tunaona utamaduni wa unyanyapaa tu kutoka kwa hao wanaosema mke kaua.

Huyo mke atakuwa mjinga sana kumuua mume wake celebrity ambaye wamepita naye mambo mengi magumu, sasa wanataka kutulia walee watoto.

Tena atakuwa na kichaa cha ajabu kumuua mpaka binti yake mwenyewe.
Kuna changamoto sana ukiwa na mume anapesa
When he alive they say u dont deserve him na vitu alivyonavyo
When he dies u killed him

uyu mkewe they been together more than 20 years..how do u question that loyalty..anyways time will tell
 
U pretend as if u don't know any thing about " betrayal"
This wouldn't be betrayal.

Betrayal has preservation of self interest.

This would be like self sabotage, shooting oneself in the fool.

The wife has a husband who generates millions per year.

A loving husband and doting father by all accounts.

Why would the wife want him dead?
 
Back
Top Bottom