Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Utapata kichaa wewe!! Una hasira na watu kisa ujinga wa mwenyekiti wako anaeropoka hovyo majukwaani.Tena wewe nyumbu kubwa lao ndio mburura la mwisho, kuna mathread yako yanafukuliwa, aibu tupu, eti tupigwe chanjo kisa machinga wanapewa id's, kama sio Mavi imekujaa kwa kichwa, ni nn
Nyie mtachanjwa na wachina lkn mind you wachina wanachanjia makalioni.Ahaaa.... Kachanjweni jamani acheni maneno mengi pelekeni miili hiyo mkachanjwe
Mpaka tunafika kwenye kipindi cha kampeni watu walikuwa washaacha muda tu kuzingatia tahadhari za kujikinga na corona kama hizo za kuvaa barakoa kunawa mikono na kujiepusha na misongamano,na ndio maana hata ilipofika wakati wa kampeni haikuwa shida kwa watu kukusanyana kiasi kile tena bila tahadhari zozote. Magufuli ameanza kubeza toka mwaka jana hadi akafananisha barakoa sijui na matiti,kwahiyo nashindwa kuelewa hawa wenzetu wanaoamini corona ilipungua sijui ni muda gani ambayo ndio corona ilipungua.... additionally, mwaka jana kulikuwa na measures angalau za kueleweka - watu kuvaa barakoa, kunawa, na general public awareness angalau watu walichukua tahadhari. Sasa hivi sio chanjo tu, hata zile measures za mwaka jana zinabezwa hadharani hadi unajiuliza huyu mtu yuko sawa upstairs?
Sisi tumeshakataa kuchanjwa, msimamo wa rais wetu umeshatolewa.Nyie mtachanjwa na wachina lkn mind you wachina wanachanjia makalioni.
Sisubiri ninyimwe ndio maana unaona napigana kufa kupona nijitegemee ila sasa kuna majuha ukiyaambia kujitegemea yansema tutengwa na beberu.Kumbe unasubiri kwanza unyimwe ndipo utafute chako. Huo ni ujuha. Utakufa masikini.
Ahaaa... Lazima mkachanjwe nyie, jiandae kuchanjwa. WHO imeshasema jiandaeni kupeleka mbaliga hizo mkachanjweKwa taarifa yako walikuwa wanamsubiria ajae tu. Na keshajaa sasa litakuwa jiwe la CHUNVI HILO
Ni hatari hawa wazunguShirika la Afya Duniani WHO linajiandaa kutoa cheti au kadi ya chanjo ya Corona (Covid-19 vaccination certificate) itakayotumika dunia nzima, na huwezi kusafiri au kupata VISA kama hautakuwa umechanjwa. Kwa sasa chanjo inayotakiwa ili usafiri au ukienda kuomba VISA ni chanjo ya homa ya manjano pekee.
===========
COVID-19: WHO races to develop vaccination card
As countries start to develop their own vaccination passports, the WHO is racing to develop a standard framework for coronavirus vaccination certificates that can be used worldwide to ensure standards are met.
Bernardo Mariano, Director of digital health innovation, WHO, told DW.
Currently, yellow fever is the only disease specified in the World Health Organization's (WHO) International Health Regulations (IHR), which require proof of vaccination for entry to some countries. The yellow fever vaccination certificate is also the only proof of vaccination certified under the IHR.
Vaccination against COVID-19 is not part of the IHR yet, but a country can make a unilateral decision. Some countries already require a negative COVID-19 test to enter, and the next evolution of that will be requiring proof of vaccination, Mariano said.
A COVID-19 vaccination certificate to become compulsory for travel the world over, it would have to be part of the IHR, and that process would take a long time, Mariano said. But there are other avenues.
One such initiative is the CommonPass , a digital framework for verifying COVID-19 tests and vaccination certificates. Some airlines have already been rolling out the app to passengers on select flights.
WHO races to develop COVID vaccination card – DW – 01/27/2021
As countries start to develop their own vaccination passports, the WHO is racing to develop a framework for coronavirus vaccination certificates that can be used worldwide to ensure standards are met.m.dw.com
Yap.. Chanjo hiyo itakuja kwa ajili yenu ili mchanjwe msife na corona... umewasikia WHO? Kuna uzi humu humu JF; Tanzania ijiandae kupokea chanjo. Tutachanjwa hapa hapa kwenye ardhi ya babu na bibi zetu hatuendi popote ije mvua liwake jua. Wewe unayeamini hakuna Corona bila scientific justification baki hivyo hivyo kwamba hakuna Corona ila usiwazuie wengine kunusuru afya zao.
sddď§xKama kuua watauwa wengi, wameshapania, ila bora kuchagua chanjo za nchi za binadam.
Nyie manyumbu ni mawakala wa shetani, nani hajui
Fvckensddď§x
... hapo sawa. Sio wewe hutaki unazuia na wenzio huo unakuwa ushetani badala ya utu.Yap.. Chanjo hiyo itakuja kwa ajili yenu ili mchanjwe msife na corona
... hujalazimishwa mzee; la muhimu ili uweze kuvuka mpaka wako lazima uwe na vaccination card. Kama huhitaji kwenda huko card sio lazima; very simple. Namwona Profesa Kabudi akiichangamkia card ya mabeberu fasta maana itahitajika entry points zote. Ha ha ha; tunajifanya ujuaji wa kikapuku!Hawa jamaa kweli wametupania...
Hivi wasababto hizi hadithi zenu za kitaahira hamjaziacha tu?😂😂Na cc tutatengeneza ya kwetu .....anyway ....chapa ya mnyama inakuja taratibu .....u will un able to do anything ...to buy or sell without it
Don't justify the dullness of Tanzanian government for this.Its is a different story.Na cc tutatengeneza ya kwetu .....anyway ....chapa ya mnyama inakuja taratibu .....u will un able to do anything ...to buy or sell without it
Naskia magu amesha tumia tayari!!
Every sign that we are going to be controlled by one system, 666. He who has eyes let him see. The blind leading the blind and they shall all fall into the pit.Shirika la Afya Duniani WHO linajiandaa kutoa cheti au kadi ya chanjo ya Corona (Covid-19 vaccination certificate) itakayotumika dunia nzima, na huwezi kusafiri au kupata VISA kama hautakuwa umechanjwa. Kwa sasa chanjo inayotakiwa ili usafiri au ukienda kuomba VISA ni chanjo ya homa ya manjano pekee.