#COVID19 WHO kutoa ‘Kadi ya Chanjo ya Corona’ itakayokuruhusu kuingia nchi nyingine

Shirika la Afya Duniani WHO linajiandaa kutoa cheti au kadi ya chanjo ya Corona (Covid-19 vaccination certificate) itakayotumika dunia nzima, na huwezi kusafiri au kupata VISA kama hautakuwa umechanjwa. Kwa sasa chanjo inayotakiwa ili usafiri au ukienda kuomba VISA ni chanjo ya homa ya manjano pekee.

===========

COVID-19: WHO races to develop vaccination card

As countries start to develop their own vaccination passports, the WHO is racing to develop a standard framework for coronavirus vaccination certificates that can be used worldwide to ensure standards are met.

Bernardo Mariano, Director of digital health innovation, WHO, told DW.

Currently, yellow fever is the only disease specified in the World Health Organization's (WHO) International Health Regulations (IHR), which require proof of vaccination for entry to some countries. The yellow fever vaccination certificate is also the only proof of vaccination certified under the IHR.

Vaccination against COVID-19 is not part of the IHR yet, but a country can make a unilateral decision. Some countries already require a negative COVID-19 test to enter, and the next evolution of that will be requiring proof of vaccination, Mariano said.

A COVID-19 vaccination certificate to become compulsory for travel the world over, it would have to be part of the IHR, and that process would take a long time, Mariano said. But there are other avenues.

One such initiative is the CommonPass , a digital framework for verifying COVID-19 tests and vaccination certificates. Some airlines have already been rolling out the app to passengers on select flights.

Wahenga walisema asiyefunzwa na Mamaye hufunzwa na Ulimwengu

Kwa hiyo tuone Sasa Magufuli uendelee kununua midege yako na huku unajidai nchi yetU unayoitawala kimabavu hakuna Corona

Utaishia kuzurura na hiyo midege yako kwenda nayo kijijini kwenu tu basi.

Uliona mbali kujijengea Kiwanja na kujinunulia Maboeing Mzee baba
 
... kuna kila dalili ya mtu kutafuna matapishi yake mwenyewe. Wenye akili sio wenzio; hakuna kusafiri hadi upate COVID-19 vaccination certificate/card; sijui Tanzania itachomokaje kwenye hili hususan viongozi wa serikali ambao kusafiri ni sehemu ya majukumu yao. Kweli Profesa Kabudi na maafisa wake mambo ya nje hawatasafiri?

Walikuwa wanatuangalia kwa jicho la dharau na kauli zetu uchwara; eti Tanzania hakuna Corona wakati kupima hampimi! How can you justify this? Sio kila kitu ni siasa; mambo mengne ni ya kisayansi na ni lazima yapelekwe kisayansi. Na bahati nzuri tuna Amiri Jeshi Mkuu mwanasayansi ngazi ya PhD.
PhD fake
 
Akili yako ndogo sana wewe,
Tabia yako ni kama uliolewa halafu ukaachwa sababu ya tabia zako za kishenzi,
Ndio sababu unawachukia wanaume wote sasa akiwemo JPM.
Kutwa unabwabwaja humu JF kwa dharau na kejeli kuhusu JPM ni kama alikupa mimba halafu akakutekeleza
🖕🖕🖕
 
Nadhani hatuna hoja za msingi kukataa chanjo.kwasababu huko marekani na ulaya wao wamerekodi vifo vingi sana kutuzidi siye ingawa sisi hatuna records. Lakini tujiulize wao hawapendi kuishi?
Tusiwe na ubishi wa kijinga utadhani chanjo imeanza kutolewa leo hapa Tanzania.
Sasa hiyo who itaitambua chanjo yanani kama ndiyo bora zaidi? Maana USA, UK na RUSSIA wote wanazo ila naamini uenda WHO wakasema ya USA ndiyo bora na ya RUSSIA haifai kwa matumizi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi sana. Sasa wakina paramaganda kabudi wafate maneno ya jpm
 
... kuna kila dalili ya mtu kutafuna matapishi yake mwenyewe. Wenye akili sio wenzio; hakuna kusafiri hadi upate COVID-19 vaccination certificate/card; sijui Tanzania itachomokaje kwenye hili hususan viongozi wa serikali ambao kusafiri ni sehemu ya majukumu yao. Kweli Profesa Kabudi na maafisa wake mambo ya nje hawatasafiri?

Walikuwa wanatuangalia kwa jicho la dharau na kauli zetu uchwara; eti Tanzania hakuna Corona wakati kupima hampimi! How can you justify this? Sio kila kitu ni siasa; mambo mengne ni ya kisayansi na ni lazima yapelekwe kisayansi. Na bahati nzuri tuna Amiri Jeshi Mkuu mwanasayansi ngazi ya PhD.
You don't know what you're talking about.
 
Sasa usiburuzwe wewe nani?

Mzungu akupende una nini?

Babu zako waligeuzwa watumwa alafu unataka leo wakupende una nini?

Dubwasha lako ulilolichagua lina kula raha getoni kwa Asmterdam sasa hivi kwa nini usiende kuungana nalo ili mzungu awapende wote?
kilaza huyo aliishagoma kutumia akili.
 
Na cc tutatengeneza ya kwetu .....anyway ....chapa ya mnyama inakuja taratibu .....u will un able to do anything ...to buy or sell without it
We we utakua msabato. Mnamafundisho ya ajabu kwelikweli
 
Anasema hivyo ili kuwaweka sawa kisaikolojia maana nyie akili zenu mlishetiwa na kina Lisu kwamba ulaya ndio wanakaa watu ila huku afrika mnakaa nyani
Mkuu mbona kila kitu unamtaja Lisu ? Inaonekana unahasira naye sana.
 
Tena wewe nyumbu kubwa lao ndio mburura la mwisho, kuna mathread yako yanafukuliwa, aibu tupu, eti tupigwe chanjo kisa machinga wanapewa id's, kama sio Mavi imekujaa kwa kichwa, ni nn
Mkuu tayari unamichanjo kibao ya wazungu
 
Shirika la Afya Duniani WHO linajiandaa kutoa cheti au kadi ya chanjo ya Corona (Covid-19 vaccination certificate) itakayotumika dunia nzima, na huwezi kusafiri au kupata VISA kama hautakuwa umechanjwa. Kwa sasa chanjo inayotakiwa ili usafiri au ukienda kuomba VISA ni chanjo ya homa ya manjano pekee.

===========

COVID-19: WHO races to develop vaccination card

As countries start to develop their own vaccination passports, the WHO is racing to develop a standard framework for coronavirus vaccination certificates that can be used worldwide to ensure standards are met.

Bernardo Mariano, Director of digital health innovation, WHO, told DW.

Currently, yellow fever is the only disease specified in the World Health Organization's (WHO) International Health Regulations (IHR), which require proof of vaccination for entry to some countries. The yellow fever vaccination certificate is also the only proof of vaccination certified under the IHR.

Vaccination against COVID-19 is not part of the IHR yet, but a country can make a unilateral decision. Some countries already require a negative COVID-19 test to enter, and the next evolution of that will be requiring proof of vaccination, Mariano said.

A COVID-19 vaccination certificate to become compulsory for travel the world over, it would have to be part of the IHR, and that process would take a long time, Mariano said. But there are other avenues.

One such initiative is the CommonPass , a digital framework for verifying COVID-19 tests and vaccination certificates. Some airlines have already been rolling out the app to passengers on select flights.

Magufuli hawezi kufuta kauli yake kwa Sababu ya kadi ya covid-19. Uwepo wa kadi hiyo hauwezi kuifanya Tanzania itekeleze mpango wa wazungu wa massive vaccination. Watu watakaohitaji hiyo kadi ili wasafiri nje haizidi hata robo ya population nzima. Kitachofanyika hizo vaccine zitakuwepo kwa wale wataohitaji kusafiri nje tu. Ni kama vaccine za yellow fever, ukiitisha watu wenye kadi hizo ni wachache mno.
 
Hapa lazima watu wachanjwe kwa nguvu otherwise huvuki mipaka ya Jamhuri ya Muungano
 
kaa hapo utafune miti pori.
We ulisikia wapi? Ulisikia wapiiiii hii chanjo imesaidia watu? Majani ya mpera, kifumbasi, malimao, tangawizi ninajitia ndani ya blanket hiyo Chanjo wawape mbwa wanaolilia
 
Back
Top Bottom