Dawa iwaingie akina nani?Magufulification of coronavirus
Magu mashine!!
Watulie dawa iwaingie wasilazimishe mambo
Stroke (huwa nina furahi)Hiyo Tweet ni ya Raia wa Nchi gani ambaye yupo concerned mno na sisi kuliko huko kwao ambako madhara ni makubwa zaidi??
Most of you people are stupidFor the 1st time, Europe, Asia and America are learning their lesson from a 'tiny' country is East Africa.
Europe has the confidence to reopen their economies from the case studies they have secretely taken from countries like Tanzania.
Kenya for example, has a confidence to open school abrubtly from a lock down using Tz as their case study on impossibilty of adverse effects of reopening.
Tanzania the 1st time, has shown a leadership to the World on how to live with a deadly snake in the room without a single snake bite!
Acha kuzungumzia takwimu za nje kihivyo wakati zakwetu tunahoji usahihi wake!Na Kenya yenye wagonjwa 300+,south Africa yenye wagonjwa 1000+ wenyewe wanafuata maagizo? Huyu beberu ni wa kupuuzwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Yameanza kupungua kwa takwimu sahihi na sio uongo uongo na kupika data.Hizo nchi na serikali zao ambazo zinafuata ushauri wa wataalamu wanaendeleaje na kasi ya maambukizi??
Just like ur mother!
Hebu tupe picha kidogo kuhusu hali ya Amana ipoje ipoje mpaka wakapata sababu ya kutaka kutoka?Hatuwezi kuwapita kwa sababu hakuna ukweli unaotangazwa, kwa kukusaidia uliza waliotoroka Amana hospital wakuambie wameona marehemu wangapi walipokua pale,NAJARIBU KUKUSAIDIA KUFIKIRI do your homework
Sent using Jamii Forums mobile app
For the 1st time, Europe, Asia and America are learning their lesson from a 'tiny' country is East Africa.
Europe has the confidence to reopen their economies from the case studies they have secretely taken from countries like Tanzania.
Kenya for example, has a confidence to open school abrubtly from a lock down using Tz as their case study on impossibilty of adverse effects of reopening.
Tanzania the 1st time, has shown a leadership to the World on how to live with a deadly snake in the room without a single snake bite!
Vipi kuhusu marekani,Italy spain,Germany.?
Asia,marekani zote nazo hawafuati huo muongozo ndo maana wana maambukizi mengi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tutakoma...Wanaoteseka ni Watanzania masikini