WHO: Maambukizi ya Tanzania yanaenea kwa sababu Serikali haifuati miongozo ya afya ya kimataifa

WHO: Maambukizi ya Tanzania yanaenea kwa sababu Serikali haifuati miongozo ya afya ya kimataifa

Swali LA kufikirisha
Mtu mwenye kiroba cha hela ambazo zimehesabiwa na mwenye kiroba cha hela ambacho hazijahesabiwa,
NANI MWENYE HELA NYINGI?
Same applies to corona test.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na Kenya yenye wagonjwa 300+,south Africa yenye wagonjwa 1000+ wenyewe wanafuata maagizo? Huyu beberu ni wa kupuuzwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi unadhani Makonda aliposema watu wanapukutika alikuwa anatania? Hali ni mbaya mno mno. Maiti zinazikwa usiku kwa usiri mkubwa. Kma una muda vizi makaburi kama ya Mbweni, Kunduchi muda wa jioni au usiku uone kinachoendelea. Wameshafariki wagonjwa wengi sana. Una mtu mgonjwa wa corona unayemjua alikuwa hospital ya Amana au anafanya kazi hapo? Hicho Makonda alichosema ndiyo hali halisi na ni katika kubwabwaja kwake akajikuta anatoa siri. Kuna siku wanawazika hata maiti 15!
 
Corona haina mbabe wala. Kuna muda nikifiria greatness and power of USA na bado ndiyo wanaongoza kwa vifo na maambukizi, Nakosa majibu

Sent using Jamii Forums mobile app

Na kuna wimbi lingine litawakumba wataalamu wanasema ya mwanzo cha mtoto
Trump alitaka ukuta na Mexico ili wasiingie [emoji631] sasa wao Mexico ndio wanawazuia USA wasiingie
Kweli dunia imebadilika


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Vipi kuhusu marekani,Italy spain,Germany.?
Asia,marekani zote nazo hawafuati huo muongozo ndo maana wana maambukizi mengi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanafuata na ndiyo maana waliofariki siyo wengi kama ilivyotarajiwa. Koooote huko unakosema projection yake ya vifo ilikuwa ni kubwa sana lakini wameweza kui-minimize kwa kufuata kanuni. Tanzania hata mimi nakubali kuwa total lockdown practically haiwezekani lakini bado tu kuna hatua ambazo tungeweza kuchukuwa kupunguza makali zaidi. Hivi inakuangia akilini mikusanyiko kama ya Bar, Ibada, masoko nk tumeshindwa kuizuia? Na kwa taarifa yako ni kuwa Tanzania ndiyo tunaanza sasa hivi kukumbwa na vifo... hivyo bado kabisa usianze kufananisha na huko. Usijeona ajabu tukawapita!
 
For the 1st time, Europe, Asia and America are learning their lesson from a 'tiny' country is East Africa.
Europe has the confidence to reopen their economies from the case studies they have secretely taken from countries like Tanzania.
Kenya for example, has a confidence to open school abrubtly from a lock down using Tz as their case study on impossibilty of adverse effects of reopening.
Tanzania the 1st time, has shown a leadership to the World on how to live with a deadly snake in the room without a single snake bite!

Wow! Hongera, so Tanzania schools have reopened.
 
Kwa taarifa nilizonazo mpaka leo hii; Tanzania mpaka sasa tuna wagongwa 287, Kenya wana wagonjwa 320, huko ulaya na marekani ndio hata sitaki kutazama.

Sasa sijui kwanini wameamua kutu- point sisi!.

Hebu muulizeni huyo mzungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wametupost au kutuzungumzia sisi kwa kuwa baadhi yetu sisi watanzania tumepeleka huko WHO au 'tumeshitaki' huko kwamba serikali inapuuza masuala ya tahadhari kwa Corona...adui nambari moja wa Tanzania siyo mabeberu Bali ni sisi wenyewe watanzania....wewe fikiria watu wamefika mahali wanahoji kwanini Rais wetu Yuko Chato...yaani sijuo wanataka sijui aweoo wapi sijui Dodoma au Dar es salaam...it is as if Chato siyo sehemu ya Tanzania...Yaani ni kana kwamba akiwa Chato eti Rais hawezi kutekeleza majukumu yake ya urais....Yaani watanzania baadhi yetu tumejaa husuda, malalamiko, ubishi, wivu, utoto, rulimbukeni na ufedhuli...
 
Huku tumefungiwa ndani lakini mpaka jana wamekufa 600 na ushee
Huu ugonjwa unasambaa kama moto kwenye upepo mwingi na hakuna mjanja


Sent from my iPhone using Tapatalk
Sasa mkuu Kama ninyi mmefungiwa ndani na bado mnakufa Kama kuku,sisi na hali zetu huku za nitoke ndo nile na kugombania dala dala tutapona kweli?
 
Kama Kenya nadhani tulikwisha wapita. Twajifanya wajanja siku tutapoanza kupiga yowe hapatakuwa na wakutusikiliza
Sisi ndio itakuwa Nchi ya mwisho tena kwa kusaidiwa ambayo kumaliza Covid19

Katika kipindi hicho Wananchi wetu watakuwa wakizuiwa kuingia nchi jirani shida hii tunaletewa na viongozi haswa huyu jiwe
 
Yeye apambane na huu mlipuko katika nchi yake na si kuja kuchunguza sisi wazawa tunapambanaje na huu ugonjwa maana hawana msaada hawa zaidi ya kutuambia wanatukopesha pesa kipindi hiki kigumu. Yani ni bora waendelee tu na mambo yao huko watuache na sisi tupambane kivyetu maana tunaougua na kufa ni sisi hivyo lazima tujaribu njia tunazoona zinafaa na si wao wanazoona zinafaa.
 
Wametupost au kutuzungumzia sisi kwa kuwa baadhi yetu sisi watanzania tumepeleka huko WHO au 'tumeshitaki' huko kwamba serikali inapuuza masuala ya tahadhari kwa Corona...adui nambari moja wa Tanzania siyo mabeberu Bali ni sisi wenyewe watanzania....wewe fikiria watu wamefika mahali wanahoji kwanini Rais wetu Yuko Chato...yaani sijuo wanataka sijui aweoo wapi sijui Dodoma au Dar es salaam...it is as if Chato siyo sehemu ya Tanzania...Yaani ni kana kwamba akiwa Chato eti Rais hawezi kutekeleza majukumu yake ya urais....Yaani watanzania baadhi yetu tumejaa hududa, malalamiko, ubishi, wivu, utoto, ulimbukeni na ufedhuli...
Mkuu wewe unashindwaje kutekeleza majukumu yako ukiwa nyumbani kwako? Mbona ukisikia lockdown unakuja juu?
 
Tuwekeni record ya hizi comments.

Baadhi yetu tutakuja kuziruka kuwa hazikuwa zetu.

Pana kitu kipo very wrong somewhere kiasi kuwa baada ya huu ugonjwa mwenyezi Mungu atujalie kuwa hai, kwa hakika yatahitaji total overhaul.

Hasa hasa system ya elimu na labda system ya uendeshaji wa siasa.

Niandikapo kuna madereva wa malori 2 toka Tanzania wamekutwa na Corona Uganda wakati sisi wenyewe hatuna habari.

Ama kweli ni Mungu tu.
Kwahiyo hao raia wawili wa tanzania ndio wamekufanya uone umuhimu wa kubadili system ya elimu tanzania vipi kuhusiana na system ya elimu ya Italy, Spain na Marekani huko hakuna umuhimu wa kuibadili kweli??
 

But you insinuated that Kenya is planning to resume schooling following Tanzania's case study.
Kenya's schools will not be reopened to all students except for national exam candidates, are you aware Tanzania just announced all form six exams have been postponed indefinitely.
 
Back
Top Bottom