Wametupost au kutuzungumzia sisi kwa kuwa baadhi yetu sisi watanzania tumepeleka huko WHO au 'tumeshitaki' huko kwamba serikali inapuuza masuala ya tahadhari kwa Corona...adui nambari moja wa Tanzania siyo mabeberu Bali ni sisi wenyewe watanzania....wewe fikiria watu wamefika mahali wanahoji kwanini Rais wetu Yuko Chato...yaani sijuo wanataka sijui aweoo wapi sijui Dodoma au Dar es salaam...it is as if Chato siyo sehemu ya Tanzania...Yaani ni kana kwamba akiwa Chato eti Rais hawezi kutekeleza majukumu yake ya urais....Yaani watanzania baadhi yetu tumejaa hududa, malalamiko, ubishi, wivu, utoto, ulimbukeni na ufedhuli...