YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Huyo mkurugenzi mjinga tuVipi kuhusu marekani,Italy spain,Germany.?
Asia,marekani zote nazo hawafuati huo muongozo ndo maana wana maambukizi mengi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo mkurugenzi mjinga tuVipi kuhusu marekani,Italy spain,Germany.?
Asia,marekani zote nazo hawafuati huo muongozo ndo maana wana maambukizi mengi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo hao raia wawili wa tanzania ndio wamekufanya uone umuhimu wa kubadili system ya elimu tanzania vipi kuhusiana na system ya elimu ya Italy, Spain na Marekani huko hakuna umuhimu wa kuibadili kweli??
Kwani tupo kwenye mashindano?Tunaenda kuzipita hizo zote ulizozitaja katika muda mfupi saana
Kenya na south wanafanya mass tesing.Na Kenya yenye wagonjwa 300+,south Africa yenye wagonjwa 1000+ wenyewe wanafuata maagizo? Huyu beberu ni wa kupuuzwa
Sent using Jamii Forums mobile app
The rapid rise in coronavirus cases in Tanzania is partly a result of the government ignoring the international medical recommendations on social gatherings etc, says Dr. Moeti, the Africa director for WHO, at a briefing today.
In Tanzania, the number of confirmed coronavirus cases has increased by more than 500% in the past 10 days. That's one of the worst rates of increase in the world. No wonder the WHO is concerned.
The information from the WHO is actually not "finger-pointing" -- it's an attempt to show that international experts disagree with the Tanzanian government's strategy. Tanzanians have a right to know about this, so that an informed debate can happen.
Kuzpita kwenye.nini?Tunaenda kuzipita hizo zote ulizozitaja katika muda mfupi saana
Tiba ya asili.ni "nonsense"?Viongozi wetu wametoka kwa mungu it didn’t work, sasa hivi wapo kwenye tiba ya asili; god knows what nonsense they will come up with next.
Kwa anae amini tiba za asili zinafanya kazi ana uhuru wakutumia.Tiba ya asili.ni "nonsense"?
Tiba ipi isiyo ya Asili ambayo haijatokana na unazoziita tiba za asili?
Kinachozungumziwa hapa ni 'Kasi/rate' ya maambukizi/infection; na sio wingi wa wagonjwa. Inaonyesha hili hulijui!Na Kenya yenye wagonjwa 300+,south Africa yenye wagonjwa 1000+ wenyewe wanafuata maagizo? Huyu beberu ni wa kupuuzwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Tiba zinazotumia kemikali zinazotengenezwa kwenye maabara, hazina uhusiano wowote na 'tiba asili'.Tiba ipi isiyo ya Asili ambayo haijatokana na unazoziita tiba za asili?
Hivi unaijuwa maana ya neno "science" au unakurupuka tu?Kwa anae amini tiba za asili zinafanya kazi ana uhuru wakutumia.
But that is not a substitute for science walau wakati wanatoa ushauri huo wasiwache kuwaambia umuhimu wa dawa zingine zinazoshauriwa na wataalamu wa afya.
Ni lazima viongozi wawe responsible kuwaambia watanzania watumie tiba za asili ni sawa na kuwa encourage kuachana na dawa za kisayansi na hilo ni jambo la hatari.
Hakuna mtu mwenye akili zake timamu anaekunywa huo mchanganyo wa limau, tangawizi na asali kwa kuchemsha na maji au sijui kujifukiza na kitu gani akaacha paracetamol na hakuna mwenye severe case ya COVID 19 atakaepona bila ya kupewa oxygen (kwa ivyo safari ya pharmacy ama hospitali inahusika; sio ya sokoni wala kwa mganga).
Ndio maana WHO wanasema nchi aifuati ushauri wao.
Corona anachaguwa masikini na tajiri?Wanaoteseka ni Watanzania masikini
Hatuwezi kuwapita kwa sababu hakuna ukweli unaotangazwa, kwa kukusaidia uliza waliotoroka Amana hospital wakuambie wameona marehemu wangapi walipokua pale,NAJARIBU KUKUSAIDIA KUFIKIRI do your homework
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukweli ninkuwa hawafati wataalam waliobobea. Msikilize.mtaalaam huyu anawapa ushauri Sweden wa kitokuganya lockdown na umefata na mpaka sasa Sweden maambukizi ni kidogo sana ukilinganisha na nchi za Ulaya zilizojilockdown.Vipi kuhusu marekani,Italy spain,Germany.?
Asia,marekani zote nazo hawafuati huo muongozo ndo maana wana maambukizi mengi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku hizi haina haja ya kusoma sana.. Ukijifukiza tu, inatosha!Haishangazi mkuu. System yetu ya elimu inafikirisha. Kwa maana inajulikana kuwa hapa kwetu aliyekwenda shule ba asiye kwenda shule wote maji ga nyanja.
Nilikua nafikiri najadiliana na mtu mwenye akili kumbe nipo kwenye mjadala la kijana wa Ufipa??Kubadili system ya elimu si kwa sababu ya wagonjwa wawili pekee wa maambukizi ya jana waliopatikana Uganda ambao ni madereva wa malori ni raia waTanzania waliotokea Tanzania, bali quality ya comments zetu na hasa zako mkuu.
Labda system ya education na system ya siasa ikibadilika, you could do better.
Ni katika kukutakia mema wala usijisikie vibaya mkuu.