Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,420
- 18,298
Ni hatua zipi serikali hazijatekeleza kama nchi zingine za Africa?.
1.Social distancing inatekelezwa
2.shule na vyuo zimefungwa.
3.makanisa na misikiti (ni
kujiongeza tu kwa waumini)
4.Barakoa na sanitizer zinazingit-
iwa tena kwa hatua za mwanzo.
LOCKDOWN to ndo haijatekelezwa na ni kitu kigumu kwa nchi za Africa,angalia Ghana wamerudi mtaani,south africa ndo hivo,subiri Kenya,Uganda na Rwanda zitafunguliwa serikali hazina uwezo wa kumlisha mtu ndani kwa mda mrefu na wakirudi mtaani maambukizi ni yaleyale.
Hivi Burundi walifanya lockdown lini na ligi iliendelea hadi wiki zilizopita.
Kwa Africa lockdown ni ngumu sana sema tu hayo mataifa ya Ulaya yamemchoka jamaa kwa mambo yake na misimamo yake na ukiukwaji wa haki za binadam kwa matukio yaliyopita
♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧