WHO: Maambukizi ya Tanzania yanaenea kwa sababu Serikali haifuati miongozo ya afya ya kimataifa

WHO: Maambukizi ya Tanzania yanaenea kwa sababu Serikali haifuati miongozo ya afya ya kimataifa

Hao mabeberu waache kuingilia mambo Yetu ya Ndani
 
Hiyo Tweet ni ya Raia wa Nchi gani ambaye yupo concerned mno na sisi kuliko huko kwao ambako madhara ni makubwa zaidi??

Tuwekeni record ya hizi comments.

Baadhi yetu tutakuja kuziruka kuwa hazikuwa zetu.

Pana kitu kipo very wrong somewhere kiasi kuwa baada ya huu ugonjwa mwenyezi Mungu atujalie kuwa hai, kwa hakika yatahitaji total overhaul.

Hasa hasa system ya elimu na labda system ya uendeshaji wa siasa.

Niandikapo kuna madereva wa malori 2 toka Tanzania wamekutwa na Corona Uganda wakati sisi wenyewe hatuna habari.

Ama kweli ni Mungu tu.
 
Raisi na Baraza lake la Mawaziri wajiuzulu
Utakufa usipofuata ushauri wa kujikinga na maambukizi ukisubiri Serikali itoe amri ya wewe kujifungia ndani. Upumbavu na ulofa huo. Thamini maisha yako.
 
Crap!
For the 1st time, Europe, Asia and America are learning their lesson from a 'tiny' country is East Africa.
Europe has the confidence to reopen their economies from the case studies they have secretely taken from countries like Tanzania.
Kenya for example, has a confidence to open school abrubtly from a lock down using Tz as their case study on impossibilty of adverse effects of reopening.
Tanzania the 1st time, has shown a leadership to the World on how to live with a deadly snake in the room without a single snake bite!
 
Wazungu walikuibia siri kuwa watafanyia majaribio chanjo ya Korona Afrika.. Wanacho jifunza kutoka Afrika, sio chanjo tu.. Kuna mambo mengi mazuri wanajifunza toka kwetu, but they wont admit!

Haha haaa ha.

Kweli tuko convinced kuwa hizi ndiyo comments bora kabisa kwa concern hii ya WHO?

Mkuu level yako ya elimu ingependeza kuijua.

Samahani lakini mkuu. Ila kwa nia njema tu ya kujiridhisha mkuu elimu yako tafadhali.
 
Hii ngoma haitaki jeuri wala ukaidi waliokuwa wanatoatoa amri sasa hivi nao wapo mafichoni vichwa vinawauma,
 
Tunaenda kuzipita hizo zote ulizizitata katika muda mfupi saana
Hali iko hivi
Screenshot_20200423-184948_Samsung Internet.jpg
Screenshot_20200423-184915_Samsung Internet.jpg
 
Hatuwezi kuwapita kwa sababu hakuna ukweli unaotangazwa, kwa kukusaidia uliza waliotoroka Amana hospital wakuambie wameona marehemu wangapi walipokua pale,NAJARIBU KUKUSAIDIA KUFIKIRI do your homework

Sent using Jamii Forums mobile app
"alunamda, wewe umeona magari mangapi ya maiti yanatoka pale amana kwa maana kama wanakufa wanapelekwa kuzikwa. Au tupeleke mwisho wa njia yaani kaburi kubwa la pamoja walikozikwa hao watu wengi waliokufa.
 
Hiyo Tweet ni ya Raia wa Nchi gani ambaye yupo concerned mno na sisi kuliko huko kwao ambako madhara ni makubwa zaidi??
Mpaka rais wao anaomba kusamehewa madeni eti,Ila kwetu madhara ni kiduchu sana ndo maana hatulii lii
 
Back
Top Bottom