WHO: Maambukizi ya Tanzania yanaenea kwa sababu Serikali haifuati miongozo ya afya ya kimataifa

Sidhani huu utopolo hawezi kuuandika kwa USA maana wao wamefuata maelekezo na hakuna maambukizi kabisa.
 
Hivi WHO imeliongelea hili la kujifukiza chai ya rangi?
 
Corona
Hizo nchi na serikali zao ambazo zinafuata ushauri wa wataalamu wanaendeleaje na kasi ya maambukizi??
Corona siyo siasa, watu wanafiwa na wapendwa wao na hawatawaona tena millele, wewe unasema tu, kuna siku hatutaona post zako hapa
 
Hivi ni kwanini Baba anavipenda na kuviamini sana vyombo vya dola na watu wa sector hiyo kuliko Sector ya Afya na watu wake kwenye majanga kama haya?
 
Hii ni bahati mbaya ya terehe 25/10/2015. Itatutafuta karibu miaka sita ijayo. Wahenga walisema, si vyote vingΓ‘avyo ni dhahabu, yaani si wagombea wote wa uongozi ana sifa za uongozi.
 
Tutakufa kama kuku, usiishie kuangalia Serikali inakwama wapi.....protect yourself and your beloved ones....una simu, soma safety precautions zinazotolewa na wataalam....."watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa"
 
Hayo Ni mawazo finyu Sana yenye harufu ya chembe chembe za kushindwa Hoja. Ndo maana Trump anawanyima pesa.

Hivi China,italy, America Kuna social gathering? Mbona watu wamepigwa lock ndani lkn idadi ya cases inaongezeka kila siku.

Tusitishane, nimesikia mmeshauri ile dawa iliyogundulika kule Madagascar isitumike Kwasababu si ndio dawa ya Covid. Kwann msiende kichungiza na kujiridhisha km Ni nzuri au la halafu mkapiga marufuku.

Wenzio wamesema wamewatibu wagonjwa wawili na wamepona kwann msiende kuona ipoje. Lkn mmetoa tamko bika hata nyie kujiridhisha.

Nchi za kiafrika ziangalie sn ktk handling ya suala Hili la COVID 19 Management. Wao wanaamini Afrika hatuwez gundua dawa ila ulaya tu.

Mi naimiaga Sana kwa kweli lkn yote kwa yote tumuachie Mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa hiyo marekani,italy na spain wao wanafuata miongozo ipi.labda.??
tangu walipoanza kuzingatia.... tushaambiwa virus hana dawa wala kinga.......wala wanaopona hatujaambiwa wamepona kwa dawa gani?...kujiongeza haikatazwi huku suala la kunawa mikono likizingatiwa na kuepuka misongamano....isiyo ya lazima.
 

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

You have made me very happy, however, in some of the things that cause us to fail, it is because we allow so much fear to rule us
 

yako wapi? sisi hatuna hata ventilator na tupogo tu. Mbona waja wanapenda sana kutunga maneno? Tusijidanganye, huu ugonjwa kama ungekuwa serious na sisi, sijui ingekuwaje. Tumesalimika. Tunagua halafu tunapona kimya kimya.
WHO waone aibu kutunga story zidi ya Tanzania. Hawa waliseman tuna Ebola. Sasa wanasema corona. Kesho watasema nini? Waache hizo story zao za brotherhood
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…