Rogojin The Idiot
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 2,969
- 3,392
😂😂😂
You have made me very happy, however, in some of the things that cause us to fail, it is because we allow so much fear to rule us
Jirani alilalamika kuna vibaka kesho yake ss tukalala fofofo milango wazi, halafu tunajilinganisha na jirani nani kaibiwa zaidi.Na Kenya yenye wagonjwa 300+,south Africa yenye wagonjwa 1000+ wenyewe wanafuata maagizo? Huyu beberu ni wa kupuuzwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Jirani alilalamika kuna vibaka kesho yake ss tukalala fofofo milango wazi, halafu tunajilinganisha na jirani nani kaibiwa zaidi.
Hakika. Tuanzisheni harakati za "Magufuli lazima ajiuzulu," kabla hatujazika maelfu ya watu; maana tusipokuwa waangalifu kesho atatuambia kwamba yeye hajaleta Corona!!!Raisi na Baraza lake la Mawaziri wajiuzulu
Na huko kwingine wenye vifo na wagonjwa wengi kuliko Tz wanatokana na kufuata maelekezo ya WHO???The rapid rise in coronavirus cases in Tanzania is partly a result of the government ignoring the international medical recommendations on social gatherings etc, says Dr. Moeti, the Africa director for WHO, at a briefing today.
In Tanzania, the number of confirmed coronavirus cases has increased by more than 500% in the past 10 days. That's one of the worst rates of increase in the world. No wonder the WHO is concerned.
The information from the WHO is actually not "finger-pointing" -- it's an attempt to show that international experts disagree with the Tanzanian government's strategy. Tanzanians have a right to know about this, so that an informed debate can happen.
Mmeshindwa kuongoza saccos zenu, mnarukia kutaka kutawala nchi, kama mnaweza subiri Oct hiyo inakuja gombea utapewa nchi ukishinda.Hakika. Tuanzisheni harakati za "Magufuli lazima ajiuzulu," kabla hatujazika maelfu ya watu; maana tusipokuwa waangalifu kesho atatuambia kwamba yeye hajaleta Corona!!!
Walipuuza mwanzoni kwa ujinga wao, wakapukutika Kama majani ya mbuyu, kama sisi tunavyopuuza kwa upumbavu wetu, tutakwisha!!!!Vipi kuhusu marekani,Italy spain,Germany.?
Asia,marekani zote nazo hawafuati huo muongozo ndo maana wana maambukizi mengi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Suala hapa ndugu mpenda kutawala si kutawala nchi, suala Ni korona itatumaliza iwapo tutaendelea na wapenda kutawala na Kodi. Hivi hizo Kodi watazikusanya kwa maiti!!!?Mmeshindwa kuongoza saccos zenu, mnarukia kutaka kutawala nchi, kama mnaweza subiri Oct hiyo inakuja gombea utapewa nchi ukishinda.
Amasivyo kakojoe ulale, usije ukaloanisha kitanda godoro likaoza
Hebu ficha ujinga wako, hujui kama Tz ni kituko? Nendeni Uganda mkaone M7 anavyo deal na huu ugonjwa huenda akiri zitawakaa sawaFor the 1st time, Europe, Asia and America are learning their lesson from a 'tiny' country is East Africa.
Europe has the confidence to reopen their economies from the case studies they have secretely taken from countries like Tanzania.
Kenya for example, has a confidence to open school abrubtly from a lock down using Tz as their case study on impossibilty of adverse effects of reopening.
Tanzania the 1st time, has shown a leadership to the World on how to live with a deadly snake in the room without a single snake bite!
Hakika. Tuanzisheni harakati za "Magufuli lazima ajiuzulu," kabla hatujazika maelfu ya watu; maana tusipokuwa waangalifu kesho atatuambia kwamba yeye hajaleta Corona!!!
Nilikua nafikiri najadiliana na mtu mwenye akili kumbe nipo kwenye mjadala la kijana wa Ufipa??
Naishia hapa maana uelekeo wako ni wa kutafuta kiki tu, huna lolote.
Haikuwahi kusemwa katika ahadi moja kwamba: "binadamu wote ni ndugu zangu, na afrika ni moja!!?"Wewe unaumwa Covid? Maana ili harakati yoyote ifanikiwe lazima ipate uhalali mbele ya macho ya wengi
Tunachojari ni rate ya maambukizi siyo idadi kuu. Tazama rate ya Tz ni asilia 500 hiyo haikushitui?Vipi kuhusu marekani,Italy spain,Germany.?
Asia,marekani zote nazo hawafuati huo muongozo ndo maana wana maambukizi mengi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika. Tuanzisheni harakati za "Magufuli lazima ajiuzulu," kabla hatujazika maelfu ya watu; maana tusipokuwa waangalifu kesho atatuambia kwamba yeye hajaleta Corona!!!
Hao WHO waliwachukulia hatua gani hizo nchi zingine kwa upuuzi wao?Walipuuza mwanzoni kwa ujinga wao, wakapukutika Kama majani ya mbuyu, kama sisi tunavyopuuza kwa upumbavu wetu, tutakwisha!!!!
Suala hapa ndugu mpenda kutawala si kutawala nchi, suala Ni korona itatumaliza iwapo tutaendelea na wapenda kutawala na Kodi. Hivi hizo Kodi watazikusanya kwa maiti!!!?
Hujitambui, Mungu na Asili ni kama samaki na maji...... unatakaje mfano wewe?Viongozi wetu wametoka kwa mungu it didn’t work, sasa hivi wapo kwenye tiba ya asili; god knows what nonsense they will come up with next.
exactly!rate ya maambukizi