WHO: Maambukizi ya Tanzania yanaenea kwa sababu Serikali haifuati miongozo ya afya ya kimataifa

WHO: Maambukizi ya Tanzania yanaenea kwa sababu Serikali haifuati miongozo ya afya ya kimataifa

Jirani alilalamika kuna vibaka kesho yake ss tukalala fofofo milango wazi, halafu tunajilinganisha na jirani nani kaibiwa zaidi.

That is just a number. And confused people have joined the ranks of their fellows in other parts of the world. Us, we have said no. We will dance to the tune of our own song.
That is why there are few heroes in this world, because the path they normally take, isn't pleasant to many residents of this world.
 
The rapid rise in coronavirus cases in Tanzania is partly a result of the government ignoring the international medical recommendations on social gatherings etc, says Dr. Moeti, the Africa director for WHO, at a briefing today.


In Tanzania, the number of confirmed coronavirus cases has increased by more than 500% in the past 10 days. That's one of the worst rates of increase in the world. No wonder the WHO is concerned.

The information from the WHO is actually not "finger-pointing" -- it's an attempt to show that international experts disagree with the Tanzanian government's strategy. Tanzanians have a right to know about this, so that an informed debate can happen.
Na huko kwingine wenye vifo na wagonjwa wengi kuliko Tz wanatokana na kufuata maelekezo ya WHO???
 
Hakika. Tuanzisheni harakati za "Magufuli lazima ajiuzulu," kabla hatujazika maelfu ya watu; maana tusipokuwa waangalifu kesho atatuambia kwamba yeye hajaleta Corona!!!
Mmeshindwa kuongoza saccos zenu, mnarukia kutaka kutawala nchi, kama mnaweza subiri Oct hiyo inakuja gombea utapewa nchi ukishinda.
Amasivyo kakojoe ulale, usije ukaloanisha kitanda godoro likaoza
 
Mmeshindwa kuongoza saccos zenu, mnarukia kutaka kutawala nchi, kama mnaweza subiri Oct hiyo inakuja gombea utapewa nchi ukishinda.
Amasivyo kakojoe ulale, usije ukaloanisha kitanda godoro likaoza
Suala hapa ndugu mpenda kutawala si kutawala nchi, suala Ni korona itatumaliza iwapo tutaendelea na wapenda kutawala na Kodi. Hivi hizo Kodi watazikusanya kwa maiti!!!?
 
For the 1st time, Europe, Asia and America are learning their lesson from a 'tiny' country is East Africa.
Europe has the confidence to reopen their economies from the case studies they have secretely taken from countries like Tanzania.
Kenya for example, has a confidence to open school abrubtly from a lock down using Tz as their case study on impossibilty of adverse effects of reopening.
Tanzania the 1st time, has shown a leadership to the World on how to live with a deadly snake in the room without a single snake bite!
Hebu ficha ujinga wako, hujui kama Tz ni kituko? Nendeni Uganda mkaone M7 anavyo deal na huu ugonjwa huenda akiri zitawakaa sawa
 
Hakika. Tuanzisheni harakati za "Magufuli lazima ajiuzulu," kabla hatujazika maelfu ya watu; maana tusipokuwa waangalifu kesho atatuambia kwamba yeye hajaleta Corona!!!

Wewe unaumwa Covid? Maana ili harakati yoyote ifanikiwe lazima ipate uhalali mbele ya macho ya wengi
 
Nilikua nafikiri najadiliana na mtu mwenye akili kumbe nipo kwenye mjadala la kijana wa Ufipa??

Naishia hapa maana uelekeo wako ni wa kutafuta kiki tu, huna lolote.

Kwa vile mnadhani kila mtu ni siasa siasa kama nyie tusubirie wanasema: "time ll tell".

Kwa akili yenu it can only be white or black. Kuwa kama mtu hakibaliani na wewe basi ni wa ufipa. Mawazo ya kipunguani wa kiwango cha juu sana.

Muda ni mwalimu mzuri na haukuwahi kudanganya.

Allah atujalie uhai, pana watu mtakuja kuzikana comments zenu wenyewe ambazo leo mnajifanya ati kuwa nyie ndiyo werevu.
 
Haya soma mwenyewe najua kuna Lumumba watakuja na matusi kem kem!
1587730399711.png


Tanzania’s delay in enforcing stricter measures to prevent further spread of coronavirus in the country could have led to the spike in positive cases, according to the World Health Organization (WHO). The body’s Regional Director for Africa Matshidiso Moeti says there are concerns about the rise of cases reported in the East African country in the last few days. “Certainly in Tanzania, we have observed that physical distancing, including the prohibition of mass gatherings, took some time to happen and we believe that these might have been probable factors that led to a rapid increase in cases there,” Dr. Moeti said at a briefing.

Read more at: Tanzania's restrictions delay led to virus spike — WHO - Vanguard News
 
Wewe unaumwa Covid? Maana ili harakati yoyote ifanikiwe lazima ipate uhalali mbele ya macho ya wengi
Haikuwahi kusemwa katika ahadi moja kwamba: "binadamu wote ni ndugu zangu, na afrika ni moja!!?"

Hao wanaoumwa na kufa ni Ndugu zangu. Inakuwaje genge la watu wachache wenye madaraka wajifanye vipofu wasioona vifo vinavyotokea.

Hivi wanadhani watazika maelfu ya watu kimya kimya bila Ndugu zao kusala, thubutu!
 
Vipi kuhusu marekani,Italy spain,Germany.?
Asia,marekani zote nazo hawafuati huo muongozo ndo maana wana maambukizi mengi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Tunachojari ni rate ya maambukizi siyo idadi kuu. Tazama rate ya Tz ni asilia 500 hiyo haikushitui?

Marekani na SA ni nchi zenye population kubwa ndiyo maana walioambukizwa ni wengi lakini rate ya maambukizi inashuka kwa sababu ya kufuata masharti magumu.
 
Bangi za tarime mwaka huu ni Kali sana kutokana na kupata mvua,magufuli ndo kaleta korona,? Mmeshapewa namna ya kujikinga fuateni ushauri wa matabibu mtasalimika,eti muanzishe harakati, poor,
Hakika. Tuanzisheni harakati za "Magufuli lazima ajiuzulu," kabla hatujazika maelfu ya watu; maana tusipokuwa waangalifu kesho atatuambia kwamba yeye hajaleta Corona!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walipuuza mwanzoni kwa ujinga wao, wakapukutika Kama majani ya mbuyu, kama sisi tunavyopuuza kwa upumbavu wetu, tutakwisha!!!!
Hao WHO waliwachukulia hatua gani hizo nchi zingine kwa upuuzi wao?

There's an hidden agenda sio bure!
Huwezi point Tanzania wakati huko kwao hali tete kuliko hata Tanzania.
WHO wamesema nini kinachangia huo utete despite kuwasifia kuwa wanachukua hatua?

WHO wakomae marekani atoe mchango maisha yaendelee
Kila nchi ipambane kivyake apatikane anticovid19 watu wapunguze hofu.
Huu ni muda Wa WHO kuongeza nguvu za kutafuta suluhu sio kuleta propaganda mfu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huko ulaya na marekani wanakomalizika kuna wapenda kutawala au mnaongeaga kama mmkekatwa vichwa?
Hili janga halihitaji siasa wala propaganda zenu za ccm na chadema
Suala hapa ndugu mpenda kutawala si kutawala nchi, suala Ni korona itatumaliza iwapo tutaendelea na wapenda kutawala na Kodi. Hivi hizo Kodi watazikusanya kwa maiti!!!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Viongozi wetu wametoka kwa mungu it didn’t work, sasa hivi wapo kwenye tiba ya asili; god knows what nonsense they will come up with next.
Hujitambui, Mungu na Asili ni kama samaki na maji...... unatakaje mfano wewe?
 
Back
Top Bottom