WHO: Maambukizi ya Tanzania yanaenea kwa sababu Serikali haifuati miongozo ya afya ya kimataifa

WHO sio wa kuwaamini walitaka kutuzulia mwaka jana kwamba tuna Ebola., wajinga sana hao. Wapo hapo more politically wanajitia aibu.
 
Huko ulaya na marekani wanakomalizika kuna wapenda kutawala au mnaongeaga kama mmkekatwa vichwa?
Hili janga halihitaji siasa wala propaganda zenu za ccm na chadema

Sent using Jamii Forums mobile app
what matters is the rate of infection not the number. Kwenye watu milioni 300 na kwenye watu milioni 50 kama tuko equally exposed, in terms of numbers kwenye milioni 300 kutakuwa na namba kubwa. nadhani umeokota kidogo
 
Pumbavu kabisa WHO! Mulishindwa kutoa maagizo pindi ugonjwa upo China!.
Hoyo miongozo mungeitoa mapema kuzuia kuenea Duniani.
Leo Tz ndo mnataka kutupangia.
Jinga sana WHO. Mnaboa sana.
Corona ipo chini ya ajenda za siri hasa katika masuala ya ushindani wa kiuchumi.
 
Italy INA watu million 300?

Msalimie papa hapo Vatican .
.
what matters is the rate of infection not the number. Kwenye watu milioni 300 na kwenye watu milioni 50 kama tuko equally exposed, in terms of numbers kwenye milioni 300 kutakuwa na namba kubwa. nadhani umeokota kidogo
 
Kwa taarifa nilizonazo mpaka leo hii; Tanzania mpaka sasa tuna wagongwa 287, Kenya wana wagonjwa 320, huko ulaya na marekani ndio hata sitaki kutazama.

Sasa sijui kwanini wameamua kutu- point sisi!.

Hebu muulizeni huyo mzungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhai wengi hamujamuelewa ila mnajibu kwa mihemko. Ongezeko la Kasi linaloshuhudiwa Tanzania Ni kubwa kwa kipindi kifupi. Ulishawahi kusikia Kenya wanatangaza kupata wagonjwa 88 ndani ya siku moja?
 
Huyu si ndiye yuleyule alie Gombana na Trump ajili ya kuwatetea China,Kesha maliza na kaka mkubwa au kaamua tu kuanzan na jiwe?
The rapid rise in coronavirus cases in Tanzania is partly a result of the government ignoring the international medical recommendations on social gatherings etc, says Dr. Moeti, the Africa director for WHO, at a briefing today.

In Tanzania, the number of confirmed coronavirus cases has increased by more than 500% in the past 10 days. That's one of the worst rates of increase in the world. No wonder the WHO is concerned.

The information from the WHO is actually not "finger-pointing" -- it's an attempt to show that international experts disagree with the Tanzanian government's strategy. Tanzanians have a right to know about this, so that an informed debate can happen.

Tanzania ipo poa zaidi ya UK kila kukicha watu 700 confirmed wanakufa na wanafuata hizo recommendation. Mimi ninaishi hapa na watu wanaanguka kila kukicha. Huu ugonjwa ni kiboko ya wanaojifanya wana utaalam kuliko wengine. Marekani watu karibu elfu hamsini wameshakufa yeye anang'ang'ania Tanzania tu.
 
Nadhai wengi hamujamuelewa ila mnajibu kwa mihemko. Ongezeko la Kasi linaloshuhudiwa Tanzania Ni kubwa kwa kipindi kifupi. Ulishawahi kusikia Kenya wanatangaza kupata wagonjwa 88 ndani ya siku moja?
UK na USA wanakufa 1000 kwa siku unasemaje Dr? Na watu wameandamana wanataka kurudi makazini. Kwani hawawapendi hao wanatupenda sana sisi?
 
Hiyo Tweet ni ya Raia wa Nchi gani ambaye yupo concerned mno na sisi kuliko huko kwao ambako madhara ni makubwa zaidi??

Hoja ya kijinga. Umasikini wa nchi zetu ni tatizo kwa nchi zao kuliko sisi. Ndio maana wanatoa pesa zao kutukopesha na kutuhisani!! Mbona unakosa maarifa kwa kiasi hiki mkuu?? Unawa-diss wahisani/mabeberu???

Hoja hapa ni kama tunafuata miongozo ya kimataifa au la!
 
Huyo Mzungu ni mpuuzi tu kama walivyo wapuuzi wengine. Anazungumzia vipi kuhusu corona inavyoua maelfu kila siku huko US na Ulaya?.

Na wenyewe wameshindwa kufuata miongozo ya kiafya?. Hili ni janga kubwa huyo mzungu asilete zile akili za kwamba kinachofanywa na waafrika (watanzania) hakina mantiki ndani yake.

Wazungu wangekuwa wanafuata miongozo Donald Trump asingekwaruzana na viongozi wa WHO, asingetafuta mtu wa kumbebesha lawama.
 
Sasa jiwe ye anataka kodi atumie kwenye election afanyaje ss ila vizuri watu wamempuuza sana,makampuni yanarudisha wafanyakazi home kila kukicha ili kudhibiti corona yeye aendelee kucheza shere historia inajiandika.
Bado pigo moja takatifu linamsubiria wananchi sio wajinga kama anavowafikiria wanajitambua
Jiwe ni mtu wa ovyo kuwai kotea ktk sura ya dunia apuuzwe
 
The rapid rise in coronavirus cases in Tanzania is partly a result of the government ignoring the international medical recommendations on social gatherings etc, says Dr. Moeti, the Africa director for WHO, at a briefing today.

In Tanzania, the number of confirmed coronavirus cases has increased by more than 500% in the past 10 days. That's one of the worst rates of increase in the world. No wonder the WHO is concerned.

The information from the WHO is actually not "finger-pointing" -- it's an attempt to show that international experts disagree with the Tanzanian government's strategy. Tanzanians have a right to know about this, so that an informed debate can happen.
Kwahiyo huko Marekani hawafuati maelekezo? Mbona wanakufa Sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa hyo watu milioni 60+ una ona ni wadogo?
Tunachojari ni rate ya maambukizi siyo idadi kuu. Tazama rate ya Tz ni asilia 500 hiyo haikushitui? Marekani na SA ni nchi zenye population kubwa ndiyo maana walioambukizwa ni wengi lakini rate ya maambukizi inashuka kwa sababu ya kufuata masharti magumu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The rapid rise in coronavirus cases in Tanzania is partly a result of the government ignoring the international medical recommendations on social gatherings etc, says Dr. Moeti, the Africa director for WHO, at a briefing today.

In Tanzania, the number of confirmed coronavirus cases has increased by more than 500% in the past 10 days. That's one of the worst rates of increase in the world. No wonder the WHO is concerned.

The information from the WHO is actually not "finger-pointing" -- it's an attempt to show that international experts disagree with the Tanzanian government's strategy. Tanzanians have a right to know about this, so that an informed debate can happen.
Tunaenda kuwa shutdown by the neighbors and international community.
Tunaenda kuangamizwa na wazalendo wetu wenyewe.
 
Raisi na Baraza lake la Mawaziri wajiuzulu
Wanatakiwa kuwajibika,walituambia nchi yetu IPO salama wakati tunatahadharishana.Ubishi ulioambTatana na ubabe kwa kuwa wamejimilikisha vyombo vya dola na mihimili mingine,hawatusikilizi.
Watanzania tuamke tunaangamia.
 
Suala hapa ndugu mpenda kutawala si kutawala nchi, suala Ni korona itatumaliza iwapo tutaendelea na wapenda kutawala na Kodi. Hivi hizo Kodi watazikusanya kwa maiti!!!?
Wewe binafsi pesa unapata kutokana na kodi au kutokana na kufanya shughuli za kukuingizia kipato?
Je ktk kipindi kama hiki unachukua hatua gani ili kama unawatoto au Familia wapate chochote? Una ji lockdown au??
Start with yourself then u can understand the Government responsibility
 
Back
Top Bottom