Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama hata hujui ni wa nchi gani umejuaje kuwa kwao kuna maambukizi mengi?Hiyo Tweet ni ya Raia wa Nchi gani ambaye yupo concerned mno na sisi kuliko huko kwao ambako madhara ni makubwa zaidi??
what matters is the rate of infection not the number. Kwenye watu milioni 300 na kwenye watu milioni 50 kama tuko equally exposed, in terms of numbers kwenye milioni 300 kutakuwa na namba kubwa. nadhani umeokota kidogoHuko ulaya na marekani wanakomalizika kuna wapenda kutawala au mnaongeaga kama mmkekatwa vichwa?
Hili janga halihitaji siasa wala propaganda zenu za ccm na chadema
Sent using Jamii Forums mobile app
what matters is the rate of infection not the number. Kwenye watu milioni 300 na kwenye watu milioni 50 kama tuko equally exposed, in terms of numbers kwenye milioni 300 kutakuwa na namba kubwa. nadhani umeokota kidogo
Nadhai wengi hamujamuelewa ila mnajibu kwa mihemko. Ongezeko la Kasi linaloshuhudiwa Tanzania Ni kubwa kwa kipindi kifupi. Ulishawahi kusikia Kenya wanatangaza kupata wagonjwa 88 ndani ya siku moja?Kwa taarifa nilizonazo mpaka leo hii; Tanzania mpaka sasa tuna wagongwa 287, Kenya wana wagonjwa 320, huko ulaya na marekani ndio hata sitaki kutazama.
Sasa sijui kwanini wameamua kutu- point sisi!.
Hebu muulizeni huyo mzungu.
Sent using Jamii Forums mobile app
The rapid rise in coronavirus cases in Tanzania is partly a result of the government ignoring the international medical recommendations on social gatherings etc, says Dr. Moeti, the Africa director for WHO, at a briefing today.
In Tanzania, the number of confirmed coronavirus cases has increased by more than 500% in the past 10 days. That's one of the worst rates of increase in the world. No wonder the WHO is concerned.
The information from the WHO is actually not "finger-pointing" -- it's an attempt to show that international experts disagree with the Tanzanian government's strategy. Tanzanians have a right to know about this, so that an informed debate can happen.
Tanzania ipo poa zaidi ya UK kila kukicha watu 700 confirmed wanakufa na wanafuata hizo recommendation. Mimi ninaishi hapa na watu wanaanguka kila kukicha. Huu ugonjwa ni kiboko ya wanaojifanya wana utaalam kuliko wengine. Marekani watu karibu elfu hamsini wameshakufa yeye anang'ang'ania Tanzania tu.The rapid rise in coronavirus cases in Tanzania is partly a result of the government ignoring the international medical recommendations on social gatherings etc, says Dr. Moeti, the Africa director for WHO, at a briefing today.
In Tanzania, the number of confirmed coronavirus cases has increased by more than 500% in the past 10 days. That's one of the worst rates of increase in the world. No wonder the WHO is concerned.
The information from the WHO is actually not "finger-pointing" -- it's an attempt to show that international experts disagree with the Tanzanian government's strategy. Tanzanians have a right to know about this, so that an informed debate can happen.
UK na USA wanakufa 1000 kwa siku unasemaje Dr? Na watu wameandamana wanataka kurudi makazini. Kwani hawawapendi hao wanatupenda sana sisi?Nadhai wengi hamujamuelewa ila mnajibu kwa mihemko. Ongezeko la Kasi linaloshuhudiwa Tanzania Ni kubwa kwa kipindi kifupi. Ulishawahi kusikia Kenya wanatangaza kupata wagonjwa 88 ndani ya siku moja?
Hiyo Tweet ni ya Raia wa Nchi gani ambaye yupo concerned mno na sisi kuliko huko kwao ambako madhara ni makubwa zaidi??
Kwahiyo huko Marekani hawafuati maelekezo? Mbona wanakufa Sana.The rapid rise in coronavirus cases in Tanzania is partly a result of the government ignoring the international medical recommendations on social gatherings etc, says Dr. Moeti, the Africa director for WHO, at a briefing today.
In Tanzania, the number of confirmed coronavirus cases has increased by more than 500% in the past 10 days. That's one of the worst rates of increase in the world. No wonder the WHO is concerned.
The information from the WHO is actually not "finger-pointing" -- it's an attempt to show that international experts disagree with the Tanzanian government's strategy. Tanzanians have a right to know about this, so that an informed debate can happen.
Hao uliowataja wako kwenye phase ipi mkuu?UK na USA wanakufa 1000 kwa siku unasemaje Dr? Na watu wameandamana wanataka kurudi makazini. Kwani hawawapendi hao wanatupenda sana sisi?
Tunachojari ni rate ya maambukizi siyo idadi kuu. Tazama rate ya Tz ni asilia 500 hiyo haikushitui? Marekani na SA ni nchi zenye population kubwa ndiyo maana walioambukizwa ni wengi lakini rate ya maambukizi inashuka kwa sababu ya kufuata masharti magumu.
Tunaenda kuwa shutdown by the neighbors and international community.The rapid rise in coronavirus cases in Tanzania is partly a result of the government ignoring the international medical recommendations on social gatherings etc, says Dr. Moeti, the Africa director for WHO, at a briefing today.
In Tanzania, the number of confirmed coronavirus cases has increased by more than 500% in the past 10 days. That's one of the worst rates of increase in the world. No wonder the WHO is concerned.
The information from the WHO is actually not "finger-pointing" -- it's an attempt to show that international experts disagree with the Tanzanian government's strategy. Tanzanians have a right to know about this, so that an informed debate can happen.
Wanatakiwa kuwajibika,walituambia nchi yetu IPO salama wakati tunatahadharishana.Ubishi ulioambTatana na ubabe kwa kuwa wamejimilikisha vyombo vya dola na mihimili mingine,hawatusikilizi.Raisi na Baraza lake la Mawaziri wajiuzulu
Wewe binafsi pesa unapata kutokana na kodi au kutokana na kufanya shughuli za kukuingizia kipato?Suala hapa ndugu mpenda kutawala si kutawala nchi, suala Ni korona itatumaliza iwapo tutaendelea na wapenda kutawala na Kodi. Hivi hizo Kodi watazikusanya kwa maiti!!!?