WHO yaitaka Afrika kujiandaa na usambazaji wa chanjo ya corona

WHO yaitaka Afrika kujiandaa na usambazaji wa chanjo ya corona

FRANCIS DA DON tunajadili mada na mtu ambaye anatushambulia badala ya kujibu hoja za msingi.

Nakushukuru Francis kwa kuleta mada hii. Kwangu mimi nimeishatoa mchango wangu. Nimalize kwa kusema:
1. Binadamu sio Watanzania tu tuwe macho tuhoji mambo tusiaminishwe tu mambo ambayo sayansi ya kweli haikubaliani. Vijana wanasema kama kusoma huwezi hata picha huoni?.

2. Tujitahidi kutaka kujua mambo yanayoendelea duniani na yanayotugusa hadi sisi na binadamu wengine wanasema nini kuhusu mambo hayo.

Namalizia KALAGA BAO
 
Back
Top Bottom