for life
JF-Expert Member
- Sep 22, 2014
- 3,397
- 4,436
Inaweza ikakanyaga tukawapa panyaKwa ninamvyojua Magufuli hiyo chanjo sidhani kama itakanyaga ardhi ya Tanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaweza ikakanyaga tukawapa panyaKwa ninamvyojua Magufuli hiyo chanjo sidhani kama itakanyaga ardhi ya Tanzania
Kama unaona hizi ni hisia zangu binafsi au hofu za kutengeneza basi time will tell.Hapana. Hizo ni hisia zako. Ndiyo maana nakumbia aidha hujasoma au kuelewa hiyo habari. Chanjo imefanyiwa majaribio kwa asilimia kubwa Ulaya na Marekani na itaanza kutumika huko huko. Ondoa wasi wasi. Huku kwetu tuna matatizo mengi ya kuhofia tusiongeze hofu za kutengeneza.
Namna hawakosi, na ndio kama hiyo ya kifanya ‘total placebo’ kwao na kufanya ‘real testing’ huku kwetu. Unajitoa akili kwa kusema palcebo ni njia mojawapo ya testing huku nimeshakwbia kwamba wanafanya ‘placebo’ kwa wote na sio nusu kama ambavyo ulivyosema, yaani kuwapa chanjo hewa participants wote inakuwaje njia ya testing sasa? Si inabidi wengine wapewe chanjo halisi na wengine wapewe chanjo hewa? Hiyo ndio testing by placebo, sio wote unawapo chanjo hewa halafu kwa Afrika wanatupa chanjo yenyewe ili tujisikie safe kwamba hata wao mbona wanapewa kumbe wote wamepewa maji. Sasa sijui unajifanya huelewi makusudi au ni kwamba kichwa kimejaa funza, which is which?!Lakini hii chanjo inanza kuchanjwa huko huko. Na hiyo placebo huwa ni njia inayotumika kwenye reasearch za aina hii! Nilifikiri ulivyojigamba post ya juu basi utakuwa unajua umuhimu wa placebo na ni kwa nini inatumika. BTW hivi unafikri wangekuwa wanataka kutufanyia majaribio kama haya wangekosa namna ya kufanya?
Hujui kwamba mtu mweupe anakuchukulia mtu mweusi kama mbwa tu? 😂😂😂😂😂Wakajaribie mbwa kwanza
Msiba wa wengi ni furahaKama walinigawia gawio waje wanichome!
Asante mkuu umemaliza kila kitu mkuu.. Binafsi sina la kuongezea.Yaani hata kwa mtutu wa bunduki, hachomwi mtu hiyo sindano ya chanjo 😂😂😂😂😂
Kuumwa waumwe wao halafu chanjo tuchomwe sisi? Hakuna panya wa majaribio humu, hata sisi ni binadamu pia 😂😂😂😂😂
Kama wanataka walete chanjo ya Ukimwi 😂😂😂😂
Hata placebo hujui inatumikaje na kwa nini kwenye research. Idiot! Na bado nasisitiza hakuna mtu atakayekuja kukulazimisha wewe, mama yako hata mtanzania yeyote kuchanja. Nashangaa unapoanza kulialia kama umeambiwa watakuja kukulazimisha. Hangaikia ufukara uliotamalaki kila sehemu kwenye nchi yetu wacha kujitwisha mambo yanayokuzidi uwezo.Namna hawakosi, na ndio kama hiyo ya kifanya ‘total placebo’ kwao na kufanya ‘real testing’ huku kwetu. Unajitoa akili kwa kusema palcebo ni njia mojawapo ya testing huku nimeshakwbia kwamba wanafanya ‘placebo’ kwa wote na sio nusu kama ambavyo ulivyosema, yaani kuwapa chanjo hewa participants wote inakuwaje njia ya testing sasa? Si inabidi wengine wapewe chanjo halisi na wengine wapewe chanjo hewa? Hiyo ndio testing by placebo, sio wote unawapo chanjo hewa halafu kwa Afrika wanatupa chanjo yenyewe ili tujisikie safe kwamba hata wao mbona wanapewa kumbe wote wamepewa maji. Sasa sijui unajifanya huelewi makusudi au ni kwamba kichwa kimejaa funza, which is which?!
Sasa kuniita idiot bila hoja unatofauti gani na kenge? Maana hata kenge anaweza kukuita idiot bila hoja yeyote ile. Nimesema placebo inakuwa na maana kama baadhi ndio wanapewa chanjo ya placebo na wengine wanapewa chanjo ya ukweli, sasa wao wanawapa washiriki wote wa amajribio chanjo ya placebo, sasa hiyo ni research au kanyaboya lamkutuingiza Afrika kingi ili tuone na wao wanatumia hiyo chanjo? Hiyo ndio hoja, badala ya kujibu hoja unakuja kubana pua kama xhoga muharisha mchuzi, imbicileHata placebo hujui inatumikaje na kwa nini kwenye research. Idiot! Na bado nasisitiza hakuna mtu atakayekuja kukulazimisha wewe, mama yako hata mtanzania yeyote kuchanja. Nashangaa unapoanza kulialia kama umeambiwa watakuja kukulazimisha. Hangaikia ufukara uliotamalaki kila sehemu kwenye nchi yetu wacha kujitwisha mambo yanayokuzidi uwezo.
Wao wenyewe wanakiri Corona haijaiathiri Afrika kihivyo sasa kwa nini chanjo ianzie kwetu ??.
Hahahahahahahahahahahah 😂😂😂😂😅😅😅😅😅😅, hela ya beberu tushakula na kuchanjwa hachanjwi mtu hapa, ndio tushasema sasa 👏👏👏👏🤛🏽🤛🏽🤛🏽🤛🏽Aliokula hela ya beberu ndio achanjwe sisi tunaonewa tu jaman
Kweli kabisa😂😂😂😂!!!!alokula hela ndio achomwe..atajua mwenyewe upuuzi atutaki
Ndugu yangu fungua macho uone na masikio usikie. Mfuatilie DAVID ICKE na wengineo ujue siasa za dunia na nafasi yako kama binadamu. Jiulize kwa nini wataalamu magwiji wa sayansi ya virusi n.k hawapewi nafasi katika suala la COVID 19 bali matajiri wa dunia na wanasiasa wa dunia.Mambo mengine mnakosa kwa sababu ya ukosefu wa maarifa. Ni nani kakumbia Tanzania hakuna Covid 19? Unamsikiliza Magufuli? Hujui hata sasa hivi tunavyochati hapa kuna watu wamelazwa hospital hapa Dar wana Covid 19? Hujui bado watu wanakufa japo kwa nchi zote za Afrika idadi ya vifo siyo kubwa? Unajua mazingira ya Sweden yalivyo? Unajua nchi nyingi za Scandinavia hakukuwa na lockdown ya amri bali ya hiari na watu wote waliamua kuji-lock down kwa hiyari?
Wewe ni mmoja ya watu wenye ufahamu mdogo sana na inaonekana kabisa hujisomei. Nani kakuambia Tanzania iko salama bila covid? Umedanganjwa na Magufuli ambaye wewe unamuita Magufuri? Basi kwa taarifa yako ni kuwa covid bado ipo Tanzania kama ilivyo Kenya, watu wanaugua na kufariki kama ilivyo Kenya. Toafauti ni kuwa Tanzania hawatangazi na Kenya wanatangaza. Na huo ujinga mnaolishana kuwa matajiri na wanasiasa hawawapi nafasi wataalam ni kinyume chake. Tanzania wanasiasa ndiyo wamejipa jukumu la kupambana na covid na kutopata wataalam nafasi wakati nchi nyngine wataalam wapewa nafasi. Au wewe unaona marais au mawaziri wakuu wa nchi wanavyotoa update na maelekezo unadhani wanajikurupikia kama hapa kwetu walivyokuwa wanafanya kina Makonda? Huko ni wataalam wanawape maelekezo wanasiasa ni nini cha kufanya!Ndugu yangu fungua macho uone na masikio usikie. Mfuatilie DAVID ICKE na wengineo ujue siasa za dunia na nafasi yako kama binadamu. Jiulize kwa nini wataalamu magwiji wa sayansi ya virusi n.k hawapewi nafasi katika suala la COVID 19 bali matajiri wa dunia na wanasiasa wa dunia.
Je bila Mh Magufuri mwanasayansi kusimama kidete hata uwezo wa kununua kifurushi cha kuwasiliana kwenye JF ungekuwa nao?.
Je,kwa nini vyombo vya habari vya dunia haviwapi nafasi hawa magwiji wa sayansi ya virusi tukawasikia. Kalaga bao.
Namalizia kwa kusema SISI WANADAMU TUJIFUNZE KUHOJI MAMBO. Nina imani Waafrika wenzetu nchi jirani wanahoji iweje Tanzania wajaze watu viwanja vya mipira na bado wako salama?.. Je, iweje Tanzania wajazane kwenye kampeini za Uchaguzi mkuu na bado wako salama?. KALAGA BAO.
Nimekuita idiot na bado nakuita tena idiot kwa sababu unazusha uongo au unaleta ndoto zako za kijinga hapa na kutaka watu wazikubali. Toa ushahidi kuwa hizo chanjo siyo na dawa ya chanjo! Ulishiriki kuandaa? Ulizipima? Ulifanya utafiti gani? Ni nini kimekufanya utoe madai ya kijinga namna hiyo bila ushahidi?Sasa kuniita idiot bila hoja unatofauti gani na kenge? Maana hata kenge anaweza kukuita idiot bila hoja yeyote ile. Nimesema placebo inakuwa na maana kama baadhi ndio wanapewa chanjo ya placebo na wengine wanapewa chanjo ya ukweli, sasa wao wanawapa washiriki wote wa amajribio chanjo ya placebo, sasa hiyo ni research au kanyaboya lamkutuingiza Afrika kingi ili tuone na wao wanatumia hiyo chanjo? Hiyo ndio hoja, badala ya kujibu hoja unakuja kubana pua kama xhoga muharisha mchuzi, imbicile