WHO yaitaka Afrika kujiandaa na usambazaji wa chanjo ya corona

WHO yaitaka Afrika kujiandaa na usambazaji wa chanjo ya corona

Hatuna Corona...., ndio tushaamua hivyo, nyie kama hamtaki kuamini au kama inawauma sana, sageni chupa mnywe 😂😂😂
nishakuona wewe ndio utaanza kuweka foleni kabla kituo cha afya hakijafunguliwa upate chanjo halafu utakuja kutia ushawishi wenzako wasikubali wapate kuteseka 😀 😀
 
Aisee, ndio yalikuwa masharti hayo???!!!!😂😂😂😂, mi tutauana aisee, sichomi hayo madudu yao
Unajihami bure tu. Chanjo inaanzia Ulaya na Marekani na Afrika itakuja baadae sana. Na hata ikija sidhani kama watalazimisha watu kuchoma. Kuchoma ni hiari. Ulaya na Marekani hii chanjo ni muhimu sana kwani population yao ina wazee wengi. BTW unaweza usiwe unajua kuwa Ulaya na Marekani kila mwaka watu wanapata chanjo ya flu! Yes, hii kitu kama hujatoka nje ya Afrika na siyo mdadisi huwezi kujua kuwa mafua kila mwaka yanaua watu kwenye hizo nchi na kila mwaka kunawaga na chanjo hasa kwa wazee! Hivyo jambo la chanjo siyo kitu kigeni kama unavyodhani na kama wewe hutaki hakuna atakayekulamisha.
 
Wanataka kutulazmisha kuchanjwa wakati wajuba tunasaga tangawizi na kitiunguu-saum tunameza na kijiko cha asali maisha yanasonga, tena tunajitibu vitu viwili ile dalili inaondoka na tukipewa tunda kimasihara inatusaidia kupiga mechi safi ya kibabe
Huu ndiyo upumbavu ambao viongozi wetu wamewalisha raia. Laiti mngejua tangawizi na vitunguu swaumu tangu zamani ni kitu cha kawaida kabisa kwenye menu za baadhi ya mataifa mengine msingekubali kuburuzwa namna hiyo.
 
Huu ndiyo upumbavu ambao viongozi wetu wamewalisha raia. Laite mngejua tangawizi na vitunguu swaumu tangu zamani ni kitu cha kawaida kabisa kwenye menu za baadhi ya mataifa mengine msingekubali kuburuzwa namna hiyo.
Wewe kachomwe wewe chanjo mkuu sisi kwetu ni mwendo wa tangawiz, limao, kitunguu-saum, ni tiba tosha Unitd state wanakufa wengi sana kwann wasiweke nguvu ya chanjo kwao kwanza.
 
Chanjo zipelekwe kwenye matawi na mashina ya CCM, wachomwe wao na watoto wao, hiyo hela waliitumia kwenye kampeni
Mwenyekiti wa CCM alishasema hakuna CORONA Tanzania
 
Yaani hata kwa mtutu wa bunduki, hachomwi mtu hiyo sindano ya chanjo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuumwa waumwe wao halafu chanjo tuchomwe sisi? Hakuna panya wa majaribio humu, hata sisi ni binadamu pia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama wanataka walete chanjo ya Ukimwi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dah...mkuu usiwe na wasiwasi...watanzania tuna wawakilishi wetu...wabunge na madiwani...tuliwachagua...wanalipwa watatuwakilisha [emoji2960][emoji23][emoji23]
 
We kachomwe wewe chanjo mkuu sisi kwetu ni mwendo wa tangawiz,limao,kitunguu-saum, ni tiba tosha Unitd state wanakufa wengi sana kwann wasiweke nguvu ya chanjo kwao kwanza.
Hivi unafikiri watanza kuchanja Afrika? Huku ni baadae kabisa na hawakusema itaanzia huku. Ulishawahi kupata chanjo ya flu wewe? Nadhani ndiyo mara yako ya kwanza kusikia kuwa watu wanachanjwa kwa ajili ya flu. Basi Ulaya na Marekani hiyo chajo ipo na watu, hasa wazee wamekuwa wanachanjwa kila mwaka. Of course kama mtu hayuko kwenye lile kundi la ''risk group'' kwenye ugonjwa na wa korona na hana sababu maalum itakayomfanya ahitaji chanjo, hana sababu ya kuchanja. Lakini elewa tu wenzako wanapigania watu wao na hii ya watu huku kwetu kuanza ''kuwaka'' ni kupoteza muda tu.
 
BTW unaweza usiwe unajua kuwa Ulaya na Marekani kila mwaka watu wanapata chanjo ya flu! Yes, hii kitu kama hujatoka nje ya Afrika na siyo mdadisi huwezi kujua kuwa mafua kila mwaka yanaua watu kwenye hizo nchi na kila mwaka kunawaga na chanjo hasa kwa wazee! Hivyo jambo la chanjo siyo kitu kigeni kama unavyodhani na kama wewe hutaki hakuna atakayekulamisha.

FLU Vaccine kwa nini niijue?

We mwenyewe umesema ni chanjo ya wazee wa Ulaya na Marekani, inatuhusu nini huku Uyole Gulioni????

We don't use, we don't know, much less care about some old flu vaccine taken in Europe and America. Tunatumia machungwa for mafua immunity, save me the grief, for the love of God!

Eti niidadisi niijue flu vaccine ya Wazee wa Ulaya!!!!!
 
Unajihami bure tu. Chanjo inaanzia Ulaya na Marekani na Afrika itakuja baadae sana. Na hata ikija sidhani kama watalazimisha watu kuchoma. Kuchoma ni hiari. Ulaya na Marekani hii chanjo ni muhimu sana kwani population yao ina wazee wengi. BTW unaweza usiwe unajua kuwa Ulaya na Marekani kila mwaka watu wanapata chanjo ya flu! Yes, hii kitu kama hujatoka nje ya Afrika na siyo mdadisi huwezi kujua kuwa mafua kila mwaka yanaua watu kwenye hizo nchi na kila mwaka kunawaga na chanjo hasa kwa wazee! Hivyo jambo la chanjo siyo kitu kigeni kama unavyodhani na kama wewe hutaki hakuna atakayekulamisha.
Hii chanjo ya Covid 19 ni mpya haiko sawa na hiyo ya flu. Acha kujifanya unajua wakati wewe ni utopolo tu!
 
Shirika la Afya Ulimwenguni-WHO, Alhamisi limezisihi nchi za Afrika kuandaa mipango ya kusambaza chanjo za COVID-19 kadri zitakavyopatikana.

Utafiti mpya wa WHO uligundua kuwa nchi nyingi za Kiafrika haziko tayari kwa kile kitakachokuwa harakati kubwa zaidi ya chanjo barani humo.

Kupanga na kuandaa mikakati kutafanikisha au kuharibu shughuli hii ambayo haijawahi kutokea, na tunahitaji uongozi na ushiriki kutoka ngazi za juu za serikali na mipango thabiti, ya kina ya uratibu wa kitaifa na mifumo iliyowekwa, Dk Matshidiso Moeti, mkurugenzi wa kanda wa WHO wa Afrika, alinukuliwa akisema katika taarifa kwa vyombo vya habari.

Wataalam walionya kwamba wakati maendeleo ya chanjo yanapaswa kusherehekewa, ni hatua ya kwanza tu katika kutolewa kwa mafanikio.

DW
Waanze kuwachanja CCM waliopokea Mpunga ,.kitu cha 27 cha covid-19
 
Back
Top Bottom