#COVID19 WHO yasema haina taarifa za COVID-19 kutoka Tanzania

Vifo vinapungua ILA maambukizi yanaongezeka
Huwezi kufanya maamuzi kabla ya kujua ukubwa wa tatizo. Wenzetu vifo vimeanza kupunguza baada ya kuchukua hatua stahiki.
Screenshot_20210221-092923.jpg
 
Siyo tu taarifa za Corona hazitolewi bali hata neno Corona kutamkwa na Mtanzania yeyote ni kosa la jinai.
 
Kuna mijitu inaargue kama Ina ubongo wa bata😤
 
Vifo vinapungua ILA maambukizi yanaongezekaView attachment 1707990
Sawa maambukizi yanaongezeka lakini Wana njia stahiki ya kukabiliana na changamoto za Corona now. Corona ukiiwahi haina issue, mbaya ni pale ujui unaugua nini, na ukienda hospitali hupati huduma stahiki katika muda muafaka.
Wenzetu Wana allocations special kwaajili ya wote wenye dalili ya corona, ukipata symptoms zinazoshabihiana na Corona unapiga simu, special team ya wauguzi inatumwa kuja kukuatend from home to hospital, tangia corona itambulike wamechukua hatua za kuongeza ventilators za kutosha na wanasayansi wao wako maabara wakijaribu kuijua corona vizuri na kutengeneza antidotes zake.
Sisi je hapa nyumbani?!🤔 What so far have we done to fight against it?
 
Huyu Mkurugenzi Mungu akituweka hai atakuja kuwa shahidi muhimu sana kwenye kesi ya mauaji itakayomkabili meko huko mbeleni.
 
Na sisi tuna njia ZETU.MUNGU,nyungu malimao na tangawizi.
kwanini wanatulazimisha tutumie njia zao?
Sawa maambukizi yanaongezeka lakini Wana njia stahiki ya kukabiliana na changamoto za Corona now. Corona ukiiwahi haina issue, mbaya ni pale ujui unaugua nini, na ukienda hospitali hupati huduma stahiki katika muda muafaka.
Wenzetu Wana allocations special kwaajili ya wote wenye dalili ya corona, ukipata symptoms zinazoshabihiana na Corona unapiga simu, special team ya wauguzi inatumwa kuja kukuatend from home to hospital, tangia corona itambulike wamechukua hatua za kuongeza ventilators za kutosha na wanasayansi wao wako maabara wakijaribu kuijua corona vizuri na kutengeneza antidotes zake.
Sisi je hapa nyumbani?![emoji848] What so far have we done to fight against it?
 
Kwani WHO ikipata taarifa za takwimu za COVID-19 kutoka tz wanasaidiaje? Mbona vifo vimezidi hata huko nchi za ng'ambo?
Unaishi kwenye ulimwengu wa giza la Ujinga.

Karibia mataifa yote yaliyochukua hatua madhubuti kwa wakati sahihi, mambukizi na vifo vinapungua.
 
Kwanza WHO wangetuambia hizo hatua wanazotaka tuchukue zimesaidiaje hao waliozichukua ili nasi tushawishike
Usiishi kwenye giza la ujinga. Fuatilia ili ujue jinsi vifo na maambikizi yanavyopungua kwenye mataifa mbalimbali yenye viongozi wenye akili.
 
Waulize WHO wanataka data za Corona za Tanzania wanataka kuzifanyia nini?.
Swali la mtu mjinga. Una elimu ya kiwango gani, na umesomea nini? Maana nina hakika mwenye elimu hawezi kuuliza swali la kipuuzi kiasi hiki. Yaani mtu asiyejua hata umuhimu wa takwimu, hivi anaweza kuwa hata na elimu ya kawaida tu?
 
Na sisi tuna njia ZETU.MUNGU,nyungu malimao na tangawizi.
kwanini wanatulazimisha tutumie njia zao?
Yaani mpaka sasa nimeweza kujua uwezo wa ubongo wako. Let's drop the diacussion
 
Hizo takwimu ndo dawa za Corona?
Swali la mtu mjinga. Una elimu ya kiwango gani, na umesomea nini? Maana nina hakika mwenye elimu hawezi kuuliza swali la kipuuzi kiasi hiki. Yaani mtu asiyejua hata umuhimu wa takwimu, hivi anaweza kuwa hata na elimu ya kawaida tu?
 
basi endelea kuamini unachoamini na Mimi niendelee kuamini NINACHOAMINI.kuna tatizo?
Haha umeelewa nilipokwambia "let's drop the discussion?!"
Unarudia nilichomaanisha, kweli kazi ipo😂😂
 
Kwani WHO ikipata taarifa za takwimu za COVID-19 kutoka tz wanasaidiaje? Mbona vifo vimezidi hata huko nchi za ng'ambo?

Huu ujinga umeongea hapa ni sawa na mtu kusema hospitali zifungwe tu maana hata watu wakienda hospitali kuna wanaokufa.
 
Kwanza WHO wangetuambia hizo hatua wanazotaka tuchukue zimesaidiaje hao waliozichukua ili nasi tushawishike

Kama hatua zisingechukuliwa huko, maambukizo na vifo yangezidi kuliko sasa. Una lingine tukusaidie mzee?
 
Hizo ni theory zako sio facts

Hata sie tunachukua hatua sema tu hazifanani na zai, pengine zingefanana na zao maiti zingekuwa zinaokotwa barabaran kama walivyotutabiria

Back
Top Bottom