mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Huwezi kufanya maamuzi kabla ya kujua ukubwa wa tatizo. Wenzetu vifo vimeanza kupunguza baada ya kuchukua hatua stahiki.
Tanzania ni mwanachama wa WHO au siyo mwanachama?Waulize WHO wanataka data za Corona za Tanzania wanataka kuzifanyia nini?.
Tanzania ni mwanachama wa WHO au siyo mwanachama?
Sawa maambukizi yanaongezeka lakini Wana njia stahiki ya kukabiliana na changamoto za Corona now. Corona ukiiwahi haina issue, mbaya ni pale ujui unaugua nini, na ukienda hospitali hupati huduma stahiki katika muda muafaka.Vifo vinapungua ILA maambukizi yanaongezekaView attachment 1707990
Sawa maambukizi yanaongezeka lakini Wana njia stahiki ya kukabiliana na changamoto za Corona now. Corona ukiiwahi haina issue, mbaya ni pale ujui unaugua nini, na ukienda hospitali hupati huduma stahiki katika muda muafaka.
Wenzetu Wana allocations special kwaajili ya wote wenye dalili ya corona, ukipata symptoms zinazoshabihiana na Corona unapiga simu, special team ya wauguzi inatumwa kuja kukuatend from home to hospital, tangia corona itambulike wamechukua hatua za kuongeza ventilators za kutosha na wanasayansi wao wako maabara wakijaribu kuijua corona vizuri na kutengeneza antidotes zake.
Sisi je hapa nyumbani?![emoji848] What so far have we done to fight against it?
Huyu Mkurugenzi Mungu akituweka hai atakuja kuwa shahidi muhimu sana kwenye kesi ya mauaji itakayomkabili meko huko mbeleni.
Unaishi kwenye ulimwengu wa giza la Ujinga.Kwani WHO ikipata taarifa za takwimu za COVID-19 kutoka tz wanasaidiaje? Mbona vifo vimezidi hata huko nchi za ng'ambo?
Usiishi kwenye giza la ujinga. Fuatilia ili ujue jinsi vifo na maambikizi yanavyopungua kwenye mataifa mbalimbali yenye viongozi wenye akili.Kwanza WHO wangetuambia hizo hatua wanazotaka tuchukue zimesaidiaje hao waliozichukua ili nasi tushawishike
Swali la mtu mjinga. Una elimu ya kiwango gani, na umesomea nini? Maana nina hakika mwenye elimu hawezi kuuliza swali la kipuuzi kiasi hiki. Yaani mtu asiyejua hata umuhimu wa takwimu, hivi anaweza kuwa hata na elimu ya kawaida tu?Waulize WHO wanataka data za Corona za Tanzania wanataka kuzifanyia nini?.
Yaani mpaka sasa nimeweza kujua uwezo wa ubongo wako. Let's drop the diacussionNa sisi tuna njia ZETU.MUNGU,nyungu malimao na tangawizi.
kwanini wanatulazimisha tutumie njia zao?
Swali la mtu mjinga. Una elimu ya kiwango gani, na umesomea nini? Maana nina hakika mwenye elimu hawezi kuuliza swali la kipuuzi kiasi hiki. Yaani mtu asiyejua hata umuhimu wa takwimu, hivi anaweza kuwa hata na elimu ya kawaida tu?
Yaani mpaka sasa nimeweza kujua uwezo wa ubongo wako. Let's drop the diacussion
Haha umeelewa nilipokwambia "let's drop the discussion?!"basi endelea kuamini unachoamini na Mimi niendelee kuamini NINACHOAMINI.kuna tatizo?
Ndiyo maana tunasema wewe ni mjinga usiye na hamu ya kuelimika. Tamaa yako ni kuwa mjinga wa kudumu. Mpumbavu = mjinga wa kudumu.Hizo takwimu ndo dawa za Corona?
Kwani WHO ikipata taarifa za takwimu za COVID-19 kutoka tz wanasaidiaje? Mbona vifo vimezidi hata huko nchi za ng'ambo?
Kwanza WHO wangetuambia hizo hatua wanazotaka tuchukue zimesaidiaje hao waliozichukua ili nasi tushawishike
Kama hatua zisingechukuliwa huko, maambukizo na vifo yangezidi kuliko sasa. Una lingine tukusaidie mzee?