Huwezi kufanya maamuzi kabla ya kujua ukubwa wa tatizo. Wenzetu vifo vimeanza kupunguza baada ya kuchukua hatua stahiki.
Mataifa yapi yamepiga hatuwa ya kupunguza maambukizi kama sio Uchina tu! WHO ilihusikanaje kwa udhibiti wa maambukizi ya Corona nchini China - WHO hawahusika lolote zaidi ya propaganda zao za kupigia debe chanjo za Western Big Pharma Companies na kutaka kulazimisha mataifa maskini kuchukua mikopo ya World Bank kununulia chanjo - hawajali mzigo wa madeni utakao bebeshwa nchi maskini
, wakati wala chanji zinazo pigiwa debe na WHO hazijafanyiwa utafiti wa kutosha na kijiridhisha kwamba zina ufanisi wanao dai watengenezaji.
Tuwe wakweli hapa WHO ni janga tupu taasisi nzima imewekwa mfukoni mwa foundation ya Bill Gates na mkewe, hao ndio wana pull strings na kuleta taaruki Duniani - lengo hasa ni kutaka kupiga hela ndefu kwa kupitia biashara ya chanjo zao, na kibaya zaidi batch zitakazo letwa barani Afrika zinaongezewa vinasaba vya kuzuia uzazi barani Afrika vile vile kufanya immune systems za waafrika zi over react na magonjwa ya kawaida kama allegies na common cold na si rahisi kugunduwa kwamba matatizo hayo yameletelezwa na chanjo tulizo wahi kudungwa miaka/miezi ya nyuma - narudia kukumbusha kwamba vitajitokeza vifo tatanishi kutokana na chanjo hizo na hakuna atakaye kumbuka ukweli huo.
Juzi hapa nilimsikiliza kwa umakini sana mtaalamu wa kimataifa iliye bobea katika taaluma ya Molecular Biology na Immunology, ni mama wa ki Irish Professa wa Chuo kikuu, ana uzoefu wa miaka 35 katika tafiti za masuala haya - anasema mpaka sasa hakuna kampuni hata moja iliyo wahi kutengeneza chanjo dhidi ya jamii ya virusi vya Corona kuanzia mlipumko wa SARS mpaka sasa, wote walishindwa, kuna makampuni yalifikia hatuwa ya kutumia virus vinavyo patikana kwenye ini au mafigo ya mbwa ili kutengeneza chanjo, walitumia virusi vilivyo tolewa kwenye organs za mbwa lakini chanjo haikufanya kazi ie ilishindikana - maabara ya tafiti ya huko Uingereza ilipashwa kufungwa na Serikali baada ya wanyama wengi kufa na wengine kuhugua sana baada ya kufanyiwa majaribio ya chanjo ya corona zilizo tokana na attenuated virus kutoka kwenye organs za mbwa, just imagine binadamu hawa akili zao zilivyo za ajabu wakati mwigine.
Mama huyo ilihitimisha maelezo yake kwenye kituo kimoja cha TV huko Ulaya kwa kusema given anacho kijuwa yeye mpaka sasa, hata akipewa Euro million mia moja ili adungwe chanjo awezi kukubali yeye, familia yake na watu wake wa karibu kudungwa chanjo. Hayo ndio maelezo ya mtaalamu mbobezi na msema kweli.