Whozu afungiwa miezi 6, Mbosso na Billnass wafungiwa miezi 3. Wote wapigwa faini Tsh. Mil. 3. Wimbo wa 'Ameyatimba' umewaponza

Huo wimbo una tatizo gani? Tuache unafiki. Sijaona tatizo la huo wimbo aisee. Basata waache upuuzi, kuna nyimbo nyingi tu, zina maudhui mabaya kuanzia kwenye ushairi mpaka kwenye video za hizo nyimbo lakini sijawahi kusikia zimefungiwa.
 
ww itakua upeo wako mdogo sana, wimbo unasapoti ubakaji, una mashairi ya kihuni mpaka vumbi la kongo limetajwa, pia unyanyasaji wa kijinsia, na unaenda kinyume na mila na desturi za kitanzania
 
Huo wimbo una tatizo gani? Tuache unafiki. Sijaona tatizo la huo wimbo aisee. Basata waache upuuzi, kuna nyimbo nyingi tu, zina maudhui mabaya kuanzia kwenye ushairi mpaka kwenye video za hizo nyimbo lakini sijawahi kusikia zimefungiwa.
Siku mwanao au dadako akila nauli za wenyewe wampakie mkongo na mafuta ya nazi eh alafu uje utoe maoni yako ya kipimbi kama haya,#stupidman
 
Bado akina zuchu and alike na zile nyimbo zao za mahabamahaba . Bora yule mwamba wa kaskazini yeye na hip hop yake anaimba bei ya mkaa na nyimbo zake nyingi hazina mamodo waliokaa kaa nusu uchi mapaja na matiti yakionekana. Wengine wanaimba wanarembulia watu kimahaba hao nao waangaliwe video zao si nzuri
 
Basata ndiyo wanashtuka sahivi

Sasa wale wanaosema miziki ya matusi ndiyo inasoko sahvi si wataumia,maana bongo zao zimejaa
Ngono tu kuimba sinza pazuri

Ova
 
Mbona Billnas verse yake ipo Clean tu? Mboso ndiyo ameyetimba na kupaka wese kwenye mkono na kumuonyesha msichana wakido something.
 
Back
Top Bottom