Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 3,264
- 10,535
Nawapongeza BASATA kwa hili, wamesema Whozu alishaonywa ila amekua mbishi basi wangempeleka jela kwa hiyo miezi 6 tuone kama asingenyooka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli hawa wapumbavu inabidi waanze kuswekwa jera, nchi hii imefika hapa kwa kulea upumbavu ulio pitiliza.Nawapongeza BASATA kwa hili, wamesema Whozu alishaonywa ila amekua mbishi basi wangempeleka jela kwa hiyo miezi 6 tuone kama asingenyooka.
Angefurahi huko km kafika nyumbani kwa mumewangempeleka jela kwa hiyo miezi 6 tuone kama asingenyooka.
Wewe sio Mashuke, hakuna Mashuke/Virgo mwenye akili kama hizi.Huo wimbo una tatizo gani? Tuache unafiki. Sijaona tatizo la huo wimbo aisee. Basata waache upuuzi, kuna nyimbo nyingi tu, zina maudhui mabaya kuanzia kwenye ushairi mpaka kwenye video za hizo nyimbo lakini sijawahi kusikia zimefungiwa.
ww itakua upeo wako mdogo sana, wimbo unasapoti ubakaji, una mashairi ya kihuni mpaka vumbi la kongo limetajwa, pia unyanyasaji wa kijinsia, na unaenda kinyume na mila na desturi za kitanzaniaHuo wimbo una tatizo gani? Tuache unafiki. Sijaona tatizo la huo wimbo aisee. Basata waache upuuzi, kuna nyimbo nyingi tu, zina maudhui mabaya kuanzia kwenye ushairi mpaka kwenye video za hizo nyimbo lakini sijawahi kusikia zimefungiwa.
Siku mwanao au dadako akila nauli za wenyewe wampakie mkongo na mafuta ya nazi eh alafu uje utoe maoni yako ya kipimbi kama haya,#stupidmanHuo wimbo una tatizo gani? Tuache unafiki. Sijaona tatizo la huo wimbo aisee. Basata waache upuuzi, kuna nyimbo nyingi tu, zina maudhui mabaya kuanzia kwenye ushairi mpaka kwenye video za hizo nyimbo lakini sijawahi kusikia zimefungiwa.
WamejishtukiaNa basata hawafanyi kazi mpaka wasikie kelele za raia.
@sinza pazuri ameumia kweli atakuwaSAFI SANA, VIDEO YA KISENGE SANA ILE.
Taktak hizo zmejaaa huko
Whozu angewambia basata yeye anaweza kuimba ngono ngonoNawapongeza BASATA kwa hili, wamesema Whozu alishaonywa ila amekua mbishi basi wangempeleka jela kwa hiyo miezi 6 tuone kama asingenyooka.
Wenye channels uchwara Youtube wameupload kwenye channels zao na hio video now imewapa views nyingi ,maana baada ya kusikia kufungiwa watu wameenda kutizama.nilikua sijawahi kutizama hiyo video
kwakweli haiko sawa hasa huyo mboso anavyo bonyeza