Ndoto ya kila mmoja Tanzania sio dunianiNdoto ya kila mmoja kupata chombo cha usafiri.
HIzi kauli tumeamza kuzisikia mda mrefu sana lakini hazina ukweli, kwa nini ikifika msimu wa fiesta wasanii wanaachia sana nyimbo ili waitwe fiesta, huo ndio msimu wa ulaji kwao. Kuna mwaka wa man fongo ile ya ainaga ushemeji alipata show kadhaa za fiesta then akanunua alteza. Siwezi kusema wanalipwa inavyostahili ila kibongo bongo fiesta ndio show inayolipa zaidi. Ndio maana wanang’ang’ania huko japo kuwa kuna events nyingine zinazojitokezaNaskiaga wasanii wanaofanya shoo za Fiesta hawa lipwagi
KWANI HUWA WANALIPWA BEI GANI KWA SHOW MOJAHIzi kauli tumeamza kuzisikia mda mrefu sana lakini hazina ukweli, kwa nini ikifika msimu wa fiesta wasanii wanaachia sana nyimbo ili waitwe fiesta, huo ndio msimu wa ulaji kwao. Kuna mwaka wa man fongo ile ya ainaga ushemeji alipata show kadhaa za fiesta then akanunua alteza. Siwezi kusema wanalipwa inavyostahili ila kibongo bongo fiesta ndio show inayolipa zaidi. Ndio maana wanang’ang’ania huko japo kuwa kuna events nyingine zinazojitokeza
Kumbe unasikiaNaskiaga wasanii wanaofanya shoo za Fiesta hawa lipwagi
Popote uendapo kwa anayepata pesa yenye uwezo wa kununua hilo lipoNdoto ya kila mmoja Tanzania sio duniani
Kafanya shows zote, ana nyimbo mbili, hit ni moja tu, yeye ndiye aliyewashukuru waandaaji wa fiesta kwa kupata pesa ya kununulia hilo gari, Malipo ya show ni privacy yake tutajua kama yeye akiamua tujue. Ila cha msingi ni kama ndoto yake ilikuwa ni kumiliki chombo basi kafanikisha.Kafanya shows ngapi? Kwa malipo ya sh ngapi kwa show?
Ana nyimbo ngapi hits?
Siyo mara ya kwanza wasanii ku-overstate income zao, na hata vyanzo vinavyotajwa kwenye ununuzi wa vitu huwa siyo linganifu.
Mbona tunalipwa, labda msaga sumu ndiye huwa hapewi.Naskiaga wasanii wanaofanya shoo za Fiesta hawa lipwagi
Yeah cpo Clouds na sio msanii so naskia watu wakizungumzaKumbe unasikia
Kafanya shows zote, ana nyimbo mbili, hit ni moja tu, yeye ndiye aliyewashukuru waandaaji wa fiesta kwa kupata pesa ya kununulia hilo gari, Malipo ya show ni privacy yake tutajua kama yeye akiamua tujue. Ila cha msingi ni kama ndoto yake ilikuwa ni kumiliki chombo basi kafanikisha.
Kasema yeye mwenyewe mimi ninaanza vipi kumbishia. Na kasema alifanya show sehemu zote Fiesta ilikofanyika kasoro mikoa mitatu tu.Kafanya shows ngapi? Kwa malipo ya sh ngapi kwa show?
Ana nyimbo ngapi hits?
Siyo mara ya kwanza wasanii ku-overstate income zao, na hata vyanzo vinavyotajwa kwenye ununuzi wa vitu huwa siyo linganifu.