Whozu ananunua gari baada ya kulipwa Tigo Fiesta..

kwa-muda

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2018
Posts
2,097
Reaction score
5,348
Kijana Whozu naona kajigiftisha gari aina ya Mark X baada ya kumaliza show za msimu wa Tigo Fista. Kijana kafurahi sana kama inavyokuwa ukimiliki gari kwa mara ya kwanza hata usingizi hupati na unajipa safari hata zisizo na maana.
Kijana kajitahidi maana kwa mwaka mmoja tu huenda ameanza kuishi ndoto zake.
 
picha iko wapi?
1545899885413.png
 
Naskiaga wasanii wanaofanya shoo za Fiesta hawa lipwagi
HIzi kauli tumeamza kuzisikia mda mrefu sana lakini hazina ukweli, kwa nini ikifika msimu wa fiesta wasanii wanaachia sana nyimbo ili waitwe fiesta, huo ndio msimu wa ulaji kwao. Kuna mwaka wa man fongo ile ya ainaga ushemeji alipata show kadhaa za fiesta then akanunua alteza. Siwezi kusema wanalipwa inavyostahili ila kibongo bongo fiesta ndio show inayolipa zaidi. Ndio maana wanang’ang’ania huko japo kuwa kuna events nyingine zinazojitokeza
 
KWANI HUWA WANALIPWA BEI GANI KWA SHOW MOJA
 
Kafanya shows ngapi? Kwa malipo ya sh ngapi kwa show?

Ana nyimbo ngapi hits?

Siyo mara ya kwanza wasanii ku-overstate income zao, na hata vyanzo vinavyotajwa kwenye ununuzi wa vitu huwa siyo linganifu.
Kafanya shows zote, ana nyimbo mbili, hit ni moja tu, yeye ndiye aliyewashukuru waandaaji wa fiesta kwa kupata pesa ya kununulia hilo gari, Malipo ya show ni privacy yake tutajua kama yeye akiamua tujue. Ila cha msingi ni kama ndoto yake ilikuwa ni kumiliki chombo basi kafanikisha.
 
Vizuri kwake.
 
Kafanya shows ngapi? Kwa malipo ya sh ngapi kwa show?

Ana nyimbo ngapi hits?

Siyo mara ya kwanza wasanii ku-overstate income zao, na hata vyanzo vinavyotajwa kwenye ununuzi wa vitu huwa siyo linganifu.
Kasema yeye mwenyewe mimi ninaanza vipi kumbishia. Na kasema alifanya show sehemu zote Fiesta ilikofanyika kasoro mikoa mitatu tu.
 
Back
Top Bottom