kwa-muda
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 2,097
- 5,348
Kijana Whozu naona kajigiftisha gari aina ya Mark X baada ya kumaliza show za msimu wa Tigo Fista. Kijana kafurahi sana kama inavyokuwa ukimiliki gari kwa mara ya kwanza hata usingizi hupati na unajipa safari hata zisizo na maana.
Kijana kajitahidi maana kwa mwaka mmoja tu huenda ameanza kuishi ndoto zake.
Kijana kajitahidi maana kwa mwaka mmoja tu huenda ameanza kuishi ndoto zake.