Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Fiesta malipo yake haifiki milioni 1 labda amepiga show zingine huko na mapato ya YouTubeBe positive, hata haya hakuulizwa kaandika mwenyewe bila kuulizwa siku akijisikia kusema analipwa shilingi ngapi pia atasema bila kuulizwa.
Kwani Mark X hiyo bei gani haizidi hata mls 16, Sasa kwa Shows 13 hata angekuwa analipwa mils 1.5 bado angeinunua tu.
Angeandika kuwa kadhulumiwa huenda usingesema aweke mkataba uone unasemaje, ungewashambulia moja kwa moja anaodai wamemdhulumu.
Empty statement niliyowahi kuisoma JF, rudi shule. Elimu sasa hakuna malipo."Ndoto ya kila mmoja kupata chombo cha usafiri"
Soma uelewe wewe msukuma pori.
Empty statement niliyowahi kuisoma JF, rudi shule. Elimu sasa hakuna malipo.
Pumba SquareJinga nililowahi kuona JF ni wewe.
Tapatapa na hizo kamasi zako utosini ukimaliza utulie.Pumba Square
Hahaha humu Jf Kuna vituko sana. Haya dogo kula kulala.Dogo umepaniki sana,Mtu mwenye "MAPAGALE" matatu hawezi kupaniki kwa niliyoyaongea,inaonekana nimegonga mule mule ndio maana imekuuma,unashangaa kiwanja mil 50? Watu wananunua hadi mil 800.......Endelea kununua SKWATA zako huku JF,humu JF kila mtu ana nyumba na wewe unaendeleza UPOPOMPO wako wa kuwa na MAPAGALE matatu 😀😀😀😀😀.
Nyimbo huendi mbinguni huijuiKweli uzee unaninyemelea simjui kabisa huyu kijana
Hakuna mwenywe uhakika wa Malipo ya Fiesta wanaojua ni wasanii na Clouds yenyewe. Ila mwenyewe kasema ni kutokana na show alizofanya Fiesta, sasa mimi ni nani nipingane naye?Fiesta malipo yake haifiki milioni 1 labda amepiga show zingine huko na mapato ya YouTube
Mkuu sasa kosa ni kutegemea kazi yake kumiliki gari? Mziki ndo kazi yake na kama ndiyo kazi ianyomwezesha kununua gari mbona safi tu.Kwahyo kumiliki gari umeona ni kitu muhmu kuliko kujenga nyumba labda?
Mbna hakupostiwa kuwa kamiliki nyumba mmekimbilia gari.
Kumtangaza mtu kumiliki nyumba ni zaidi ya mara mia ya gari.
Muache upopoma.
Na sijaona mantiki ya mtu kumiliki gari huku umepanga halafu unategemea show za fiesta ndyo ununue gari na upost.
Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
Umeona mkuu hii habari nimeipost makusudi nilitaka kuona wapondaji.Vijana wa kibongo.. Anamponda mwenzake, akikaliza anaenda kula ugali wa mama
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahahah mkuu tupo wengiKweli uzee unaninyemelea simjui kabisa huyu kijana
1. FollowKafanya shows zote, ana nyimbo mbili, hit ni moja tu, yeye ndiye aliyewashukuru waandaaji wa fiesta kwa kupata pesa ya kununulia hilo gari, Malipo ya show ni privacy yake tutajua kama yeye akiamua tujue. Ila cha msingi ni kama ndoto yake ilikuwa ni kumiliki chombo basi kafanikisha.
Mkuu sasa kosa ni kutegemea kazi yake kumiliki gari? Mziki ndo kazi yake na kama ndiyo kazi ianyomwezesha kununua gari mbona safi tu.
Halafu kuna watu kwa nature ya kazi wanazofanya na vipaumbele gari inabidi iwe kipaumbele cha kwanza then ndo nyumba. Maisha siyo kuigana maisha ni mipango siyo lazima kila mtu afuate formula ya mwenzake ndugu. Huenda hilo gari likampa michongo zaidi ya kushusha mjengo bila stress.