Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Fiesta malipo yake haifiki milioni 1 labda amepiga show zingine huko na mapato ya YouTubeBe positive, hata haya hakuulizwa kaandika mwenyewe bila kuulizwa siku akijisikia kusema analipwa shilingi ngapi pia atasema bila kuulizwa.
Kwani Mark X hiyo bei gani haizidi hata mls 16, Sasa kwa Shows 13 hata angekuwa analipwa mils 1.5 bado angeinunua tu.
Angeandika kuwa kadhulumiwa huenda usingesema aweke mkataba uone unasemaje, ungewashambulia moja kwa moja anaodai wamemdhulumu.