Uchaguzi 2020 Why Bernard Membe is not a presidential material, at all!


Well said comrade. Membe swala la urais atabaki kuisikia tu kwenye radio... Hana sifa na hafai hata kidogo
 
Mkuu, unaweza kunieleza ni kwa namna gani Membe alimfitini Mudhihiri? Ninachojua ni kwamba Mudhihiri alishindwa kwenye siasa za ushindani na kijana Mtanda akatwaa jimbo na Mchinga

Wakristo hawataki hata kumsikia huyo bwana ni mtu hatari sana alishupalia Taifa kujiunga na OIC akazusha mgogoro mkubwa baina ya wakristo na serikali hata pale wakristo kupitia mabaraza na umoja wao walipojaribu kumuita kwa ajili ya kujadiliana nae hakusikia aliweka ujeuri mpaka Rais J Kikwete alipoingilia kati na kuweka hali sawa,Bernard Membe hafahi hata kidogo kama hamuamini wacha CCM wajitusu kumpitisha uone kama wakristo watamuunga mkono wengi wao watachagua mbadala kutoka upinzani hapo ndiyo CCM na wajanja wake mtakufa kifo cha Mende
 

Membe diplomatic mwenzangu hahahahahaha hata kama kuna baya kasema sichangii ng'oooooo chi chi emu oyeeeeee napita kimya kimya mpaka hii mada iishe hahahahaha
 
Hivi yericko nyerere ndo yule mtoto...... Wa mwalimu?
Naombeni majibu maana ubishani huku mkoani kwetu ni mkubwa na kila mtu anaongea anavyota
 
gsu
Hahhaha mkuu leo kawapiga, poleni sana..... Ila twende mbele turudi nyuma kwenye swala la uwezo wa Membe yuko sahihi kabisa, Membe hana hana hana uwezo kabisa....
 
Last edited by a moderator:
Yes hana uwezo na dhamira kama walivyo CCM wote,sasa isionekane bwana ako kapata uchochoro.hatujaja kumtawaza Lowasa hapa

mwenye uwezo ccm mbona anafahamika mkuu Boban.... Hilo haliitaji hata kufikiri sana, wananchi wanalijua hilo, twaweza walisema hilo, so is just a matter of time......
 
Imefikia kwamba Rais wa sasa hivi tunamchekecha kwenye wavu mgumu kama wanavyopatikana mapadre huko mbele wasije geuka, Huyu Membe tushamjua alivyo awezi kitu, hivyo ajitunzie vi-hela vyake vya Gadaffi visije kuisha akaazirika.
 
Ukiona bandiko kama hili ujuwe melikebu ya upande kinzani inazama! Na anayezamisha ni Membe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…