Why Black People and White People? (Kwanini kuwe na Mtu Mweusi na Mtu Mweupe?)

Ulitaka nibadilishe topic tuanze mambo ya mwezini?

We we from nowhere ndo ulileta conspiracies zako, na mie nikaHighligt Hiyo ya kwenda mwezini ambayo Nina uhakika nayo kuku rule out as a mental case.

Wewe unapenda kusoma. Watu wanakuona unajua vitu kwa sababu sio wasomaji. Utadanganya wengi.

Hapa akija Mtu anayeamini flat earth na secret alien bases naye atazoa wengi..

Nikipata muda nitakuja kukuprove wrong kuhusu moon landing.

Siwezi nikakubaliana na wewe juu juu bila kusoma mwenyewe.

Siwezi kukubishia wala kukubalia kuhusu HIV au cancer kwasababu nilisoma juu juu tu. sio topic ngeni kwangu.

Ya evolution ndo kabisa achana nayo. Hujui kitu kabisa. Ukisikia Mtu anasema "its just a theory" au "mbona nyani hawabadiliki" ujue HAJUI KITU.

Anzs na The Origin Of Species cha Charles Darwin.

Misconceptions about evolution

(I'm too lazy for serious debates right now)
 
Asante sana Kaka.
Nashukuru binafsi sio mvivu wa kusoma ,hivyo naenda kucheq nyuzi zilizo ongezeka palee.
 
Hakuna majibu.
 
Uncle, Red Indians their skin is about Melanin , what if the melanin of them are less then white Indians.?

What you should note is
'Is only a Dark people who their melanin is perfect.
The same to Mongolians , if not melanin is Tropical of their country which is located west of Asia boundaried China .

Downward am going to give you what I have been Researching....

Africans is Original Mama of the World.

Kaka Unaweza kukosa kabisa mwelekeo wa Maisha
Ila ukiamua kujiuliza MASWALI 5 MAGUMU
Na ukaamua kufatialia Maijibu yake

Unaweza kujikuta Upo kwenye Mwelekeo wa Maisha mpya kabisa.

Ungana nami hapa.......
 


Mother land.
Hata pale wanapopaita kuwa ni BUSTANI YA Edeni Si ajabu pakawa ni Afrika.
Kuna yeyote ajuae kuhusu hili .....
 
Okay, mbona huwa unakuwa mkali mtu akikosoa evolution...?!
mkali au mbishi?

many are misinformed about evolution. its annoying kuona the same lies against evolution over and over again... "its just a theory" "we cannot observe it" "mbona nyani hawawi binadamu".

nipoteza ari ya kuongelea evolution sikuhizi....siku nitarudi lakini...

naangaliaga wakristo walioelewa evolution wanavyojaribu kuiintergrate kwenye imani yao. nachekaga tu...
 
Siku hizi wewe sio mkristo...?!
 
Evolution ndio ina lead color of ur skins to lighten,human being is a tropical animal by nature but when humans started moving out of Africa towatds colder climates thats when they started lo loose their dark color
Naweza kukubaliana na nadharia hii.
Ndiyo maana binadamu wa Kwanza inaaminika alianzia hapa TZ!
 
.....
Nikipata muda nitakuja kukuprove wrong kuhusu moon landing.

Siwezi nikakubaliana na wewe juu juu bila kusoma mwenyewe.

Siwezi kukubishia wala kukubalia kuhusu HIV au cancer kwasababu nilisoma juu juu tu. sio topic ngeni kwangu.....

Kwa mtu ambaye ni smart upstairs akisoma maneno yako hapo juu lazima ahitimishe kwamba wewe ni mental case kwa kuwa hujui hata unachokiongea wewe mwenyewe kina maana gani.

eti ukipata muda utakuja kuni prove wrong kuhusu moon landing,halafu wakati huohuo unakiri kwamba hujasoma hivyo huwezi kukubaliana na mimi bila kujisomea.Sasa kama hujasoma kuhusu suala hili utawahakikishiaje watu kwamba utaniprove wrong ilihali hujasoma jambo hili?Je,kama ukijisomea ukakuta kwamba niko sahihi itakuwaje?Bado utakuja kuniprove wrong?

Hapo kwenye HIV na cancer ni bora hujapinga,hivyo siwezi kukukanya kwenye hili.Halafu ninachokiona kwenye maelezo yako ni kwamba unapenda kusoma vitu juu juu pia ni mwepesi wa kupinga kabla hujajiuliza,yaani unakumbuka shuka wakati kumekucha.

Halafu unasema kwamba wewe ni mzembe katika kufanya serious debates kama hizi.Kumbe nilikuwa sahihi nilipomjibu mtu mmoja humu kwamba wewe ni dhaifu kiuelewa,na hii inaweza ikawa imesababishwa na tabia yako ya kupenda kusoma vitu juu juu na uvivu wa kujadiliana na watu smart kama sisi kwenye masuala muhimu kama haya.

By the way,haya ni majadiliano tu,hatuwezi wote tukawa na mtazamo/uelewa sawa kwa kila jambo,hii inatokana na juhudi za mtu binafsi katika kuitafuta elimu.Hivyo basi,kama utahitaji msaada wangu(kwa vitendo) hasa kwenye masuala muhimu kama Cancer na HIV niko tayari,sisi sote ni ndugu,sitajali tofauti zetu katika mijadala,naweka utu mbele kwanza,karibu sana.
 

Hivi ni kiasi cha melanin au ni aina za melanin ndio zinasababisha tofauti za rangi ya ngozi. Maana kunamzungu alishawai kutumia melanin mpaka akawa mweusi kabisa
 
ujifuze kusoma na kuelewa. labda kosa ni langu kwa kuweka paragraph vibaya. nimesema what i wont argue about ni story zako za HIV na cancer (na kwangu ushapoteza credibility ndomana hata nahisi na hizo zitakuwa conspiracies tu)

the moon landing is as real as it gets. debates za moon landing hazijaanza Leo na wanasayansi walishajibu hoja za wabishi zote. wanaosema moon landing ilikuwa staged wanaonekana mamental case. utawapata humu wasiopenda kusoma.

. Hapo kwenye HIV na cancer ni bora hujapinga, kwenye maelezo yako ni kwamba unapenda kusoma vitu juu juu pia ni mwepesi wa kupinga kabla hujajiuliza
aliyesoma juu juu ni wewe mpenda conspiracies. ukarudi usome evolution upya bro. hujui kitu. nimekupa lik hapo ujifanye hujaiona.

na mambo ya moon landing is a matter of googling. don't know why I have to bother writing paragraphs about it.

.
Halafu unasema kwamba wewe ni mzembe katika kufanya serious debates kama hizi.
English nayo hujui bro.

nimesema
(I'm too lazy for serious debates right now)

ulivyotafsiri sicho nilichosema. nowonder utadanganya wengi humu. watu wangejifunza kiingereza wakajisomee wenyewe tu.

Kumbe nilikuwa sahihi nilipomjibu mtu mmoja humu kwamba wewe ni dhaifu kiuelewa,na hii inaweza ikawa imesababishwa na tabia yako ya kupenda kusoma vitu juu juu na uvivu
wavivu ni wafuasi wako uliopata humu. wewe mwenyewe mvivu. hutosoma kitabu chochote kuhusu evolution na hutosoma link niliyokupa. utaendelea kuhubiri upotoshaji kwa wavivu wenzio.

debates za evolution nimefanya, Nimechoka. nitarudi siku.

BTW I'm currently reading Oblomov by Goncharov, Ivan Aleksandrovich. hapo nimekatisha kusoma Justine cha somebody de Sade. nothing serious. just lazy us!

kujadiliana na watu smart kama sisi
LOL. joke of the day.

.,kama utahitaji msaada wangu(kwa vitendo) hasa kwenye masuala muhimu kama Cancer na HIV niko tayari,sisi sote ni ndugu,
nipe sababu moja kwa nini niache kugoogle nikutane na makala millioni, debates elfu, mawazo ya mamia, nije nikuulize wewe conspiracy theorist.
asante kwa offer, no offence but you'll be of too little help and a waste of time.

bye.
 
Hivi ni kiasi cha melanin au ni aina za melanin ndio zinasababisha tofauti za rangi ya ngozi. Maana kunamzungu alishawai kutumia melanin mpaka akawa mweusi kabisa

mh huyo mzungu wa wapi? alikuwa mweusi au dark brown? huwa wanafanya tanning na jua wanakuwa brown.

vyote, aina na kiwango cha melanin vinasababisha. unazaliwa na aina Fulani kwa kiwango Fulani.. ukikaa juani melanin inaongezeka.

baadae ukikaa muda mrefu bila kuona jua, unakuwa mweupe (lighter), ambayo ndo rangi yako ya asili. kwa kuwa mamilioni ya seli za kwenye ngozi hufa kila siku, basi zile mpya zinavyokosa jua, hazihitaji kutengeneza melanin zaidi.
 
Evolution ndio ina lead color of ur skins to lighten,human being is a tropical animal by nature but when humans started moving out of Africa towatds colder climates thats when they started lo loose their dark color
Sasa mbona black wapo huko kwenye balidi hawa change colour
 
Kumbe hujifanya wanaipenda kinafki,
Na wakizaa na mweusi, mtoto anatoka na colour flan hv amaizing,

Ila me najiuliza pia, hawa wazungu hawana vinasaba vya albinism kweli! Maana weupe wao hua siuelewi kbs.
Mweupe ni fake na black ni genuine katika uumbaji wapo creators kama wachina vile upo
 
Sasa mbona black wapo huko kwenye balidi hawa change colour
Kaka wale waliendq miaka 400 iliopita evolution inaweza onesha tofauti miaka8000 au zaidi kutokana na maxingira
 
Usipokuwanacho utakitafuta
Mwenye nacho anakutazama tu.
 
It's variation brought by evolution finally leads to inheritance...
 
Ina maana hata

Ina maana hata h
Ina maana hata habari za mnara wa babeli huiui?? Basi kasome ktk kitabu cha mwanzo utaelewa kwamba lugha nyingi zililetwa na Mungu baada ya Mungu kuona lugha moja inawafanya wanadamu kusikilizana hivyo kuwa na umoja yaani muunganiko mkubwa sana ambao haumtukuzi Mungu ila umoja huo unawapelekea ktk uasi dhidi yake
Hlf kuhusu swala la rangi ya Adam kwa mujibu wa vitabu vya rejea Adam alikuwa na rangi ya kipekee ambayo inasemwa ni mchanganyiko wa zile rangi zote za upinde wa mvua ndio unaipata rangi aliyokuwa Adam, mkewe na uzao wao ila
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…