Why blacks?

Why blacks?

Wakuu habarini.....toka kuumbwa kwa huu ulimwengu mtu mweusi amekua akibaguliwa na mtu mweupe!!hivi nini asili ya chuki hii...tukikumbuka slavery...apartheid!!nadhani kuna la zaidi kwa hawa wenzetu kuhusu blacks...asanteni

Mimi nina mtazamo mwengine.

Ubaguzi ni social dynamics zinazojitokeza katika maisha ya viumbe wote (binadamu na wanyama) ili kundi (mbari) moja lilishinde kundi (mbari) lingine katika kinyang'anyiro cha resources (suvival of the fittest). Ubaguzi kati ya weusi na weupe sio tofauti na baguzi katika sehemu nyingine lakini unaleta hisia kubwa kwa sababu ya rangi zetu. Tukiiondoa hii dhana - ubaguzi wa weupe na weusi (ambayo kwa maoni yangu ni inferiority complex tunayojijengea sisi wenyewe na vizazi vyetu), weusi na weupe wanaweza kushindana on an equal footing. Cha muhimu kwetu ni kupata elimu ya kujitegemea na SIO elimu tegemezi kama hii tunayopata sasa. Ukianza pambano wakati unafikiri kuwa yule adui simuwezi, basi utakuwa umekwishashindwa kabla hata hujaanza pambano. Lazima ugangamale from get go.

Mfano:
Si miaka mingi iliyopita marekani na ulaya walikuwa wanawadharau sana Wachina kuwa ni masikini kwa ukomunisti wao. Hivi sasa wanakwenda kwa magoti uchina kukopa.

Zifuatazo ni baguzi nyingine duniani:

  • Waisraeli na Wapalestina
  • Hitler (Aryan race) na wazungu wengine (ingawaje Hitler hakuwa aryan)
  • Hitler na Waisraeli
  • Hutu na Tutsi
  • Indian brahimin na untouchables
  • Rich Arabs na Indian/Pakistani servants
  • Luo na Kikuyu (oversimplification lakini pana kwa ukweli)
  • Wamerikani na rest of the world
  • Suni na Shia
  • Waislamu na Wakristu
  • Wanawake na Wanaume
  • Wacha Mungu na sisi tutakaokwenda chomwa (mimi na mkuu Kiranga )
  • Waafrika waliopelekwa utumwani na sisi tuliobaki barani (kama alivyosema Nyani Ngabu )
  • Wahindi E.Afrika na Wamatumbi (proof: rate of intermarriages)
  • Simba na fisi au chui
  • Paka na mbwa

Unajua, kama mwalimu Nyerere asingekemea ukabila hapa Tanzania basi tungekuwa tunabaguana sana. Tafakari ni kabila gani lingelibagua kabila lingine. Baada ya hii mizizi ya ubaguzi kuzimwa kilichobaki sasa ni yale makabila ambayo yangebaguana sasa wanakuwa WATANI. Naomba wale waliokubuhu katika anthropolojia na sosholojia wanikosoe au waendeleze mada.

MUHIMU
Ni muhimu tuwajengee vijana wetu hisia ya kuwa wana nafasi sawa na weupe. Tuwawezeshe!
 
Kuhusu ubaguzi umenikumbusha kitabu cha Howard Bloom kinaitwa "The Lucifer Principle". His basic argument is similar to yours that ubaguzi ni intrinsic human. Hata genes zinabaguana ili kuendelea kuishi zenyewe na zile zinazofanana nazo.

Lakini katika enzi hii ya genetic engineering, ni lazima tuendelee kuwa watumwa wa some basic instincts?

Could we reingeneer society - even if not by a utopian sweepstake, but rather by gradual scientific convergence- towards a new and higher morality?

Is that a Selassian illusion that will remain to be pursued but never attained?
 
Kwa maoni yangu ubaguzi wa binaadamu ni more sociological than genetic. Ndugu wawili (same genetic pool) wanaweza kugombana nakubaguana over resources.

My two bits.
 
I think it's more inherent but many a times more fueled by outside factors.
 
You have a point to an extent.

The Pulitzer Prize author Haynes Johnson writes in "Divided We Fall : Gambling With History in the Nineties" of an incident in California, somewhere near LA, where poor blacks were rioting and invading to plunder and pillage affluent neighborhoods.

When they were wrecking mayhem, they did not care if one of the house was that of a black judge, they saw the house in the sociological light that it was of a rich person, regardless if he was a rich black or white person.

But that is beside the point made earlier.

There are studies showing that even the most genuinely open hearted white person gets a split second negative reflex action when encountering a black male face by surprise as compared to the same experimentation with a white face.

It is in light of that background I posed my question.
 
Labda kwa sababu historia za dini za kigeni zimeandikwa kuzunguka maisha ya wayahudi. Uwezekano wa Yesu kuchagua mtume mweusi ulikuwa mdogo kutokana na idadi ya weusi maeneo yale kwa wakati ule.

Tangu nilipoulizwa kwa nini hakuna mitume weusi na sikuwa na jibu basi tena!!!!!
 
Well, I have a simple answer to your deep question BUT I think it will convey my point.

Unajua kama umekuwa-socialized kuogopa kitu ukiwa mtoto, hata kama ukijua kuwa kitu hicho hakina madhara tena, instinct yako ya kwanza ni kuhamaki. Kuna studies zimeonesha kuwa watoto wachanga na toddlers weusi na weupe hawana tatizo kucheza pamoja. Lakini mtoto mweupe anapokuwa na kusikia kutoka kwa watu wazima kuwa weusi ni wezi, majambazi, wachafu, sio hadhi yetu, basi wanakuwa na hii picha hivyo akikutana na mweusi hisia yake ya kwanza ni kuhamaki - hata kama huyu mweusi ni professor mwenye hadhi kuu.

Unajua kama bado tungekuwa katika zile zama za utumwa wa Waarabu, basi hata wewe mkuu kama ungekutana na mwarabu ungehamaki na pengine kukimbia ingawaje hana nia mbaya. Lakini leo ni mmatumbi gani atakaehamaki au kukimbia akimuona mwarabu kijijini?

Just saying.
 
I think it's more inherent but many a times more fueled by outside factors.

Can you elaborate these outside factors that are more genetic than sociological?

My thinking here is that, sometimes very slight genetic differences (color of skin, hair, nose size, size of lips, height, etc.) are used only as identifying genetic markers to separate "them" from "us" visually in the struggle for scarce resources. So, I still contend that discrimination among humans is sociological in nature BUT slight genetic differences may be used (sometimes, not always) to effect it.
 
Labda kwa sababu historia za dini za kigeni zimeandikwa kuzunguka maisha ya wayahudi. Uwezekano wa Yesu kuchagua mtume mweusi ulikuwa mdogo kutokana na idadi ya weusi maeneo yale kwa wakati ule.

Yesu alikuwa 50 Mwafrika na 50 Myahudi

Hata Musa nae ni hivyo pia!
 
Kwanza mweupe habagui mweusi tu...anabagua mtu yoyote ambae sio mweupe...yaani wachano..wekundu..na hizo rangi nyingine ambazo sio nyeupe. Kwa kutaka race yao kuwa superior..!!

Unaposema mweusi tu..hapo unajishusha(kujubagua) mwenyewe, na unakubaliana nao.

Kumbuka tunatofautiana rangi tu...lakini wote tuna uwezo sawa wa kibinadamu.
 
Labda kwa sababu historia za dini za kigeni zimeandikwa kuzunguka maisha ya wayahudi. Uwezekano wa Yesu kuchagua mtume mweusi ulikuwa mdogo kutokana na idadi ya weusi maeneo yale kwa wakati ule.

Umeona.eenh sasa utaulizwa dini ilibagua????!!!
 
simple,
la ziada ni kwamba we're extraordinary human beings, they recognized that before we did, and they did what they wicked mind told em to do,
we're the original specie of mankind all over the world, equipped with much more physical, mental and spiritual strength than all men,
watu wanadanganywa mtu mweusi yupo fiti kwenye michezo tu, eti media jews ndio smartest kichwan i kisa walibarikiwa na Mungu,hakuna iyo kitu, black men we are supposed to wake up and read and do research sio kukaa kaa tu na kufata vitu vilivyoletwa na hawa wazungu, they have brainwashed us enough now.
 
50 afrika 50 jew kiaje mkuu,
ww bado una refer kitabu kile kile wazungu walichotumia kutudanganya,
real jews were/ are still black men,
hao waarabu mixer wazungu wanojiita jews wakavamia palestina,
woote hao ni waongo, usibishe,
chunguza.
 
Mkuu tatizo historia yetu haijaandikwa hivi....na huko ndipo hata mitaala yetu inazidi kutubrainwash na kutufanya tuwe inferior

Wewe ndo hujasoma historia. Hayo yote yapo kwenye vitabu. Hata ukimuuliza mwanafunzi wa O level tu aliyefuatilia somo la historia vizuri atakwambia..
Tatizo wa waafrika wengi hawataki kujishughurisha na kujua asiri yetu. Hao unaoona wazungu wameendelea sasa, karne ya 15 maendeleo tulikuwa nao sawa tu na tulifanya nao sana biashara karne hiyo hadi karne18.
Italy ilipoivamia Ethiopia kuchukua maeneo walichapwa mpaka wenye wakakimbia na kuifanya Ethiopia kua nchi pekee ya kiafrika ambayo haikutawaliwa na wazungu.
Tatizo ni kuwa westernized. Waafrika wa sasa kila kitu tunaiga kutoka magharibi. Na wao wanatuletea hata vitu vibaya, tabia mbaya coz tunawanyenyekea. Na chanzo chote ni viongozi wetu wakuu kuwa watumwa kwao. Africa tunatakiwa kuwa na viongozi majasiri kama president Mugabe, viongozi wazalendo haswa watakaoweka maslahi ya nchi zao mbele bila kusita sita. Unfortunately viongozi hawa walikuwepo zamani na sio sasa.
 
Sikusudii kutoka nje ya mada, na, nafikiri nitakuwa nachimba mada kwa kina zaidi.

Kumsifu Robert Mugabe kama kiongozi mzalendo ni kuidhalilisha dhana nzima ya uzalendo.
 
Mkuu Kiranga....hebu mtizamo wako kuhusu Mugabe....maana wengi tunamuona kama mwafrika aliyeonyesha ujasiri kukataa kupelekeshwa na wazungu
 
Back
Top Bottom