Why CCM ni maarufu kwa watu wajinga na waliofeli maisha?

Yaani mtu ana nyumba ya nyasi na inavuja, ila utosini ameweka bendera ya ccm!
 
Ccm inaeza kua sio bora na rafiki kwa watanzania lkn ukweli utabaki palepale hakuna pengine pa kwenda, wapinzani tu kua wamoja ni ngumu sembuse uwape madaraka?
 
Wajinga Kama Nyie ndo mnataka kutupeleka nchi ya uchumi was viwanda kwa akili hizi!
 
Kwahiyo mkuu unataka magufuli awanunulie mashati wote wenye mashati yaliyochanika kisa tu wanamsapoti yeye siyo!?.

Mkuu una degree ngapi za ujinga wewe!?. Grow up
 
Hatuna dada,Wala si ishi kwa hisani ya ccm.
Basi ndiooo maaaa na ujue mkizaliwa na dada inakuwa poa sana ......maaana mkiwa madume matupu kuna mmoja wenu anaweza kuwa kama punga au kupata vitabia vitabia kama vya kipunga punga.........eee wewe uoni unavotamn wanaume wa ccm ?? Ndio hili ni tatizo kubwa
 

Hii ndio sababu ya ninyi kuikosa ikulu maana ni wazi mnadharau sana ....hivi ninyi mna kitu gani cha maana ambacho kitakufanya useme chama chenu kinapendwa na wasomi sana? Mna wanachama walio faulu maisha na wasomi kuzidi CCM?

Hizi dharau zenu ndio zinawafanya msiguse ikulu maana ujuaji mwingi lakini hamna kitu cha maana kabisa!
 
Kujinajisi nafsi.Yafaa nyie wajinga wajinga akili zenu ni Mali ya mwenyekiti
 
Kwa asili kila Mtanzania ni Ccm

Na huko tunapoenda kutokana dola za magharibi kuanza kukosa ushawishi tutaenda kwenye siasa za china au Russia tena

Nimegundua una madhaifu katika taarifa. Ninadhani unazungumzia China ya Mao na Russia ya Marx. Unadhani nchi hizo ni wajamaa!! Amka kutoka usingizini mkuu.

Unasema kila mtanzania ni CCM kwa asili. Nahisi umezaliwa baada ya 1977 ambapo ilikuwa ni lazima kuwa mwana CCM. Hata hivo nimezaliwa kabla ya 1977 na sijawahi kuwa CCM au chama chochote na sioni umuhimu wa kuwa mwanachama wa chama cha siasa.

Mleta mada yuko sahihi - ni wajinga tu hufuata jambo kwa historia. Wale wanafuata jambo kwa usahihi ni wale wanaoangalia walipo sasa!!
 
Viongozi wote bora na wenye nidhamu ya kuiongoza nchi wapo ccm, tatizo lipo kwenye mfumo wa uongozi pamoja na katiba, siku wote wenye nidhamu, wakiamua kukihama chama na kuunga mkono upinzani ccm inaweza kutoka, tatizo hapa sio kundi gani linakipenda chama bali m'badala wake hayupo,
Tuna upinzani usioweza kusimamisha wagombea kila jimbo manake hauna nguvu iliyosambaa nchi nzima bali maeneo ya mijini zaidi,

Kuitoa ccm madarakani lazima yenyewe igawanyike kwanza, vinginevyo tuvumiliane tu.
 
Mbunge mmoja ni sawa na wabunge 30 wa ccm,case study hoja ya mdee kuhusu uchumi Hakuna aliyeweza jibu wakaishia muongozo, muongozo ili kubuy time.Wabunge wa ccm awamu hii wamekula bure tu Kodi zetu awajafanya kitu zaidi ya kusifia sifia ujinga ujinga tu.
 
Wenye elimu na akili wapo mjini,Bali ngoja kizazi cha kale cha wazee kipungue
 
Mwizi wa PHD sasa ndiyo wamefika hawatamuachia ni mwenzao haswaa! ze katarist is samsing that spids leacshen but it itself does not change!
 
Unaowaita waliofeli ndiyo waishio maisha halisi ya muafrika,kupenda uzungu kunawakuta wale wanao jiona walisoma,wanaishi maisha ya kibeberu na kudhani ndiyo uhalisia wa kiafrika na sivyo,ndiyo maana unaona mpumbavu mmoja anaitwa Tundu Lisu yuko huko anatukana nchi yake bila yeye kujua kua wanamdharau..na huko tuendako mtakubali tu maana siasa zitaenda kupotea hapa afrika na waliopiga maisha kupitia upumbavu wa muafrika watatoweka na kutuacha..sasa hv jifanyeni wasomi mtakuja kujua mkiwa wazee
 

Ninakukubali sana katika Michango yako hapa Jamvini ila sina uhakika lakini pia ninakukatalia kabisa na ulichosema katika Headline yako Ndugu.
 

You mean watu wezi. Tamka Ukweli.
 
Kuna msomi asiyeifahamu CCM?
 
Nchi hii sio masikini, kama wewe ni masikini wa mali pamoja na akili usitujumuishe na wengine,,!!
Kuna mtu masikini anaipinga ccm ?? Ukiona mtu anapinga na sera za kiccm huyo siyo masikini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…