Why CCM ni maarufu kwa watu wajinga na waliofeli maisha?

No research no right to speak,
Ndugu naomba reference ya research yako ku claim ulichokiandika, otherwise this post is useless.
 
Naona unaota, maisha ni juhudi binafsi na ujinga ni wa mtu binafsi mkuu maisha hayana ufuasi wa chama,inaonekana bado hujui unaongea nini.Sijui huo utafiti uliufanyia Ufipa?
 
Mtaji wa CCM ni watu wajinga na wasiojielewa ukiacha wale wachumia tumbo aka wasaka tonge!!
 
CCM ni popular kwa vijana wanaopenda njia za mkato za kuingiza kipato kwa kuimba "iyena iyena"!
Nina binti yangu mmoja alichumbiwa na katibu wa CCM wa wilaya fulani,jibu alilompa ni kuwa "he is not a man enough" kwa sababu anaishi kwa kusifia tuu na kuwa anamsifia JPM kuliko hata yeye girlfriend wake.
 
Ulimpigia kura lowasa 2015?! Though I am not sure you had reached 18 then.
Huna hakika kama katimiza miaka 18 halafu unamuuliza kama alipiga kura 2015!!!! Una utimamu kichwani kweli? Kweli umedhihirisha ukweli wa maandishi ya mleta uzi,ujinga umetamalaki huko chamani kwenu.
 
Na wewe uliye post uzi huu ni walewale ila hauko tu ssm uko upande wa pili au watatu kabisa
Umerudia kusoma ulichoandika? Mkiitwa wajinga mtakuwa mnatukanwa kweli!!?? Kwa uandishi huu!!??
 
Kama 70% ya watanzania wanaikubali CCM, that means Tanzania imejaza mapopoma...tobaaaa!
 
Huna hakika kama katimiza miaka 18 halafu unamuuliza kama alipiga kura 2015!!!! Una utimamu kichwani kweli? Kweli umedhihirisha ukweli wa maandishi ya mleta uzi,ujinga umetamalaki huko chamani kwenu.

Mliodeki barabara gari la lowasa lipite ndio tuwaweke kundi gani kama si wajinga mliopitiliza?!
 
Naona unaota, maisha ni juhudi binafsi na ujinga ni wa mtu binafsi mkuu maisha hayana ufuasi wa chama,inaonekana bado hujui unaongea nini.Sijui huo utafiti uliufanyia Ufipa?

Atajua anachoongea siku ujinga ukimtoka.
 
Nilipoona Emoji sijakutofautisha na dada angu
 
Kwa hiyo wale tulioimbishwa " ...kunja ngumi - zungusha!" na mgombea wa CCM aliyeuziwa nafasi ya URAIS na akina Mbowe na Lisu ndo Magenius wa nchi hii?
 
Hata wenye uwezo mdogo shuleni ni CCM? Hata wasaka vyeo ni CCM?
Naendelea kuitafari ulichoandika hapa?
 
Ngome zao ni Singida,Dodoma,Ruvuma and the like
 
Kama anavyojiuliza mimi pia hujiuliza hivo kuwa CDM lazima uvute bangi maana ukiwaona ni wa aina moja tu vurugu ndo jadi yao no reasoning hata kizuri unapinga tu.
 
Uzuri kwenye sanduku la kura huwa hakuna kura za wajinga, waliofeli maisha au wenye kipato bali kila kura huhesabiwa kwa haki sawa. Lakini katika maendeleo hamuwezi watu wote kuwa katika levo moja ya kipato bali utofauti lazima uwepo.
 
Na hapo ndio makosa ya demokrasia yalipo. Yaani eti Mimi na Kawe Alumni Bia yetu, Etwege, MOTOCHINI, na wengine wa aina hiyo tuna kuwa na sharti la mtu mmoja kura moja?
Ilitakiwa watu wa aina hiyo wawe kama ishirini ndio ihesabike ni kura moja ya mtu mmoja makini.
 
Binafsi nachukia sana mtu kunililia mtoto wake amekosa mkopo wa chuo wakati anaisifia CCM kwa kuleta maendeleo uku ccm wakielea kuitumia kete ya ujinga na umasikini kuendelea kutawa. Binafsi nauchukia sana umasikini.
Kama mimi ndio ningekua Rais,haya mamikopo ningeyafuta tu,na kuelekeza benki za biashara ziktoe mikopo ya elimu
Jukumu la kusomesha ni lako ,ona sasa stress zote unamalizia kwa serikali kisa mkopo utadhani serikali ilikusimamamia wakati unakojoa
 
Tatizo Tanzania hakuna vyama vya Upinzani Kuna wahuni na wajasiriasiasa Sasa unategemea watu wafanyaje?

Chadema ambao waliaminiwa wamegeuka kuwa chama Cha kihuni na sacoss ya Mwenyekiti
CCM nayo imeshindwa siasa imegeuka kuwa genge la kihalifu linalotumia mabavu ya dola kuendelea kutawala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…