Why CCM ni maarufu kwa watu wajinga na waliofeli maisha?

Kuna kipind nlikuwa na mangi shop
Na wewe ni wale wale niliowataja juu
kabla halijafa siku moja akaja mpuuzi mmoja akamsifia Sana Magu amefanya mazuri maendeleo yapo Sana tulibishana sn dat day af mwishoni anaomba nimkopeshe unga nahc unajua nn alikipata
 
Kuna kipind nlikuwa na mangi shop

kabla halijafa siku moja akaja mpuuzi mmoja akamsifia Sana Magu amefanya mazuri maendeleo yapo Sana tulibishana sn dat day af mwishoni anaomba nimkopeshe unga nahc unajua nn alikipata
Maendeleo ya vitu yaendane na maendeleo ya watu
 
Kama anavyojiuliza mimi pia hujiuliza hivo kuwa CDM lazima uvute bangi maana ukiwaona ni wa aina moja tu vurugu ndo jadi yao no reasoning hata kizuri unapinga tu.
Mkuu nipe SI unit ya hicho unachoita kizuri?
 
Kwa asili kila Mtanzania ni CCM

Na huko tunapoenda kutokana dola za magharibi kuanza kukosa ushawishi tutaenda kwenye siasa za China au Russia tena
Hii mada inakuhusu ww kwa unasadifu asilimia 100
 
Utakwenda wapi wakati vyama vingine vinautetea ushoga? Ni afadhali kuangalia kilchopo bungeni kuliko cha ushoga
 
Kwa asili kila Mtanzania ni CCM

Na huko tunapoenda kutokana dola za magharibi kuanza kukosa ushawishi tutaenda kwenye siasa za China au Russia tena
China tokea wakose mradi wa Bandari ya Bagamoyo hawataki ushirikiano na Serikali ya mtukufu na Naibu Rais ndugu Daud Bashite
 
Utakwenda wapi wakati vyama vingine vinautetea ushoga? Ni afadhali kuangalia kilchopo bungeni kuliko cha ushoga
Ushoga ni kitu gani? Ushoga ndiyo umechelewesha maendeleo Tanzania? Zile trilion 1.5 walizotafuna wakamtoa kafara CAG ni ushoga ulisababisha? Ushoga kwa Tanzania siyo Tatizo kwani hata jamii yenyewe haiwapendi mashoga ni vigumu wasambae Tanzania
 
Mimi nitaendelea kukumbuka mleta mada kama mtu aliyeoomba sana Corona iingie Tanzania ukidhani itakusaidia ajenda yako ya kisiasa. Mtu huyo huyo analialia kuwa hapendwi! Hata kama mtu hana shati, haki ya kufuata mueleko gani wa siasa bado ni yake.
 
Masikini wengi fikra zimevurugwa na umasikini, hapo ndipo vibopa wa CCM wanapo takeover kuwadanganya masikini

Hata CCM wapo matajiri, wasomi nk lakini tatizo wapo kimaslai kulinda heshima zao na utajiri wao
Hata ujiite msomi ukiingia CCM Taaluma yote inafutika unakuwa zuzu unabakia kuabudu kusadiki zidumu fikra za mwenyekiti wa CCM tena zile fikra alizoshawishiwa na mtu asiye na vyeti Naibu Rais Bashite. Hata Bungeni wabunge tegemeo ni wale darasa la saba kibajaji na Msukuma ndipo ujue CCM hawataki mtu aliyesoma kabsa
 
Mimi nitaendelea kukumbuka mleta mada kama mtu aliyeoomba sana Corona iingie Tanzania ukidhani itakusaidia ajenda yako ya kisiasa. Mtu huyo huyo analialia kuwa hapendwi! Hata kama mtu hana shati, haki ya kufuata mueleko gani wa siasa bado ni yake.
Corona ipo Tanzania iliua watu wengi wakati ipo kwenye juu takwimu zilifichwa na mpaka sasa watu wanakufa ingawa idadi imepungua kidogo, lengo la CCM kukataa kutangaza wanaokufa kwa corona ni kuwaogopesha watizamaji waangalizi wa kimataifa waogope kuja kusimamia uchaguzi mkuu ili CCM ipate kufanya uchakachuaji vizuri pasipo kelele za kimataifa.
 
Upo sawa kabisa Chadema ni wabovu sana. Ila muhimu kubadili mwenyekiti na mfumo wa kimtei. Ila upande wa pili nako kuna uongo mwingi.
Sahihi kivipi? Chadema wangekuwa wabovu mngehangaika kuwabambikia kesi kuwapiga risasi kuwapora ushindi kwenye chaguzi zote? Si mngeacha wananchi waamue wenyewe
 
Anae uchukia umasikini wa Tanzania hawezi kupaaza sauti yake kama wewe.

Naona unakuhusu zaidi.
 
Sahihi kivipi? Chadema wangekuwa wabovu mngehangaika kuwabambikia kesi kuwapiga risasi kuwapora ushindi kwenye chaguzi zote? Si mngeacha wananchi waamue wenyewe
Hatuhitaji Minyoo Tanzania.
 
Mtajj wa CCM ni ujinga,unyonge na umasikini.
 
Hatuhitaji Minyoo Tanzania.
Uwezo wako wa kufikiri umefika mwisho? na ndiyo maana tunasema CCM mtaji wenu ni mazuzu kama wewe mbweha, huhitaji nani Tanzania? Kwani Tanzania ni yako huko unapovuta Bangi na kujiona Tanzania ni yako peke yako, acha ufala jenga hoja
 
Dawa ya kuondoa Minyoo ipo mkuu wala usiwe na shaka.
 
Anae uchukia umasikini wa Tanzania hawezi kupaaza sauti yake kama wewe.

View attachment 1490088

Naona unakuhusu zaidi.
Wewe mvuta Bangi bakia huko gheto kwa Cyprian Musiba uendelee kuvuta Bangi mpaka uwehuke huku waachie CCM wanaojielewa wajenge hoja tuendelee kuwapa majibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…