Why CCM ni maarufu kwa watu wajinga na waliofeli maisha?

.
Sasa mkuku Unaanza je kutuaminisha kuwa CHADEMA siyo wahuni/Wapumbavu angali wewe kama mwanachama wake unatumia lugha ya kihuni hivi?
Apart from your rubbish words, hata avitar na username yako(Minyoo) inasadifu kile kilichomo kichwani mwako..
Note; Mtu mhuni na mpumbavu hawezi kujificha kamwe utamujua tu kwa matendo ake hata Kama akiwa amevaa suti ya kujifichia makucha.
 
Dawa ya kuondoa Minyoo ipo mkuu wala usiwe na shaka.
Kipimo cha umbumbumbu hapa JF ni kuisengenya ID ya JF ambayo haitokani na ubatizo msikitini wala kanisani na ID siyo Akili kwani hata wewe ID yako hiyo Mbona haijakufanya kuwa na akili ndiyo maana wenye Akili hukomaa na hoja hawataki ujinga kama wako wa kuhangaika na ujinga ambao ndiyo mtaji wa CCM, wewe ndiyo CCM Olijino kwani CCM huwapenda majuha kama wewe mbweha.
 
Aisee
Nadhani kila mtu ana uhuru wa kupenda akipendacho, kuchukia akichukiacho pasipo kushurutishwa, ili mradi avunji sheria. Iwe ni siasa, kazi, Elimu hata mahusiano
 
Wewe mvuta Bangi bakia huko gheto kwa Cyprian Musiba uendelee kuvuta Bangi mpaka uwehuke huku waachie CCM wanaojielewa wajenge hoja tuendelee kuwapa majibu.
Hiyo Minyoo lazima tuiondoe, njoo nikupe dawa tena itaondoka within hours. Khe khe khe h kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee unatia aibu. BTW I just started ignoring you officially.
 
Aisee
Nadhani kila mtu ana uhuru wa kupenda akipendacho, kuchukia akichukiacho pasipo kushurutishwa, ili mradi avunji sheria. Iwe ni siasa, kazi, Elimu hata mahusiano
Lakini CCM huwapenda wajinga zaidi ndiyo maana hata vitu wajibu wapo pesa za walipa kodi hujipa sifa utazani maendeleo ni Hisani ya CCM wakati maendeleo ni lazima kutokana na pesa za walipa kodi
 
Hiyo Minyoo lazima tuiondoe, njoo nikupe dawa tena itaondoka within hours. Khe khe khe h kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee unatia aibu. BTW I just started ignoring you officially.
Wewe mbweha nipo tumboni mwako sasa nimekutoa fahamu zote nakuletea njaa uende kwa Le mutuz akakupe mimba uache ufala , usifikiri Bangi zako zitanitoa njiani mie najua mtaji wa CCM ni mbumbumbu kama wewe.
 
Watetezi wa CCM wengi uwezo wa kufikiri ukifika mwisho huishia kuharibu mada hawajui kuwa kadri wanavyoivuruga hoja ndivyo wanavyoizidi kujidhalilisha CCM
 
Pole sana kuwepo ktk kundi la wajinga. Wenzako tulisha toka huko wewe endelea kujifariji tuu bwege.
.
Inasikitisha Sana kuona mtu anatoka Kwenye stage ya Ujinga na kwenda Kwenye stage ya upumbavu badala ya kujitambua.
Na Kipimo sahihi Cha mtu mjinga na mpumbavu nikuwa mchumia vyama vya kisiasa vya Afrika including CCM,CDM,FDD and etc.
 
Wajinga mpo CCM kwani chadema wangekuwa wajinga mngeacha wananchi ndiyo waamue lakini wajinga wa CCM mpo busy kuwabambikia kesi kuwapiga risasi chadema
Wanainchi wanaamua kila chaguzi,unafikiri Kuna mwananchi anataka wahuni tena.nini mlichowanyia wapiga kura? Mlivyo ingia na mnavyotoka ni vilevile tu, zaidi ya mipasho bungeni na sifa mbaya za wabunge wa chadema
 
Nchi ina zaidi ya miaka 50 haina maendeleo licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani, sasa wamekuja na tuvimaendeleo kiduchu kwenye miradi yenye 10% nyingi za wajanja wachache huko CCM wanajiadai kusema wanaleta maendeleo utazani ni pesa zao binafsi toka mfukoni, pesa za walipa kodi lazima ilete maendeleo siyo Hisani ya CCM,
 
Lakini CCM huwapenda wajinga zaidi ndiyo maana hata vitu wajibu wapo pesa za walipa kodi hujipa sifa utazani maendeleo ni Hisani ya CCM wakati maendeleo ni lazima kutokana na pesa za walipa kodi
Sasa huo ni uamuzi wa mtu, siasa ni kama mapenzi, kila mtu anampenda amtakaye awe ni chongo, mlemavu, mweupe, mweusi, mfupi au mrefu
 
Mkuu, kwa heshima na taadhima, soma tena nilichoandika. Hamna mada kuhusu Corona hapo kwenye bandiko langu hata kama umeona neno Corona.
 
CCM ndio chama kinachoongoza kuwa na wanachama wengi maprofesa na madokta wa filosofia Africa
Bungeni tegemeo kubwa ni Kibajaji na Msukuma darasa la saba, wanaojiita wasomi wakifika CCM Taaluma yote hufutika kichwani wanabakia na darasa la nne ndiyo maana wasomi wao ni Livingston Lusinde kibajaji na Msukuma wenye Akili zilee za watengeneza propaganda wao cyprian Musiba na Le mutuz.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…