Why CHAUMMA!? Lissu, Lema, Heche et al kutimkia CHAUMMA

Kama wengi wanamtaka Lissu, asuburi wakutane kwa box kwanza. Ila nasikia kuna wadau wapo mikoani kugawa mshiko ili aliyepo apite.
 
Bado tuna safari ndefu sana kupata upinzani halisi maana wengi wanaoingia ulingoni ni kama wanakuwa na ndoto zao ama maslahi yao binafsi na si kutumikia nchi kama inavyotakiwa..

CCM inalijua hili fika na wao kama wenye dola na pesa. Wataendelea kaviua vyama pinzani kwa formular ile ile hadi akili itukae sawa

CHADEMA kumruhusu Lowassa kuwania urais, iliwaondolea credibility ya kupambana dhidi ya ufisadi na rushwa. Kitu ambacho kiliwapa mass support na ajenda thabiti kama Chama. Leo hii chama kimekosa direction zaidi ya kudandia matukio na kufanya activism iliyopoa. CHADEMA ijitafakari sana
 
Waende tu hata kesho lakini hatuwezi kuacha CHADEMA mikononi mwa mwanaharakati ambaye atakinukisha kesho anapanda ndege kwenda ulaya! Watanzania hebu tutumie akili zetu vizuri!
 
Wapinzani wa kweli wako ndani ya CCM.
 
Huko huko CHAUMMA na dola ipo, watu wa CCM watakuwepo kumsubiri nguli hao wa siasa za upinzani wa kweli. CCM haitalala usingizi itakula sahani moja na mpinzani wao huyo mkubwa anayewanyima usingizi, watakuwa naye popote aendako kukaba hata penati.
 
Sijaamini kama ni wewe tuliokuwa pamoja enzi za mapambano.
Watu wamekatishwa tamaa ukweli umejulikana , Mbowe ni puppet wa CCM , Hivyo changes kupitia Chadema ni uongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…