much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 11,461
- 17,183
Vipi hujapata mgao wako Kwa mbowe?Wahame tu wamwachie Mbowe chama chake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi hujapata mgao wako Kwa mbowe?Wahame tu wamwachie Mbowe chama chake.
Kitu nawapendelea watu wa mbeya wapo mbele ya muda🤔Mbeya wanakielewa sana washakula ubwabwa baada ya kushinda uchaguzi wa serikali za mitaa
Kama wengi wanamtaka Lissu, asuburi wakutane kwa box kwanza. Ila nasikia kuna wadau wapo mikoani kugawa mshiko ili aliyepo apite.Kuna habari za kuaminika kabisa,kutoka kwa chanzo tiifu sana ambacho kina ukaribu wa hali ya juu mno na hawa Miamba mitatu……chanzo kinasema kuna makabrasha tayari yapo mezani na Mzee wa “ubweche” ameridhia kwa hiyari kabisa ujio wa hawa watu,tena ameomba astaafu chama awaachie LISSU na wenzake ila mwanae wa kiume (Rungwe JR) na baadhi ya viongozi wa juu hicho wawekwe kwenye kamati kuu ya Chama
Hatua hii inafuatia baada ya kuonekana kwa msigano na mvutano mkubwa sana unaoendelea pale CHADEMA,kwani Mbowe anataka aendelee kuongoza Chama yeye na genge lake,huku wanachama wengi wakimtaka Lissu ila inaonekana ni vigumu sana kwa TAL kushinda kulingana na wajumbe wengi kuwa vibaraka wa Mbowe na waliwekwa kimkakati kabisa
Unaambiwa ndani ya huu mpango wapo John Heche,Godbless Lema etc…..kinachosubiriwa ni hiyo siku ya Uchaguzi wa chama chao,endapo akishindwa TAL basi njia itakuwa ni kwenda kuungana na Hashim Rungwe Sipunda
Naiona CHAUMMA ikienda kuwa Chama kikuu cha upinzani ambacho kitakuwa hakina utapeli au hakina mafungamano na dola
VIVA CHAUMMA VIVA✊🏿
Karibu kiongozi.
Ahah hwana mda wakupotezaKitu nawapendelea watu wa mbeya wapo mbele ya muda🤔
Nje ya mada.Tupo nae pamoja.
View attachment 3182165
Waende tu hata kesho lakini hatuwezi kuacha CHADEMA mikononi mwa mwanaharakati ambaye atakinukisha kesho anapanda ndege kwenda ulaya! Watanzania hebu tutumie akili zetu vizuri!Kuna habari za kuaminika kabisa,kutoka kwa chanzo tiifu sana ambacho kina ukaribu wa hali ya juu mno na hawa Miamba mitatu……chanzo kinasema kuna makabrasha tayari yapo mezani na Mzee wa “ubweche” ameridhia kwa hiyari kabisa ujio wa hawa watu,tena ameomba astaafu chama awaachie LISSU na wenzake ila mwanae wa kiume (Rungwe JR) na baadhi ya viongozi wa juu hicho wawekwe kwenye kamati kuu ya Chama
Hatua hii inafuatia baada ya kuonekana kwa msigano na mvutano mkubwa sana unaoendelea pale CHADEMA,kwani Mbowe anataka aendelee kuongoza Chama yeye na genge lake,huku wanachama wengi wakimtaka Lissu ila inaonekana ni vigumu sana kwa TAL kushinda kulingana na wajumbe wengi kuwa vibaraka wa Mbowe na waliwekwa kimkakati kabisa
Unaambiwa ndani ya huu mpango wapo John Heche,Godbless Lema etc…..kinachosubiriwa ni hiyo siku ya Uchaguzi wa chama chao,endapo akishindwa TAL basi njia itakuwa ni kwenda kuungana na Hashim Rungwe Sipunda
Naiona CHAUMMA ikienda kuwa Chama kikuu cha upinzani ambacho kitakuwa hakina utapeli au hakina mafungamano na dola
VIVA CHAUMMA VIVA✊🏿
Mwachiluwi unasalimiwa na BICHWA KOMWE -Ahah hwana mda wakupoteza
Nje ya mada.
Mkuu hii picha ya sahani za ubwabwa ilichukukiwa wapi, chanzo pamoja na maelezo!
Najenga taswira, ni aina gani ya sherehe ilikuwa, maana si kawaida!
Wapinzani wa kweli wako ndani ya CCM.Kuna habari za kuaminika kabisa,kutoka kwa chanzo tiifu sana ambacho kina ukaribu wa hali ya juu mno na hawa Miamba mitatu……chanzo kinasema kuna makabrasha tayari yapo mezani na Mzee wa “ubweche” ameridhia kwa hiyari kabisa ujio wa hawa watu,tena ameomba astaafu chama awaachie LISSU na wenzake ila mwanae wa kiume (Rungwe JR) na baadhi ya viongozi wa juu hicho wawekwe kwenye kamati kuu ya Chama
Hatua hii inafuatia baada ya kuonekana kwa msigano na mvutano mkubwa sana unaoendelea pale CHADEMA,kwani Mbowe anataka aendelee kuongoza Chama yeye na genge lake,huku wanachama wengi wakimtaka Lissu ila inaonekana ni vigumu sana kwa TAL kushinda kulingana na wajumbe wengi kuwa vibaraka wa Mbowe na waliwekwa kimkakati kabisa
Unaambiwa ndani ya huu mpango wapo John Heche,Godbless Lema etc…..kinachosubiriwa ni hiyo siku ya Uchaguzi wa chama chao,endapo akishindwa TAL basi njia itakuwa ni kwenda kuungana na Hashim Rungwe Sipunda
Naiona CHAUMMA ikienda kuwa Chama kikuu cha upinzani ambacho kitakuwa hakina utapeli au hakina mafungamano na dola
VIVA CHAUMMA VIVA✊🏿
Sijaamini kama ni wewe tuliokuwa pamoja enzi za mapambano.Wahame tu wamwachie Mbowe chama chake.
Ukishaona andiko linasema "unaambiwa" ujue huo ni umbea na upashkunaUnaambiwa ndani ya huu mpango wapo John Heche,Godbless Lema etc…..kinachosubiriwa ni hiyo siku ya Uchaguzi wa chama chao,endapo akishindwa TAL basi njia itakuwa ni kwenda kuungana na Hashim Rungwe
Unafikiri huyo Mbowe ni wa kumuamini tena? Hujiulizi mpaka TBC wanarusha live mkutano wake kuna nini?Sijaamini kama ni wewe tuliokuwa pamoja enzi za mapambano.
Vikishakuwa vikubwa mnavihujumu na kuuwa watu wake wanafiki sana nyie.Tunahitaji Chama Kipya kinachopinga rushwa na kinachoendeshwa kwa demokrasia
Watu wamekatishwa tamaa ukweli umejulikana , Mbowe ni puppet wa CCM , Hivyo changes kupitia Chadema ni uongoSijaamini kama ni wewe tuliokuwa pamoja enzi za mapambano.