Why DNA tests are BANNED in Israel?

Why DNA tests are BANNED in Israel?

Ok, if it's their land then let them defend it, but if it's not, then what are they trying to do is more dangerous than Terrorism.
watu weusi ni hasara kwa dunia , upo busy na DNA za Israel , lakin hujali vifo vya wamasai na Sativa
 
kwan Tz wanaruhusu hiyo ?
In Israel, DNA testing for personal and genealogical purposes is highly restricted. Israeli law prohibits the purchase of at-home DNA test kits without a court order, meaning that individuals cannot freely buy these kits within the country. The restrictions are in place primarily due to concerns over privacy, ethical issues, and potential implications for Jewish identity and heritage [[❞]](https://www.middleeastmonitor.com/20240110-israels-dna-wars-forbidden-tests/) [[❞]](https://www.jpost.com/health-science/dna-tests-helping-to-open-up-world-and-reunite-families-665202).

However, medical DNA tests ordered by a doctor and court-ordered tests for legal purposes are permitted. This means that while you can't easily access commercial DNA testing kits for ancestry or recreational purposes, tests conducted under medical or legal supervision are allowed [[❞]](https://www.middleeastmonitor.com/20240110-israels-dna-wars-forbidden-tests/) [[❞]](https://www.jpost.com/health-science/dna-tests-helping-to-open-up-world-and-reunite-families-665202).
 
learning a language is very simple. How did you learn English?

They don't have Jewish culture. Not even a little bit.
sawa kwahiyo watu 10M wote sio wayaudi ? mliwapima nyiny DNA ? itikadi hzi hiz za waarab zimeu maelfu ya waafrika weusi hapo Sudani , kiasilia waarabu ni wabaguzi na hutumia kil propaganda kuua wasio waarab wenzao , nyiny misukule ya dini huwa mnasapoti tu bila kuchunguza
 
Ndio maana nikakusahihisha kuna dini kuna dini na kuna watu so Judaism unaweza kuwa hata wewe lakin huwez kuwa myahud.
We jamaa bana,jew ni kiingereza, kiswahili myahudi, Judaism ni kiingereza kiswahili uyahudi(dini)
 
sawa kwahiyo watu 10M wote sio wayaudi ? mliwapima nyiny DNA ? itikadi hzi hiz za waarab zimeu maelfu ya waafrika weusi hapo Sudani , kiasilia waarabu ni wabaguzi na hutumia kil propaganda kuua wasio waarab wenzao , nyiny misukule ya dini huwa mnasapoti tu bila kuchunguza
Kasome post namba 6 uzione sababu za kukatazwa kupima DNA ya kujuwa asili yao.
 
Hawa jamaa wamelaaniwa na ni moja ya jamii ya kishenzi kuwahi kutokea duniani wanalazimisha kuheshimika lakini matendo yao hayawezi kuwaheshimisha saivi kila mtu hadi ulaya anawatemea mate
waarabu au wayaudi ? waarab ndo kansa ya dunia ,sio Sudani , wala Afrika kaskazini wala afrika magharibi sio mashariki ya kati wala ulaya , waarabu wameleta fujo sana , na Dubai ndo kitovu uuzwaji wa mali zinazoibiwa Afrika
 
Ni sawa useme uchaguzi wa ccm tokea kupata uhuru ni wa kweli.
downloadfile.jpg
 
wayaudi au waarab dont give shit ć yah , jisikie aibu utaolewa na hao watu maana unawawaza sana , una shobo sana na waarabu na wayaudi
Huwezi nipangia ni kipi niwe nacho busy, kama upo busy na sativa nenda kwenye thread zinazo muhusu yeye
 
Kasome post namba 6 uzione sababu za kukatazwa kupima DNA ya kujuwa asili yao.
bibi unaferi sana , chuki ndo zimekufikisha huko ? kesho waarab wakisema Sa100 ni kafir utabeba tu , hujui kuchuja wewe
 
wayaudi au waarab dont give shit ć yah , jisikie aibu utaolewa na hao watu maana unawawaza sana , una shobo sana na waarabu na wayaudi
Sawa mkuu, huo ni mtazamo wako na nauheshimu siwezi kuuingilia.
 
Back
Top Bottom