Ishmael
JF-Expert Member
- Oct 18, 2011
- 15,039
- 6,017
Of course utakuwa mjadala wa kilevi.
Kwa sababu umekubali kuwepo kwa mungu anayeweza yote.
Anayeweza kufanya a square circle.
Akaumba ulimwengu ambao yeye mqenyewe hayupo.
Ambao utamfanya awepo na asiwepo kwa wakati huohuo.
Hapo ndipo upumbavu wa habari nzima ya "mungu muweza yote" unapojitokeza.
THEO 101: God is not physical - not located in the sky or elsewhere in space.
Those silly non theist memes will not work with informed people.