Why Facebook Co-Founder Mark Zuckerberg is an Atheist?

Kama uwezo ni kuweza kutenda.

Mungu aliweza kuumba ulimwengu ambao hauna mabaya?

Mabaya ya ulimwengu ni yapi ?
Ni mabaya kwa kipimo gani ?
Umindless wako usitumie Kama ndicho kitu cha kutambua mabaya, eleza namna MTU Mwenye mind anaweza tambua hayo uyaitayo mabaya....
Acha kurukaruka toa majibu Kama huwezi bonyeza ignore list
 
Prove kwamba wewe ni Atheist lakini sio Bwabwa ! Weka ushahidi yakini

Siuoni uzito wa hoja yako labda uniambie huo ushahidi kuwa kila asiemuamini mungu wako ni shoga umeutoa wapi?
Nachofahamu ushoga hauchagui mitazamo ndio maana kuna wakristo, waislamu, mapadri, mashekhe na watu kutoka katika makundi mengi tu ambao ni mashoga.
 
Wewe ! Maana huwezi kujibu hoja kulingana na unavyoulizwa
Umeulizwa Mabaya ndiyo vitu gani ?
Umetaja matukio kama vifo, nimekuonyesha namna ambavyo kifo kinaweza kuwa kibaya kwako na kikawa ni Neema kwa mwingine...

Kwanini ujirushe ghorofani ?

Yaani wewe ni mindless perse
Ukimwi ni kitu kizuri?
 
Siuoni uzito wa hoja yako labda uniambie huo ushahidi kuwa kila asiemuamini mungu wako ni shoga umeutoa wapi?
Nachofahamu ushoga hauchagui mitazamo ndio maana kuna wakristo, waislamu, mapadri, mashekhe na watu kutoka katika makundi mengi tu ambao ni mashoga.

Hata Mkristo na Muislam wana terms and condition ili MTU awe na sifa ya kuwa ama muislam au Mkristo. Moja wapo ni kwamba ushoga unakuondolea sifa za kuwa Mkristo au muislam hivyo sio rahisi na haiwezekani MTU kuwa Shoga na Mkristo/Muislam wakati mmoja.
Atheist kwao kuwa shoga ni prestige ndiyo sababu mnatafuta hata publicity .
Umeelewa ?
 
Kuwa shoga ni tatizo au ni vibaya ?
 
Huu utakuwa mjadala wa kilevi perse...
Ni nini kinachoufanya mjadala wa kilevi? Mjadala usio wa kilevi unakuaje? Hebu tuelezee kwa kifupi maana sidhani kama umeona mtu anaetumia kilevi humu.
Sasa tuambie huo mjadala wa kilevi ukoje.
 
Hata Mkristo na Muislam wana terms and condition ili MTU awe na sifa ya kuwa ama muislam au Mkristo. Moja wapo ni kwamba ushoga unakuondolea sifa za kuwa Mkristo au muislam hivyo sio rahisi na haiwezekani MTU kuwa Shoga na Mkristo/Muislam wakati mmoja.
Atheist kwao kuwa shoga ni prestige ndiyo sababu mnatafuta hata publicity .
Umeelewa ?

Mungu ni dini gani? Hayo unayoyasema umeyatoa wapi? Afrika kusini kuna msikiti ulifunguliwa na ulikuwa ukikaribisha makundi yote yakiwamo ya mashoga.
Kanisa la Anglican linatambua ushoga na wao ni wakristo pia.
Mapadri wa kikatoliki wanalawiti watoto kila kukicha na haohao ndio waalimu wa ukristo.
Sasa wewe tuambie hayo uliyoyasema umeyatoa wapi?
 
Huyo Ishmael hajui kitu then anangangana na kuingia kichwa kichwa ,anakurupukia maswali hana hoja ya umuhimu kivile so guys Wa jukwaa hili akipuuziwa hakuna tatizo mana sioni cha umuhimu kwake zaidi ya kungangana na lugha ya kigeni ata sehemu ambayo haijatumika .,mkuu ukikaa kimya ni bora zaidi kuliko kuwa mkurupukaji ivo Ishmael
 
Last edited by a moderator:

Huyo Nilishampuuza zamani kwa sababu hana hoja za msingi zaidi ya kucopy na kupaste halafu akizidiwa anaingiza lugha za kitoto halafu wanamuona superstar sana sijui nani wao.
 
Hakuna unachoweza kumjibu huyo jamaa, maelezo yako yanaonesha unatokwa povu hata huyo kianga naona kama anamkwepa sana jamaa.. ukisingizia lugha ni uongo kila mtu ana express hisia zake the way anaona inafaa, ama huelewi lugha na kama lugha unayotumia unaielewa basi huna uwezo wa kujibu hoja zake unaishia kuonesha udhaifu kwa comments zako.
 
Mti wenye matunda kupigwa mawe ni kawaida i though mgeenda hoja kwa hoja.. toe to toe badala ya kuanza kupindisha mnachotakiwa kujibu..
 
Hakuna unachoweza kumjibu huyo jamaa, maelezo yako yanaonesha unatokwa povu hata huyo kianga naona kama anamkwepa sana jamaa.. ukisingizia lugha ni uongo kila mtu ana express hisia zake the way anaona inafaa, ama huelewi lugha na kama lugha unayotumia unaielewa basi huna uwezo wa kujibu hoja zake unaishia kuonesha udhaifu kwa comments zako.

Kuu hawa ni waoga tu.Lugha inawahusu nini waangalie na wajibu hoja inayokuja Mbele yao Unataka kutuamini kwamba wao ndiye wenye copyright ya kila wanachoandika humu.
Ukweli ni kwamba Ishmael anawatibilia maana wanataka waonwe ni super katika ulimbukeni wao
 
Last edited by a moderator:
Huyo Nilishampuuza zamani kwa sababu hana hoja za msingi zaidi ya kucopy na kupaste halafu akizidiwa anaingiza lugha za kitoto halafu wanamuona superstar sana sijui nani wao.

Unampuuza unamwogopa ? Acha utoto...wewe jibu hoja zske nawe kacopy na upaste majibu kwenye hoja husika.
Ulimbukeni unwatesa sana....
 
Huyo Ishmael hajui kitu then anangangana na kuingia kichwa kichwa ,anakurupukia maswali hana hoja ya umuhimu kivile so guys Wa jukwaa hili akipuuziwa hakuna tatizo mana sioni cha umuhimu kwake zaidi ya kungangana na lugha ya kigeni ata sehemu ambayo haijatumika .,mkuu ukikaa kimya ni bora zaidi kuliko kuwa mkurupukaji ivo Ishmael

Wewe jibu hoja zake hata kwa kilugha chenu. Acha kuogopa hoja ni utoto huo...
 
Last edited by a moderator:
Hawa jamaa wanashangaza sana, mtu akisha pata degree moja au mbili anajifanya ni msomi na wana msemo wao the way unavyosoma sana ndio unavyokuja kufahamu kuwa hakuna Mungu. Mzungu huyo huyo kakuletea imani ya dini ukaipokea umepata degree moja unaikataa, mnabaki kusema tumepokea vitu na kuamini tu bila kufikiri kwa kina. Lakini huyo huyo mzungu ndio amekeletea elimu inayokufanya uwe na ubavu wa kujifanya una question kila kilicho mbele yako. Je imani na elimu zisingeletwa na hawa jamaa mngekuwa kwenye position gani? Mngekuwa na uwezo wa kusema hakuna Mungu?
Big Bang theory ni hadithi ya kusadikika tu kama hadithi za sungura na fisi nashangaa why mnashindwa ku question utata uliojaa mle ndani na kuamini tu kama wajinga.. Atheist ni watu dhaifu sana linapokuja suala la kutumia common sense kwa kuendeshewa na hisia za ujuaji na kutaka recognition from the society kuwa they know every thing
 
Back
Top Bottom