Why Facebook Co-Founder Mark Zuckerberg is an Atheist?

Religion has failed miserably to prove that there's God that's why I'm still looking. For your information an atheist is somebody who doesn't believe that God exists and NOT somebody who doesn't believe in religion. I know a lot of people who believe that God exists but they don't believe in religion so don't get it twisted.You still haven't given me proof from the Bible.
 
nini unaamini kwa sasa yani still una abudu apo au? kama co atheist then unatafuta proof za existence of god ,umesimama wapi mkuu?

Unamaanisha nini unaponiuliza kuwa naamini nini? Mimi siabudu kitu chochote kwa sababu siamini kuwa binadamu ni lazima kuabudu kitu chochote. Suala la kuabudu ni suala la imani na la binafsi, kama unaamini unatakiwa kuabudu Jiwe, Ng'ombe, Jua, bahari, upepo n.k mimi sina tatizo, lakini ukiniambia kuwa ni lazima kila mtu aabudu kitu fulani sitakubaliana na wewe. By the way kutafuta proof kuwa kuna Mungu hakuhusiani na kuabudu.
 
ww ni atheist?
 
kuna makundi mawili wanao amini mungu na wasio amini ww upo wapi kati ya hayo makundi?

Tupo pia tusiojua kitu mkuu,..i,e hatujui kama Mungu yupo sababu hakuna uthibitisho na hatujui kuwa huyo Mungu hayupo pia sababu hatuna uthibitisho wa kupinga uwepo wake,...tupo neutral mkuu
 
Tupo pia tusiojua kitu mkuu,..i,e hatujui kama Mungu yupo sababu hakuna uthibitisho na hatujui kuwa huyo Mungu hayupo pia sababu hatuna uthibitisho wa kupinga uwepo wake,...tupo neutral mkuu

hahaha iyo ni hatar better ufanye research na usimame sehemu unayoona sahihi mkuu
 
hahaha iyo ni hatar better ufanye research na usimame sehemu unayoona sahihi mkuu

Zote nimezijaribu lakn zinapwaya mkuu,..nikaamua kutojua kitu_ila nafuu wasioamini kidogo wana hoja wanaoamini hawana kitu zaidi ya kuendeshwa na hofu ya kuchomwa moto
 
Zote nimezijaribu lakn zinapwaya mkuu,..nikaamua kutojua kitu_ila nafuu wasioamini kidogo wana hoja wanaoamini hawana kitu zaidi ya kuendeshwa na hofu ya kuchomwa moto

Sawa mkuu kote hakujakamilika ila kwa sisi tusioamini afadhali hatuna contradictions sana kama believers..karibu upande wetu mkuu
 
Zote nimezijaribu lakn zinapwaya mkuu,..nikaamua kutojua kitu_ila nafuu wasioamini kidogo wana hoja wanaoamini hawana kitu zaidi ya kuendeshwa na hofu ya kuchomwa moto

umedumaa kukua nini ? hoja zako hazionyeshi kubadilika kifikra. nani kakwambia wanaoamini uwepo wa Muumba wa Mbingu ardhi na vyote vilivyopo wanaogopa kuchomwa moto.
kubwa jinga hubadiliki nawe uwe japo na hoja. kila siku vioja !!! unabore Great sinker wewe
 
mkuu kwanini unatumia lugha mbovu ,hakuna sababu ya kufanya ivo bna
 
kuna makundi mawili wanao amini mungu na wasio amini ww upo wapi kati ya hayo makundi?

Ulisahau kuni-quote nimechelewa kuona comment yako. Si kweli kwamba kuna wanaoamini na wasioamini pekee, tatizo lenu nyie mnaoamini mnadhani kuwa mtu asiye kwenye kundi lenu basi haamini. Kama IGWE alivyosema tuko watu ambao bado tunatafuta solid proof ya kuwepo kwa Mungu na sio kuaminishwa juu juu kama dini zinavyofanya.
 
Last edited by a moderator:
mkuu mie sipo kwenye kundi la wanaoamini mie siamini mkuu
 
Last edited by a moderator:

unataka uletewe mungu kwenye test tube ndiyo.uamini ?
au solid proof inafananaje ?
 
Last edited by a moderator:
Zote nimezijaribu lakn zinapwaya mkuu,..nikaamua kutojua kitu_ila nafuu wasioamini kidogo wana hoja wanaoamini hawana kitu zaidi ya kuendeshwa na hofu ya kuchomwa moto

mkuu kwanini unatumia lugha mbovu ,hakuna sababu ya kufanya ivo bna
Parcel wewe katika mijadala kuhusu Theist na Non theist umewahi kutana na utetezi wa Theist wakijitetea kwamba kuwa imani yao ni hofu ya kuchomwa moto ?
Kama hujawahi basi ukiamua kutaka watu watumie lugha ya staha ungeanza na huyo jamaa, kwa kuwa kama kuna kuchomwa moto kwa watu sidhani kama watachomwa kwa kuwa tu wameshindwa kujibu hoja za non theist.
Amini kwamba ukijenga hoja za staha utajibiwa hoja yako kwa staha.
tumefundishwa kumjibu mpum.bavu kadri ya upum.bavu wake ili asijeonekana mwenye hekima machoni pa watu.
Lakini pia tumeambiwa tumsimjibu mpum.bavu kwa upum.bavu wake.
kwa hiyo namna ya kujimbu mpum.bavu itategemea namna alivyotumia upum.bavu wake
 
Last edited by a moderator:
Sawa mkuu nimekupata
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…