That will be great!
He is the Creator of the universe, that means He his beyond time, space and matter.
Still you feel like seeing Him in a matter "test tube " at times bora kuwa kipofu kuliko kuwa na mcho kusoma upu.Uzi Kama uliondika.
Samahani lakini...ukweli ndivyo ulivyo
Unajitahidi kuwaelimisha ila Wana shingo ngumu sana hawa jamaa
What kind of evidence is that?I do not drink, and I am home already.
atheists wote ni gay
ila gay wote sio atheist
Kiranga declare your interest please. Naona jamaa kawalundika kapu moja...atheists wote ni gay
ila gay wote sio atheist
Kiranga declare your interest please. Naona jamaa kawalundika kapu moja...
Denial without proof is null and void.Mimi si gay.
How many times you commit said crime?Hawa watu wengine wanataka tutoke kwenye hoja na tuibgie kwenye viroja vya kutykanana na kusemezana kwa mambo yasiyo ya msingi.
Is gay morally wrong? How is that possible in science?Uongo wa kupakaziana ni tabia moja ya mtu aliyeshindwa joja.
Is the thread about "Mungu Yupo?Kwa minajili ya kupoteza muelekeo wa majadiliano.
Nimeomba uthibitisjo kwamba mungu yupo.
Sijapewa, watu wanaleta longolongo tofauti ambazo hazihusiki.
Your argument is provable and verifiable.atheists wote ni gay
ila gay wote sio atheist
Mimi si gay.
Hawa watu wengine wanataka tutoke kwenye hoja na tuibgie kwenye viroja vya kutykanana na kusemezana kwa mambo yasiyo ya msingi.
Uongo wa kupakaziana ni tabia moja ya mtu aliyeshindwa joja.
Kwa minajili ya kupoteza muelekeo wa majadiliano.
Nimeomba uthibitisjo kwamba mungu yupo.
Sijapewa, watu wanaleta longolongo tofauti ambazo hazihusiki.
Kuna ubaya wowote kimaadili MTU kuwa gay ? Au ni kanuni gani ya kisayansi MTU hukiuka akiwa gay ambayo inakufanya wewe uone unatukanwa ukiambiwa wewe gay ?
Kuna jamaa amekujibu kuhusu kuwepo Mungu. Je ? Waweza kukanusha hoja zake kwa ushahidi Kama huwezi ni kwa vipi MTU Kama huyo Mwenye ushahidi bado awe hajamthibitisha Mungu ?
Mimi si gay.
Hawa watu wengine wanataka tutoke kwenye hoja na tuibgie kwenye viroja vya kutykanana na kusemezana kwa mambo yasiyo ya msingi.
Uongo wa kupakaziana ni tabia moja ya mtu aliyeshindwa joja.
Kwa minajili ya kupoteza muelekeo wa majadiliano.
Nimeomba uthibitisjo kwamba mungu yupo.
Sijapewa, watu wanaleta longolongo tofauti ambazo hazihusiki.
Wapi nimesema nimetukanwa kuitwa gay?
Unaona vipi mimi nimetukanwa kuitwa gay kwa mimi kusema mimi si gay?
Huyo "jamaa" aliyenijibu kuhusu kuwapo kwa mungu kanijibu wapi?
Hyperlinks and post numbers are here for a reason, use them.
Umeandika jamaa wanataka mtoke kwenye hoja muingie kwenye viroja na kutukanana...
Ndiyo nilifikiri kuitwa shoga/gay ndiyo kutukanwa kwenyewe na ndiyo msingi wa hoja yangu.
Jamaa amekujibu kwenye post namba 152 kwa mujibu wa simu yangu.
Samahani Kama nakukwaza
Wapi nimesema nimetukanwa kuitwa gay?
Unaona vipi mimi nimetukanwa kuitwa gay kwa mimi kusema mimi si gay?
Huyo "jamaa" aliyenijibu kuhusu kuwapo kwa mungu kanijibu wapi?
Hyperlinks and post numbers are here for a reason, use them.
Kuna wakati mwingine badala ya kulaumu kutotumika kwa "hyperlinks" na post namba sio vibaya ukianza na kutoa somo namna ya kutumia.
Wengi wetu Tu wajuzi wa kubonyeza herufi na tarakimu Tu.
Usitulaumu kabla ya kugawa ujuzi wako Mkuu wangu.
Huyo muhuni alishanitukana matusi mabaya sana hana hadhi ya kujibishana nami.
Nilishamuweka kwenye ignore list, hata anachoandika sikioni na wala sihitaji kukiona.
Kama anaweza kuniomba radhi na kuahidi kutorudia matusi yake, labda naweza kufikiria kumtoa kwenye ignore list.
Natumaini hata wewe usingependa tuanze kujibishana matusi hapa.
Kwa kumuweka kwenye ignore list, naepusha matusi.
Kama huna basic netiquette hilo si tatizo langu.
Get a tutorial or something.
Naomba nikuhakikishie kitu kimoja, hakuna neno wala lugha toka kwa yeyote inayoweza kunifanya nimpeleke ignore list sumbuse kumreport abuse. Naheshimu Uhuru wa kuropoka na kusema...nitakujibu kwa kadri ya lugha itayofanya tuelewane.
Hivi matusi ni universal kwamba kile ambacho wewe unaona ni tusi lazima kiwe tusi na kwa MTU mwingine ?
Ama kuhusu kutoona hoja za jamaa kwangu Mimi naona ni udhaifu wako mwenyewe kuliko kuwa makosa ya huyo jamaa.
Baada ya kumpeleka Ignorelist na kutoona hoja zake kwa fikra zako unataka Mimi niwe nacopy hoja zake na kukuwekea au napo hutaki ?
Mimi naweza tumika Kama pipe la kupitisha hoja za Ishmael kwa kuwa naona ni nzito na zinawakilisha ushahidi wa yakini wa kuwepo kwa Mungu muumba. Nakuwekea hoja zenyewe Mkuu.