Uchaguzi 2020 Why I support Nyalandu and not Lissu

MTU YEYOTE ALIETOKA CCM SIO WA KUMUAMINI NA KUMPA NAFASII...NEVER
 
Mwalimu nyerere alikua mwanaharakati na sasa anatambulika na kuenziwa kama BABA WA TAIFA. Hoja yako dhaifu, OCTOBER tunasimama na LISSU
 
ukweli mchungu ni kwamba lisu angeweza kuichukua nchi kama hichi kipindi kingekuwa 2025 kipindi ambacho anaingia raisi mwingine lakin kwa magu hahahaaa tutakuwa tunapigia mbuzi gitaa kwanza sio ajabu hata wewe unaeandika kuhusu kumpinga magu humu mtandaoni siku ya uchaguzi ukampigia Kura magu

Koromije kubaya ila ndo nyumbani
 
Lissu hana experience ya kazi serikalini wala kuwai kufanya kazi kwenye kamati yoyote ya usimamizi wa mapato bungeni kama vile PAC na LAAC.

Imagine Magufuli aliyetumikia miaka 20 kwenye miundombinu kabla ya uraisi jumlisha uelewa wake wa mambo mengi ya ujenzi na mambo yanavyotakiwa kufanyika serikalini lakini bado anapelekwa kufungua majengo na barabara ambazo yeye mwenyewe anauliza gharama zake mbona kama azitoshi.

Uelewa wake wa tendering na bado anabaini za ovyo, ugomvi wake na wakurugenzi kila anapofika kutokana na malalamiko anayopewa, miradi ya ovyo ya maji, sijui shule na mengine mengi tu.

Kama Magufuli pamoja na uelewa wake wote na ukali wake bado kuna watu vichwa ngumu mpaka leo serikalini; akiingia Lissu si kesho yake tu watu wanafanya party.

Kazi ya uraisi ni ngumu mno Tanzania, tofauti na tunavyojifurahisha kwenye jukwaa la siasa Lissu atoshi hata kidogo kwenye hiyo nafasi sio yeye tu ata huyo Nyalandu na Membe.

Tusione vinaelea vimeundwa huyo Magufuli mwenyewe kuelekea miaka 5 yake ya mwisho anatakiwa kutengeneza prodigies kama watu wataoshindania akimaliza. Ili awajengee ujasiri na uelewa (tayari anae mmoja Jaffo, bado wawili) vinginevyo nilichojifunza kutokana na ziara zake akimaliza muda wake tunarudi tulipotoka.

Hiyo kazi sio lelema na sio ya kila mtu you need experience and deep understanding on the working of the government.

Lissu hana hiyo experience wala guts za kuendesha serikali; yaani Mbowe is by far more knowledgeable kushinda Lissu.

Ni sympathy tu ndio inambeba Lissu but he doesn’t have what it takes to manage Tanzania, ukija kwenye maswala ya agenda ya uchumi ndio kabisa zero.
 
Kijamaa ambacho muda wote kina jazba, kikiwa ki amiri jeshi kikuu si tutaanza kulala saa 12 jioni.
 
Lissu ni Mwanaharakati, hafai kupewa madaraka ya juu kama Urais. Anaweza kufaa Sana akiwa Waziri Mkuu, Mkurugenzi WA TAKUKURU, Spika wa Bunge, Jaji Mkuu, Mwanasheria Mkuu wa Serikali au Waziri wa Katiba na Sheria but sio kuwa Rais wa nchi.

Rais anatakiwa awe
ame " out grow "Ile phase ya "uanaharakati" .

Lissu bado ame stuck kwenye phase ya "uanaharakati"

Kingine tukimpa Lissu nafasi ya kuwa Rais tunakuwa tunamsaidia Tu kumuweka katika nafasi ya kulipa kisasi Kwa watu anao amini ni watesi wake Jambo ambalo halina maslahi Kwa TAIFA letu.

Kaka Lissu wewe unasifika na kuheshimika kama Mwanasiasa makini but kwa hili la urais, hell No! I Am sorry to tell you that you are not a good fit.

Chadema mtafanya makosa makubwa Sana kama nafasi ya kupeperusha bendera ya chama chenu mtaitoa kwa MTU mwingine tofauti na Nyalandu.

Lissu awe kwenye kampeni kumsindikiza na kukuunga mkono Nyalandu.

Kura za huruma ya Watanzania kwa Lissu ziende kwa Nyalandu.
Lissu kulipa kisasi ni hofu yako tu na ya wale waliompiga Risasi. Mungu ana makusudi na Lissu.Msitumie nguvu kuzuia Mpango wa Mungu.
 
Watanzania hawalioni hilo wanachoangalia ni popularity kigezo ambacho Lisu anacho 100% lakin in other side Lissu kweli hafit kwenye kugombea ngazi ya urais.
Labda mgombea urais anapaswa kuwaje? Na hiyo kozi inafundishwa Chuo gani?
 
Lissu ni Mwanaharakati, hafai kupewa madaraka ya juu kama Urais. Anaweza kufaa Sana akiwa Waziri Mkuu, Mkurugenzi WA TAKUKURU, Spika wa Bunge, Jaji Mkuu, Mwanasheria Mkuu wa Serikali au Waziri wa Katiba na Sheria but sio kuwa Rais wa nchi.

Rais anatakiwa awe
ame " out grow "Ile phase ya "uanaharakati" .

Lissu bado ame stuck kwenye phase ya "uanaharakati"

Kingine tukimpa Lissu nafasi ya kuwa Rais tunakuwa tunamsaidia Tu kumuweka katika nafasi ya kulipa kisasi Kwa watu anao amini ni watesi wake Jambo ambalo halina maslahi Kwa TAIFA letu.

Kaka Lissu wewe unasifika na kuheshimika kama Mwanasiasa makini but kwa hili la urais, hell No! I Am sorry to tell you that you are not a good fit.

Chadema mtafanya makosa makubwa Sana kama nafasi ya kupeperusha bendera ya chama chenu mtaitoa kwa MTU mwingine tofauti na Nyalandu.

Lissu awe kwenye kampeni kumsindikiza na kukuunga mkono Nyalandu.

Kura za huruma ya Watanzania kwa Lissu ziende kwa Nyalandu.
Ccm wote mnamtaka kada wenu NYALANDU [emoji3]
 
Unaweza kuwa na HOJA NZURI sema tu ni kuwa Lissu ni rais bora zaidi kuliko JPM. Chini ya JPM kila mtu kaona kuwa mtu yoyote anaweza kuwa rais. As long as Lissu is better than JPM basi anafaa sana tu maana atleast yeye atazingatia utawala wa sheria
Lissu ni Mwanaharakati, hafai kupewa madaraka ya juu kama Urais. Anaweza kufaa Sana akiwa Waziri Mkuu, Mkurugenzi WA TAKUKURU, Spika wa Bunge, Jaji Mkuu, Mwanasheria Mkuu wa Serikali au Waziri wa Katiba na Sheria but sio kuwa Rais wa nchi.

Rais anatakiwa awe
ame " out grow "Ile phase ya "uanaharakati" .

Lissu bado ame stuck kwenye phase ya "uanaharakati"

Kingine tukimpa Lissu nafasi ya kuwa Rais tunakuwa tunamsaidia Tu kumuweka katika nafasi ya kulipa kisasi Kwa watu anao amini ni watesi wake Jambo ambalo halina maslahi Kwa TAIFA letu.

Kaka Lissu wewe unasifika na kuheshimika kama Mwanasiasa makini but kwa hili la urais, hell No! I Am sorry to tell you that you are not a good fit.

Chadema mtafanya makosa makubwa Sana kama nafasi ya kupeperusha bendera ya chama chenu mtaitoa kwa MTU mwingine tofauti na Nyalandu.

Lissu awe kwenye kampeni kumsindikiza na kukuunga mkono Nyalandu.

Kura za huruma ya Watanzania kwa Lissu ziende kwa Nyalandu.
 
Labda mgombea urais anapaswa kuwaje? Na hiyo kozi inafundishwa Chuo gani?

lazma Uwe unasoma alama za nyakati mkuu
hiki sio kipindi sahihi cha lisu kugombea ngazi hiyo kikubwa anachokifanya ni kuleta tu changamoto lakini swala la yeye kuwa raisi wa jamhuri hahahaaa asahau kwa hiki kipindi labda ajaribu 2025
 
Raisi wa jamhuri ya Tanzania anajulikana mpaka saivi hamna pingamizi huu uchaguzi ni wa wabunge na madiwani tu Lazma mlitambue hilo
 
Back
Top Bottom