MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Vickeko vingi vilianzishwa na waKenya kuhusu panga boy. Wala msikatae hilo, sio panga boy tuu, kili asubuhi waKenya mnakuja humu mnatusema kwamba nyinyi ndio mnajuwa kila kitu na mna vizuri kuliko sisi. Watu mpaka wanaweka uzi za Rwandan is doing better than Tanzania. Na wanaoweka ni kina nani kama sio waKenya?. Tunachotaka sisi ni biashara tuu, wala hatutaki kuona wanawake wa Kenya. Ni biashara mwanzo mpaka mwisho.
Wakenya wachache wanakuja huku maana kuna sehemu imeandikwa 'Kenyan news', nyie ndio huwa mnatiririka kutwa mkiponda kila bandiko nzuri la Kenya. Sidhani na sijaona Mkenya anaponda mabandiko ya Tanzania kule kwa hoja mchanganyiko.
Halafu hilo la Rwanda, mkulu wenu ndiye kasema mwenyewe kwamba amefundishwa na Kagame jinsi ya kununua ndege na pia kaagiza wataalam wa Rwanda waje wawape darasa jinsi ya kukusanya mapato.
Soma hapa utajifunza kitu http://ippmedia.com/sw/habari/kagame-ampa-magufuli-ujanja-kununua-ndege-reli-mpya