Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,768
- 172,128
Kwani uko wapi?Yaani sijawahi kumpata mwanaume kama huyuu ni zamani .
1. Mwelewa
2. Mvumilivu mwenye upendo sio mtu ambaye hajui matunzo na ambaye hapendi kukujali .
3. Ukimpigia hata kama hajaona atakurudia kwa mahaba mengi yenye kutia moyo kuwa unamtu.
4. Anapenda kukutoa out za heshima unaenda naye sio namiguu lazima awe anausafiri mnaenda enjoy sehemu mbali mbali .
5. Awe anakupa positive ideas .
6. Awe anamahali hata anavutia kimwonekano atleast.
Always unamtegemea always yupo nawewe sio anakuacha anakuita akihitaji kukukula tu.
7. Hakutangazi anakuhifadhi marafiki ndugu wanakufahamu mnasaidiana ila asilimia kubwa yeye ndio baba .anamalengo pia yamaisha anaheshimu muda wako uwepo wako mara nyingi huna mawazo yakumvuna maana unaona future kwake.
Ila hapa Tanzania huyu mwanaume hayupo nakama yupo ameshaoa atakudanganya .
I wish Mungu anikutanishe naye sio mtu mnachart humu hamuonani kazi presha tu kitu kizuri kuonana nakuwa nahuyo mtu kila day .
Hapo itabidi ufinyange wako peke yako mana sio hawa akina Konde wanataka kumla Ibraah wa watuYaani sijawahi kumpata mwanaume kama huyuu ni zamani .
1. Mwelewa
2. Mvumilivu mwenye upendo sio mtu ambaye hajui matunzo na ambaye hapendi kukujali .
3. Ukimpigia hata kama hajaona atakurudia kwa mahaba mengi yenye kutia moyo kuwa unamtu.
4. Anapenda kukutoa out za heshima unaenda naye sio namiguu lazima awe anausafiri mnaenda enjoy sehemu mbali mbali .
5. Awe anakupa positive ideas .
6. Awe anamahali hata anavutia kimwonekano atleast.
Always unamtegemea always yupo nawewe sio anakuacha anakuita akihitaji kukukula tu.
7. Hakutangazi anakuhifadhi marafiki ndugu wanakufahamu mnasaidiana ila asilimia kubwa yeye ndio baba .anamalengo pia yamaisha anaheshimu muda wako uwepo wako mara nyingi huna mawazo yakumvuna maana unaona future kwake.
Ila hapa Tanzania huyu mwanaume hayupo nakama yupo ameshaoa atakudanganya .
I wish Mungu anikutanishe naye sio mtu mnachart humu hamuonani kazi presha tu kitu kizuri kuonana nakuwa nahuyo mtu kila day .
Huyo hata kama amebakia pote nakaa single
Em nijaribu mmWanaume wa siku hizi wanashangaza sana π’ sitaki kusema mengi
Ndioo bossyππππ kwahio kama mmebaki wawili duniani mtabaki mnatizamana tuππππ€£
UTOTO Raha sanawish Mungu anikutanishe naye sio mtu mnachart humu hamuonani kazi presha tu kitu kizuri kuonana nakuwa nahuyo mtu kila day .
Nimejiona sipo peke anguHahaha dah umekuja kujipa moyo na tumaini kwenye huu uzi aya bhana!
Yaani sijawahi kumpata mwanaume kama huyuu ni zamani .
1. Mwelewa
2. Mvumilivu mwenye upendo sio mtu ambaye hajui matunzo na ambaye hapendi kukujali .
3. Ukimpigia hata kama hajaona atakurudia kwa mahaba mengi yenye kutia moyo kuwa unamtu.
4. Anapenda kukutoa out za heshima unaenda naye sio namiguu lazima awe anausafiri mnaenda enjoy sehemu mbali mbali .
5. Awe anakupa positive ideas .
6. Awe anamahali hata anavutia kimwonekano atleast.
Always unamtegemea always yupo nawewe sio anakuacha anakuita akihitaji kukukula tu.
7. Hakutangazi anakuhifadhi marafiki ndugu wanakufahamu mnasaidiana ila asilimia kubwa yeye ndio baba .anamalengo pia yamaisha anaheshimu muda wako uwepo wako mara nyingi huna mawazo yakumvuna maana unaona future kwake.
Ila hapa Tanzania huyu mwanaume hayupo nakama yupo ameshaoa atakudanganya .
I wish Mungu anikutanishe naye sio mtu mnachart humu hamuonani kazi presha tu kitu kizuri kuonana nakuwa nahuyo mtu kila day .
Afadhali, nilimuacha mwenzako hii wiki japo tunapendana, sababu: umbali nipo mkoani yuko dar! Kalia sana kwenye simu kalia sana anasema "hata kama hunipendi mimi usikilize moyo wangu" ila long distance imenishinda.Nimejiona sipo peke angu
Sasa sababu huna unamuacha mwenzio kisa long distance utapata wa karibu atakutesa mpk utatamani bora angekuwa mbaliAfadhali, nilimuacha mwenzako hii wiki japo tunapendana, sababu: umbali nipo mkoani yuko dar! Kalia sana kwenye simu kalia sana anasema "hata kama hunipendi mimi usikilize moyo wangu" ila long distance imenishinda.
Punguza over expectations hizo mkuu.Yaani sijawahi kumpata mwanaume kama huyuu ni zamani .
1. Mwelewa
2. Mvumilivu mwenye upendo sio mtu ambaye hajui matunzo na ambaye hapendi kukujali .
3. Ukimpigia hata kama hajaona atakurudia kwa mahaba mengi yenye kutia moyo kuwa unamtu.
4. Anapenda kukutoa out za heshima unaenda naye sio namiguu lazima awe anausafiri mnaenda enjoy sehemu mbali mbali .
5. Awe anakupa positive ideas .
6. Awe anamahali hata anavutia kimwonekano atleast.
Always unamtegemea always yupo nawewe sio anakuacha anakuita akihitaji kukukula tu.
7. Hakutangazi anakuhifadhi marafiki ndugu wanakufahamu mnasaidiana ila asilimia kubwa yeye ndio baba .anamalengo pia yamaisha anaheshimu muda wako uwepo wako mara nyingi huna mawazo yakumvuna maana unaona future kwake.
Ila hapa Tanzania huyu mwanaume hayupo nakama yupo ameshaoa atakudanganya .
I wish Mungu anikutanishe naye sio mtu mnachart humu hamuonani kazi presha tu kitu kizuri kuonana nakuwa nahuyo mtu kila day .
Mda huo ananitesa namuangalia tu!Sasa sababu huna unamuacha mwenzio kisa long distance utapata wa karibu atakutesa mpk utatamani bora angekuwa mbali
Sawa dear uzuri tunalipwaga duniani tuMda huo ananitesa namuangalia tu!
Utasubiri sana mpaka miguu iote ukogo. Mungu huwa anakupa wa kufanana nae. Ukimtaka wa namna hiyo anza kwanza wewe kubadilika uwe na namna hiyo.Yaani sijawahi kumpata mwanaume kama huyuu ni zamani .
1. Mwelewa
2. Mvumilivu mwenye upendo sio mtu ambaye hajui matunzo na ambaye hapendi kukujali .
3. Ukimpigia hata kama hajaona atakurudia kwa mahaba mengi yenye kutia moyo kuwa unamtu.
4. Anapenda kukutoa out za heshima unaenda naye sio namiguu lazima awe anausafiri mnaenda enjoy sehemu mbali mbali .
5. Awe anakupa positive ideas .
6. Awe anamahali hata anavutia kimwonekano atleast.
Always unamtegemea always yupo nawewe sio anakuacha anakuita akihitaji kukukula tu.
7. Hakutangazi anakuhifadhi marafiki ndugu wanakufahamu mnasaidiana ila asilimia kubwa yeye ndio baba .anamalengo pia yamaisha anaheshimu muda wako uwepo wako mara nyingi huna mawazo yakumvuna maana unaona future kwake.
Ila hapa Tanzania huyu mwanaume hayupo nakama yupo ameshaoa atakudanganya .
I wish Mungu anikutanishe naye sio mtu mnachart humu hamuonani kazi presha tu kitu kizuri kuonana nakuwa nahuyo mtu kila day .
π π ukitolewa out ya chips funga unamshukuru MaulanaMungu anakupa wa kufanana na wewe, wewe mwenyewe hauko hivyo unataka upewe wa namna hautajua thamani yake
Zamani nilikuwa nawapata so nimezoea hiyo haliπ π ukitolewa out ya chips funga unamshukuru Maulana
Asa mtu mwenyewe hela huna unataka nn jamani? Watu hebu wapunguze kucomplicate maisha... mm na mpenzi wangu unakuta tumepanda mwendokasi fresh tu tunatembea kwa mguu posta mpaka ferry ndo out hioπ π tunarudi na juice za afu 2 asa mtu maisha huna unataka vitu vikubwa upelekwe Johari Rotana au level 8 hyatt
Huyu mwenyewe unayemsifia hatujaamuaga tuπ katibu komesha hili suala wamevuka mipaka
Sijakuambia muache kama unakumbukumbu nilikuambia mwombee kaa naye usije pitiwa na wapita njia ukaniambia haniambi kuwa anioa nimeomba sana ukasema hivyo nikakuambia mwache kwani nani amesema sitongozwi natongozwa ila shida sasa type zao ndio zinanichosha unawez a pewa kila kitu ila anamadharau anatoa baadhi ila anapelekesha , yaani nimechokaKumbe huna hata mpenzi halafu Upo unanipondea niachane na wangu ili nije niandike nyuzi kama zako we bi dada
Haku simuachii mimi wangu ananipa yote wewe unayoyakosa kasoro ni viwili tu sipajui kwake na hasemi kama tuna future πππππππ»
Sasa mbona unaongea ukweli kabisa hahahaπ π ukitolewa out ya chips funga unamshukuru Maulana