Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,074
- 27,490
Point of correction. Hizi accusation zimebase upande mmoja kitu ambacho sio sawa. Wanawake nao wanajua majukumu yao mume? Una uhakika gani wanaume wote wako hivyo.Ilikuwa ni kina Adam ndo walijua majukumu ya wanaume kwa wake zao , hawa wa sasa hivi ni patapotea, tunaenda nao sambamba ukimpata sawa Ila don't put your happiness kwa mtu.
Anatafuta aina ya wanaume kama 10+ hapo tofauti!Kumbe awe na usafiri. Akutoe out za nguvu, basi basi mkuu nimeghairi
Wacheki
Lucas Mwashambwa & Mbaga Jr
Sahihi kabisa mkuu.Sijui umemtafuta wapi ila kama unamtafuta humu jukwaani,wapo watano ila nitakutajia wawili kwa sasa secretarybird pamoja na mzabzab . Nje ya humu labda upewe udongo uwaumbe mwenyewe.
Daah unataka wa gari kabisa aisee na pia itakua unataka aina fulani ya gari sio gari yeyote mbona una masharti magumu sana kwa hiyo mtu anaetaka kukuoa kama hana gari anakua hana hiyo sifa kwako..Uongoo ninazo sifa zote kasoro gari
Bhaaaaaas! π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ ujue hivyo kuanzia leo na hata milele. Au ulikuwa unamnyapia?Kumbe huyu ni dada yangu mbona sijui...!π€£
Nimesoma mistari miwili ya mwanzo. Nikaona nikuambieYaani sijawahi kumpata mwanaume kama huyuu ni zamani .
1. Mwelewa
2. Mvumilivu mwenye upendo sio mtu ambaye hajui matunzo na ambaye hapendi kukujali .
3. Ukimpigia hata kama hajaona atakurudia kwa mahaba mengi yenye kutia moyo kuwa unamtu.
4. Anapenda kukutoa out za heshima unaenda naye sio namiguu lazima awe anausafiri mnaenda enjoy sehemu mbali mbali .
5. Awe anakupa positive ideas .
6. Awe anamahali hata anavutia kimwonekano atleast.
Always unamtegemea always yupo nawewe sio anakuacha anakuita akihitaji kukukula tu.
7. Hakutangazi anakuhifadhi marafiki ndugu wanakufahamu mnasaidiana ila asilimia kubwa yeye ndio baba .anamalengo pia yamaisha anaheshimu muda wako uwepo wako mara nyingi huna mawazo yakumvuna maana unaona future kwake.
Ila hapa Tanzania huyu mwanaume hayupo nakama yupo ameshaoa atakudanganya .
I wish Mungu anikutanishe naye sio mtu mnachart humu hamuonani kazi presha tu kitu kizuri kuonana nakuwa nahuyo mtu kila day .
Acha umalaya Fanya kazi ujitegemee tuache kutegemea wanaume.Yaani sijawahi kumpata mwanaume kama huyuu ni zamani .
1. Mwelewa
2. Mvumilivu mwenye upendo sio mtu ambaye hajui matunzo na ambaye hapendi kukujali .
3. Ukimpigia hata kama hajaona atakurudia kwa mahaba mengi yenye kutia moyo kuwa unamtu.
4. Anapenda kukutoa out za heshima unaenda naye sio namiguu lazima awe anausafiri mnaenda enjoy sehemu mbali mbali .
5. Awe anakupa positive ideas .
6. Awe anamahali hata anavutia kimwonekano atleast.
Always unamtegemea always yupo nawewe sio anakuacha anakuita akihitaji kukukula tu.
7. Hakutangazi anakuhifadhi marafiki ndugu wanakufahamu mnasaidiana ila asilimia kubwa yeye ndio baba .anamalengo pia yamaisha anaheshimu muda wako uwepo wako mara nyingi huna mawazo yakumvuna maana unaona future kwake.
Ila hapa Tanzania huyu mwanaume hayupo nakama yupo ameshaoa atakudanganya .
I wish Mungu anikutanishe naye sio mtu mnachart humu hamuonani kazi presha tu kitu kizuri kuonana nakuwa nahuyo mtu kila day .
Haha tamthilia zinawadanganya sana!Anatafuta aina ya wanaume kama 10+ hapo tofauti!
MPaka umefika hapa na unahuu mdomo basi asilimia kubwa unamatatizo ya akili . Tena wewe ni mtu hujui kupendwa maana unahonga wanaume,unapenda kuonea watu nakujiona unajua asilimia kubwa marafiki zako wapo kisa ya kitu fulani muda mwingi upo mwenyewe . Mwenyewe kama hili unaona ni jumalaya hujawahi kufanyiwa au kujifanyia unamsongo wa mawazo.Acha umalaya Fanya kazi ujitegemee tuache kutegemea wanaume.
Je baba yako anazo sifa hizo? Kama hana we umejifunza kwa nani kama siyo umalaya. Nyie ndo mtairudisha jamii kule, kutosomesha watoto wa kike.
Hapana tumbiUna tako?
Ndio gari ni muhimu iwe ndogo au kubwa ila awe naloDaah unataka wa gari kabisa aisee na pia itakua unataka aina fulani ya gari sio gari yeyote mbona una masharti magumu sana kwa hiyo mtu anaetaka kukuoa kama hana gari anakua hana hiyo sifa kwako..
Baba yako anaweza kukufanyia hivyo dada.Yaani sijawahi kumpata mwanaume kama huyuu ni zamani .
1. Mwelewa
2. Mvumilivu mwenye upendo sio mtu ambaye hajui matunzo na ambaye hapendi kukujali .
3. Ukimpigia hata kama hajaona atakurudia kwa mahaba mengi yenye kutia moyo kuwa unamtu.
4. Anapenda kukutoa out za heshima unaenda naye sio namiguu lazima awe anausafiri mnaenda enjoy sehemu mbali mbali .
5. Awe anakupa positive ideas .
6. Awe anamahali hata anavutia kimwonekano atleast.
Always unamtegemea always yupo nawewe sio anakuacha anakuita akihitaji kukukula tu.
7. Hakutangazi anakuhifadhi marafiki ndugu wanakufahamu mnasaidiana ila asilimia kubwa yeye ndio baba .anamalengo pia yamaisha anaheshimu muda wako uwepo wako mara nyingi huna mawazo yakumvuna maana unaona future kwake.
Ila hapa Tanzania huyu mwanaume hayupo nakama yupo ameshaoa atakudanganya .
I wish Mungu anikutanishe naye sio mtu mnachart humu hamuonani kazi presha tu kitu kizuri kuonana nakuwa nahuyo mtu kila day .
Hapo namba 4Kutembea kwa miguu si Ndio Afya!Yaani sijawahi kumpata mwanaume kama huyuu ni zamani .
1. Mwelewa
2. Mvumilivu mwenye upendo sio mtu ambaye hajui matunzo na ambaye hapendi kukujali .
3. Ukimpigia hata kama hajaona atakurudia kwa mahaba mengi yenye kutia moyo kuwa unamtu.
4. Anapenda kukutoa out za heshima unaenda naye sio namiguu lazima awe anausafiri mnaenda enjoy sehemu mbali mbali .
5. Awe anakupa positive ideas .
6. Awe anamahali hata anavutia kimwonekano atleast.
Always unamtegemea always yupo nawewe sio anakuacha anakuita akihitaji kukukula tu.
7. Hakutangazi anakuhifadhi marafiki ndugu wanakufahamu mnasaidiana ila asilimia kubwa yeye ndio baba .anamalengo pia yamaisha anaheshimu muda wako uwepo wako mara nyingi huna mawazo yakumvuna maana unaona future kwake.
Ila hapa Tanzania huyu mwanaume hayupo nakama yupo ameshaoa atakudanganya .
I wish Mungu anikutanishe naye sio mtu mnachart humu hamuonani kazi presha tu kitu kizuri kuonana nakuwa nahuyo mtu kila day .
Utapata sawa na ulivyo π€£π€£π€£π€£π€£π€£Yaani sijawahi kumpata mwanaume kama huyuu ni zamani .
1. Mwelewa
2. Mvumilivu mwenye upendo sio mtu ambaye hajui matunzo na ambaye hapendi kukujali .
3. Ukimpigia hata kama hajaona atakurudia kwa mahaba mengi yenye kutia moyo kuwa unamtu.
4. Anapenda kukutoa out za heshima unaenda naye sio namiguu lazima awe anausafiri mnaenda enjoy sehemu mbali mbali .
5. Awe anakupa positive ideas .
6. Awe anamahali hata anavutia kimwonekano atleast.
Always unamtegemea always yupo nawewe sio anakuacha anakuita akihitaji kukukula tu.
7. Hakutangazi anakuhifadhi marafiki ndugu wanakufahamu mnasaidiana ila asilimia kubwa yeye ndio baba .anamalengo pia yamaisha anaheshimu muda wako uwepo wako mara nyingi huna mawazo yakumvuna maana unaona future kwake.
Ila hapa Tanzania huyu mwanaume hayupo nakama yupo ameshaoa atakudanganya .
I wish Mungu anikutanishe naye sio mtu mnachart humu hamuonani kazi presha tu kitu kizuri kuonana nakuwa nahuyo mtu kila day .
ππππMPaka umefika hapa na unahuu mdomo basi asilimia kubwa unamatatizo ya akili . Tena wewe ni mtu hujui kupendwa maana unahonga wanaume,unapenda kuonea watu nakujiona unajua asilimia kubwa marafiki zako wapo kisa ya kitu fulani muda mwingi upo mwenyewe . Mwenyewe kama hili unaona ni jumalaya hujawahi kufanyiwa au kujifanyia unamsongo wa mawazo.
kupendwa hujawahi sisi tumependwa na kupenda nakupendelewa .
Na baba yangu alikuwa anasuzuki enzi hizo tulikuwa tunaenda sehemu kali kali, kula cha mchana ,tunasafiri tunaenda mbugani , picnic,outings za hapa na pale. So usiongee na mtu humjui kila mwaka lazima tuende nje ya nchi tukatembee angekuwa yupo angenipa connection ningeolewa na tajiri sana . Nisingekosa kuendeleza starehe .
So dada punguza uhongaji uhongwe hadi ukijifungua unalipa billi mwenyewe aibu malaya niwewe kwasababu hujipi muda wakutunzwa unatunza wanaume. Ni aibu ukikwama huna hata wakukuback up labda benki na vikoba