Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,517
- 3,316
Ninatumua account ya bank moja ya kiduanzi initwa EXIM. Pembeni ya hiyo nimekuwa nikitumia NBC. Jana nmepata salary na nikaamua kutuma pesa akaunt ya NBC ili nitoe maana sina ATM Card ya EXIM.
Huwezi amini tsh 700,000 mpaka leo inaonekana imekatwa Exim lakini haijafika NBC. Lakini nikiangalia sioni kama kuna umbali mkubwa kiasi hicho cha kuchukua masaa yote hayo. Nawapigia NBC simu hawapokei. Exim hawapokei.
Lakini tatizo ni kuwa nakaa mbali na branch ya EXIM na pia sina ATM card. Sasa inaniwia vigumu kutoa pesa. Salary ya mwezi wa 3 sikutoa kabisa sababu ya kukosa muda wa kwenda dirishani.
Sasa hawa exim hawana huduma za cardless. Option ya kutuma kwenye namba ya simu kisha kutoa makato yanakuwa makubwa.
Nisaidieni ushauri je kwa wenye account ya EXIM na hawana ATM Card huwa wanatumia option gani nyingine ukiacha
1. Kutolea dirishani
2. Kutuma kwenye mitandao ya simu
3. Kutuma ili utolee kwenye bank nyingine.
Haiwezekani pesa ninayo kisha bado nipate shida kuitumua karne hii ya 21. Nakuwa kama mtu asiye na pesa.