Why niteseke na pesa zangu? Yaani mtu asiye nazo anateseka na mimi ninazo nateseka pia?

Why niteseke na pesa zangu? Yaani mtu asiye nazo anateseka na mimi ninazo nateseka pia?

Kuna kipindi nilikuwa na akaunti nbc corporate branch , nataka kutoa pesa atm zimegoma ikabidi kuingia ndani tukakaa hadi muda wa kufunga umefika ikabidi watuombe radhi system ina matatizo
Kesho take nikaenda tawi la victoria kutaka kutoa kwenye atm ikagoma ikabidi niingie ndani wakaniambia kwa sababi sikuwa mteja wa lile tawi nianzie kwa nhasibu.
Nilipofika kwa mhasibu akataka id sikuwa nimetembra nayo ila nikampa atm card yangu akakataa akasema inaweza kuwa fake, nikamwambia kama fake wao ndio walinipa nikawaambia pesa yangu mwenyewe aiwezi kusumbuka inabidi nifunge akau ti.
Mhasibu aliposikia ikabidi achukue form yangu na kuipeleka mwenyewe dirishani.
 
Benki nyingi bongo zina usengerema, nilishangaa kipindi fulani hata kukata tiketi ilikuwa mtiti,, nikiwa nimeshakata tamaa kabisa na ni dakika za jioni ndipo mtu mmoja akanambia fungua vodacom visa card,, aroooo chap kwa haraka tiketi ikapatikana na tangu hapo benki naenda kulipia vitu vya lazima km mkopo nk tofauti na hapo mimi visa card mpaka waniue, kwanza haina makato, pili ni easy kutumia, usalama wa hali ya juu, ni rahisi kuweka savings, hakuna foleni
 
Back
Top Bottom