Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,517
- 3,316
ko sahihi. Transfer za bank moja kwenda nyingine zinachukuwa muda. Nmeona hata nchi zilizoendlea wakisema inaweza kuchukuwa 2-3 banking days.Hiyo ni interbank transfer delay inaweza kuchukua masaa hadi siku 1–2 hasa kama system za clearing/processing zipo slow.
Next time tumia bank moja tu NBC au nyingine yenye app nzuri na instant transfers.
Kwa nini huna Card ya Exim?
Hvi waajiri Bongo hawawapi waajiriwa option ya kuchagua benki ya kupitishia mishahara yao? Kama hawafanyi hivyo, basi ni ukiritimba wa kijinga. Nchi nyingine mimi nimeona mfanyakazi ndiye anaamua mshahara upitie benki gani na akitaka kubadilisha anamwambia mwajiri tu. NB: hamisho la fedha kutoka benki moja mpaka nyingine linaweza kuchukuwa muda. Hili la kulipia mishahara madirishani nalo ni jambo la kuchekesha kwa karne hii.
Unapitisha bank utakayoHvi waajiri Bongo hawawapi waajiriwa option ya kuchagua benki ya kupitishia mishahara yao? Kama hawafanyi hivyo, basi ni ukiritimba wa kijinga. Nchi nyingine mimi nimeona mfanyakazi ndiye anaamua mshahara upitie benki gani na akitaka kubadilisha anamwambia mwajiri tu. NB: hamisho la fedha kutoka benki moja mpaka nyingine linaweza kuchukuwa muda. Hili la kulipia mishahara madirishani nalo ni jambo la kuchekesha kwa karne hii.
Kutoa kule nako kuna makato lukuki.Mbona makato hayazidi 5000 kwenda mitandao ya simu mkuu kwanini unaseka kiasi hicho
Asiwe na wasi isipofika Itarudi tu!
Achukue huu ushauri.nyingine yenye app nzuri na instant transfers.
Mpaka aifuatile wafanye reverse...Asiwe na wasi isipofika Itarudi tu!
Mbona makato hayazidi 5000 kwenda mitandao ya simu mkuu kwanini unaseka kiasi hicho
Hana hela njaa inamsumbua hata hiyo 5000 anaiona kubwa anataka akatwe 1000 tu nyingne abetie
Huwezi kua na pesa halafu unaogopa makato ya kutuma pesa kutoka benki kwenda mitandao ya simu.