Why Rayvanny anajisifu kuuza sana online wakati mapato hayo mengi yanaenda kwa Platnumz?

Acha kufanya assumptions ambazo hazipo kick za insta sio reality mtaani mwamba anaonekana kwenye namba. Subiri uone Next Level watachokuja nacho kwenye industry ndio utaelewa chui sio mtu mzuri

 
Wewe mbona unataka kutudanganya mchana kweupe,
Kwanza kwa hilo la kipato cha mauzo ya rayvanny yakalipe wafanyakazi wa wasafi fm siyo kweli hata kidogo. Una ushahidi gani wasafi fm haitengenezi faida au inaendeshwa kwa hasara. Katika hili jibu lako liwe na data siyo maneno matupu. Tofauti na hilo hakuna Ukwel wowote hapo. Kama ni wazamini wasafi fm na tv wapo huko.

Pili umeongelea kuhusu mauzo Kati ya Hawa watu wawili na jinsi mapato yanavyogawanywa. Labda nikueleweshe rayvanny aliongelea mauzo akiwa na maana Kama mauzo ni makubwa basi mziki wake unawafikia watu wengi kuliko mwenzie, na si swala la kipato. Hivyo siku nyingine jitahidi kutafsiri vitu kwa umakini wake ili usipate maana tofauti na iliyokusudiwa.
 
Diamond ananyonya wenzake
Huwezi ukawa na akili timamu ukaongea hivi, ikiwa hata mikataba yao hujui ikoje, halafu unataka bosi leo hii alingane na mwajiriwa uliona wapi. Watu Kama sampuli yako mnatakiwa kusaidiwa tu nakupita kushoto lakini partnership mtaleta uswahili kwa ukosefu wa maarifa.
 
Yeye amezungumzia mauzo (akimaanisha ukubwa wake), hajazungumzia nini anaingiza
Kwahy ww upo ni chinga kaliakoo unaingia kwa mchina unachukua mzigo wa 1m unamwaga nje pale unauza kwa siku 1m unapeleka kwa mchina yote naww unatamba mtaan kwamba unapata faida
 
How does YouTube make money then ?

Maana unachobisha hata sielewi ?
 
sasa kulipia ads na wewe mkuu umeona ni gharama sana, mbona ni bei ya kawaida sana. Mbona hata huyo ibra, konde Nandy wanaofanya hivyo mkuu au siyo mfatiliaji wa kazi zao hawa wasanii. Zuchu mpaka sasa kashatengeneza zaidi ya milioni 200. Unataka kusema bado hawajaanza kutengeneza faida?
 
Sawa kabisa, kwa kiliona hilo nae harmo anampelekea ibra apambane na vanny.
Ibra kanunua ugomvi wa harmo.
 
Mimi sielewi hao madogo wa wasafi na konde gang hata wanabifu ya nini ila msanii bora na mfalme wa muziki hivi sasa ni Ali Kiba
 
Sijasema kama kulipia ni gharama au ni haramu. Ninachosema hapa lazima watu wajue kutofautisha kati ya organic growth na paid growth.
 

Kwahiy baada ya wasafi kununua views au subscribers YouTube wanakuja tena kulipwa na YouTube au inakuaj
 
Sijasema kama kulipia ni gharama au ni haramu. Ninachosema hapa lazima watu wajue kutofautisha kati ya organic growth na paid growth.
Na mm nimekuambia huwez sema ibra ni organic growth ikiwa Kuna kazi kadhaa amelipia ads. Na usitake kutuaminisha kazi zote za Zuchu zimelipiwa ads na pia usituaminishe kuwa hilo ndiyo gap pekee linalomfanya Zuchu kuwa bora katika kazi zake na mauzo mtandaoni. Huwezi jisifia au kuona sawa biashara yako inatengeneza faida ndogo kwasababu hufanyi matangazo, ukiulizwa kulikoni basi kwakutunisha kifua kabisa unajibu aah yule anafanya matangazo lakini mimi sina muda huo. Lengo ni faida tu kwenye maisha Kama kitu kinaleta faida hakuna tatizo kabisa.
 
Kwahiy baada ya wasafi kununua views au subscribers YouTube wanakuja tena kulipwa na YouTube au inakuaj
Huwezi kuanza kutaka kulipwa kuanzia day one. Watu wanajenga platform na branding kwanza.

Hata YouTube kumlipa mtu ni mpa channel yako iwe na subscribers kuanzia 1,000 na watch time 4,000. Kwahiyo huwezi kuwekavideo ya kwanza directly unataka kulipwa na YouTube.

Ndio maaana hata Show ya I am Zuchu Mlimani City ilikuwa BURE.

Paid advertising ya YouTube channel ya Zuchu hiyo hapo:
 
Upo sahihi kabisaa

Ndo maana kondegang walikuja kushtukia hii ishu too late

Wakataka kubadili upepo kwa kuihamisha bifu wakamtuma dogo Ibraaah ili aingie kati kama substitute ya Konde boy... Ila WCB wakaliona ilo, dogo Ibraah akakaushiwa kama vile hajatoa wimbo wowote wa madongo..

Wasafi they are very clever... Trust me hawafanyagi ishu yoyote ile bila kuwepo na maslahi na wao kama wao kufaidika
 
Anyway weka ushahidi huo tuone kama huyo Ibraah kafanya, maana mimi sijaona kamaalifanya. Pia kufanaya siyo kosa.
 
Anyway weka ushahidi huo tuone kama huyo Ibraah kafanya, maana mimi sijaona kamaalifanya. Pia kufanaya siyo kosa.
muda sina ila sitaki kukuaminisha chochote .ila ukiwa unapitia huko uwe makini unaweza kushuhudia maneno yangu mkuu.
 

Kaka labda ukufuatilia hile show mbona watu walilipia Meza kwa Million kiingilio cha chini ilikua 100K
 
Daah bola umeleta ushahidi maan jamaa anasema watu waliingia bure
Hao wapo kwenye panic mode wanatunga uongo alafu wanalazimisha watu waamini chuki zao.

Nimeona kuna mjinga mmoja hapo anaongelea contract za wasafi nikataka nitie neno nikaona tutawapa watu faida tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…